Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Kuna haja kikaanzishwa kipindi redioni au runingani cha mijadala ya kimbea kama mjadala huu...hizi team nani sijui team nani wengi ni waoga na washobakaji ambao ujanja wao ni katika keyboard ila ana kwa ana ni mandezi ambao mitandaoni unakuta anamkandia mtu flani ila ana kwa ana full shobo na wengine mpaka picha wanaomba kupiga na hao wanaowakandia mitandaoni

huu ujumbe special kwako Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
kwanza mimi sio HOD naona umekuja kwa kasi kama ya chama tawala ukaishia kuchanganya mambo.......

sharti la umbea uwe waujua hapa nisingeweza kuongea ninayoongea ka ningekuwa sielewi kinachoendelea, niko insta.. kote huko huu umbea unakuja automaticale.... na blog nilienda kushuhudia anayowafanyia watoto wa wanawake wenzie......,
Hahaha typing errror mama nawe unajua hili...nije kwa kasi kwani nalipwa na huyo mange au na nan?nashangaa tu mtu haumpend mtu af bado unamfuatilia eti umbea kwan hua mnalipwa?yani kuamkia kwenye IG na Blogs kujua umbea gan unaendelea as if mnalipwa au hamna vya kufanya kumbe wenyew mnamengi tuu yanayohitaji msaada kutwa ya wenzenu...mange muacheni na kichaa chake acheni kupanik paniki ovyo humu,kutwa kwenye mablog sijui shughuli zngine mnafanya sa ngap...yule mzungu unamyafuta umpate tuu maana kwa maadili ya kibongo nan atakubal kila kitu afanye dada mke kila siku anasaka umbea kwenye mitandaoo...pyee mtuliege
 
hana mali analingia masters tu basiiiiiiii elimu ni zaidi ya mali u know ukiwa nayo hufirisiki ingawa mange anafilisika kimawazo

Hahaaaaaaaaaa! Umasikini kitu kibaya sanaa! HIVI WEWE HIZO NCHI ZOTE ALIZOENDA NAULI TU SH NGAPI.? Angekuwa na roho ya umasikini si angekuwa na mbanda huko kinzudi? HAHAHAAAA! Mentality ya wabongo banaaa! URITHI WAKE ALIOACHIWA NA MZEE WAKE UNAUJUA.? ALIO ZAWADIWA NA MAHAKAMA BAADA YA KUSHINDA KESI UNAUJUA.? Mtu saingine ananyamaza tu coz mambo yako obvious kwa sie tunamjua!
THERE IS MORE TO LIVING KULIKO HIO MIBANDA WABONGO MNAYOIKOMALIA!
 
Hahaaaa! SASA NA NYIE MSIOTAKA UMAARUFU WAKE, NA MNAJIONA MNA HADHI YA KUMNYAMBAAA WEKENI CREDENTIALS TUPIME YALIYOMO YAMOOOO.
Sio kujificha nyuma ya keyboard kumnanga mtoto wa mwenzenu wakati nyie binafsi MPO WORSE OFF! Tunataka FAIR PLAY!

Halafu iweje tukishaweka yetu na mkishapima?!!
Kumnyamba tuyamnyambaa tu nyuma ya keyboard au kwnye vimchina mpaka ataelekea kibla...!
Hataki aache kujiona ye mungu mtu asieshindwa maana asa hv anaonekana mwehu!
Sisi ndo jamii ya kushape wezi wezi na wachepukaji km yeye
Ye maisha yake kayafanya tamthilia acha tuyaangalie ila asiingize scenes zisizomhusu...
Laa sivyo atakufa kifo cha mende"haraka mbele busara nyuma*
 
Km hupendi kufatwafatwa FUNGA BLOG. ...otherwise km umeamua kuanika maisha yakobkm nyanya sokoni subiri kuchokonolewa...kuna negative publicity and postive publicity....ukicreate drama ukapata negative publicity learn to deal with it sio kujitoa ufahamu.....
 
DSC_0300.jpg
Haya ndo yanayowaumiza,wengine ukiwauliza humu mara ya mwisho kutolewa out na waume au wapenzi wao ilikuwa lini?Jibu hawana.Mange kila lenye heri,lazima wenye vijiba vya roho wakuchukie,ila wanajipunguzia siku za kuishi tu!
 
Mi cijawahi ona msomi ambaye,yani anatukana tukana ovyo pia ina maana unataka kuniambia,de issue,ambayo iko tok of de twn amesingiziwa pia?? Usiegamie upande wa mazuri yake na mabaya pia usemage cimjui mange saaaana bt kwa hapa cijakubaliana na wewe hawez kurusha matusi makali vile mbna trebella kaibiwa lakin she,ddnt say anything

Nawe mtu mzima umeona ubadili ID ila usipitwe japo kuchambwa na id ya zamani unaona soo, unasemaje maana sikuelewi elewi madai yako.? Maana umekoroga koroga? Embu uliza hio ishu ya Trabella vizuri nikujibu.
 
Jamani kwanini msituliege?kutwa kuemana huko mitandaoni hamchoki?wengine mtakua hata mnashindwa kufanya majukumu yenu kisa mitandao ya kijamii kujibizana na watu hata msiowajua na wala hawana effect yoyote katka maisha yenu,yani utafikir hamna matatizo yenu binafsi ya kudeal nayo khaa...wengine mnapanikiiiii humu bila hata sababu,wengine wasomi lakin hata usomi haujawasaidia basi tu nanyi mjulikane mnajua yaendeleayo mjini,achaneni na mateam na kujibishana mitandaoni,wala hamtavumbua lolote kwa hiyo tabia...wengine mpaka mtalala mmevuta midomooo kisa maugomvi ya mitandaoni na watu msiowajua...kha mpunguzege wenge
 
Hahaaaaaaaaaa! Umasikini kitu kibaya sanaa! HIVI WEWE HIZO NCHI ZOTE ALIZOENDA NAULI TU SH NGAPI.? Angekuwa na roho ya umasikini si angekuwa na mbanda huko kinzudi? HAHAHAAAA! Mentality ya wabongo banaaa! URITHI WAKE ALIOACHIWA NA MZEE WAKE UNAUJUA.? ALIO ZAWADIWA NA MAHAKAMA BAADA YA KUSHINDA KESI UNAUJUA.? Mtu saingine ananyamaza tu coz mambo yako obvious kwa sie tunamjua!
THERE IS MORE TO LIVING KULIKO HIO MIBANDA WABONGO MNAYOIKOMALIA!

Nauli ya dar to nairobi siijui ndo ntajua ya hizo nnchi mtoto wa mkulima mie naesoma kwa mkopo
tudadavulie basi yote hayo urithi alioachiwa plus mengineyo i want to know who is mange in and out lol
Heaven on Earth vipi mama bando imeisha au
 
Last edited by a moderator:
Km hupendi kufatwafatwa FUNGA BLOG. ...otherwise km umeamua kuanika maisha yakobkm nyanya sokoni subiri kuchokonolewa...kuna negative publicity and postive publicity....ukicreate drama ukapata negative publicity learn to deal with it sio kujitoa ufahamu.....
Hivi huwa anawashikia bastola ili muende kuyaona maisha yake kwenye blog yake?si nyie wenyewe na vizabina zabina vyenu ndo mnaingia blog ya UTURN?
 
View attachment 172258
Haya ndo yanayowaumiza,wengine ukiwauliza humu mara ya mwisho kutolewa out na waume au wapenzi wao ilikuwa lini?Jibu hawana.Mange kila lenye heri,lazima wenye vijiba vya roho wakuchukie,ila wanajipunguzia siku za kuishi tu!
HEHEHEEEEEEEEIYAAAAAAAAAAAA,! Kantangazeeeeeeeeeeeeeeee! HALO YA MGOMBA WA NDIZI KUJICHANA WENYEWEEEEEE!,!, Wapeeee wapeeeeee vipicha tuburudike sie!
 
MAMA MZAZI NDO ANAJUA WHAT IS BEST FOR HER KIDS! Bora uconcentrate kuwaprotect wanao! Watoto wake hawakuhusu! Kila mama watoto wake msiingiliane!

kweli hawanihusu ila mwambie yakimkuta asijekutafuta nani mchawi.....coz ye anasema ana mungu hata wenzie pia wanamungu.
 
HAHAHAAAAAAAAAAAA! Wenye akili ni hao WALIO ENDA KUPIGA PICHA YA MIPAPA YAO NA KUVICHIA VIBUZI?
Kutokuwa na mume kilemaaa? Si status tu? Yeye ndo anagawa waume? Embu usitudharau tusiokuwa na waume! Tutake radhi!
Regardless wana waume hawanaa wale walijitia kumuingiloa mambo yake kinyume na maumbile akawapa makavu live wote wenye waume zao kina bedui na wasio na waume kina staarisha. WPTE PEWA DOZI NENE!
Wangekuwa wanampuuza WASINGANZISHA VITA VYA KUMCHOKONOA! Wameshindwa vita na kugalagazwa chezea MPAPA WAKO KUWEKWA BOND.?

Haaa...am sory msioolewa!ila kuna tofauti sana ye akumbuke ana pande mbili za familia sometimes ukijijua ni nani na una roles zipi unapaswa ubaheve urself!
She pretends kua ma mzuri kwa familia je?anahisi anayayoyafanya yanamjenga au yanambomoa
Hv haya mambo bhoke akija kuyasoma miak kadhaa ijayo mama ake atakia na majibu
Sometimes hasa sisi wazazi tufanye vitu ili kulinda heshma zetu baadae jamani kina kesho
AU bosi wako karuka stage?!!!!
HEBU muulize kwanza.....!
 
Hahaaaaaaaaaa! Umasikini kitu kibaya sanaa! HIVI WEWE HIZO NCHI ZOTE ALIZOENDA NAULI TU SH NGAPI.? Angekuwa na roho ya umasikini si angekuwa na mbanda huko kinzudi? HAHAHAAAA! Mentality ya wabongo banaaa! URITHI WAKE ALIOACHIWA NA MZEE WAKE UNAUJUA.? ALIO ZAWADIWA NA MAHAKAMA BAADA YA KUSHINDA KESI UNAUJUA.? Mtu saingine ananyamaza tu coz mambo yako obvious kwa sie tunamjua!
THERE IS MORE TO LIVING KULIKO HIO MIBANDA WABONGO MNAYOIKOMALIA!

Nauli ya dar to nairobi siijui ndo ntajua ya hizo nnchi mtoto wa mkulima mie naesoma kwa mkopo
tudadavulie basi yote hayo urithi alioachiwa plus mengineyo i want to know who is mange in and out lol
Heaven on Earth vipi mama bando imeisha au
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwanini msituliege?kutwa kuemana huko mitandaoni hamchoki?wengine mtakua hata mnashindwa kufanya majukumu yenu kisa mitandao ya kijamii kujibizana na watu hata msiowajua na wala hawana effect yoyote katka maisha yenu,yani utafikir hamna matatizo yenu binafsi ya kudeal nayo khaa...wengine mnapanikiiiii humu bila hata sababu,wengine wasomi lakin hata usomi haujawasaidia basi tu nanyi mjulikane mnajua yaendeleayo mjini,achaneni na mateam na kujibishana mitandaoni,wala hamtavumbua lolote kwa hiyo tabia...wengine mpaka mtalala mmevuta midomooo kisa maugomvi ya mitandaoni na watu msiowajua...kha mpunguzege wenge
Hahahaaaa! We hii biashara unayofanya biashara gani? Au ndo kunya unye wewe tukinya sie tumeharisha? Hahahaaaaaaa! Wanishangazaaa!
 
HAHAAAAAAAAAA! BASI WASEME SUUUUUUUUUUUUU TUFAIDI MAMBO HASA HUO WA BINTI MWALUBADU ULIOKOMAZWA NA TOPAZ! Huyu mama botox atakua kauboresha boresha sio original african.

THE THING ABOUT INTERNENT HIO MIPAPA IKIWKWA UKIWA SEARCH TU HATA WAJUKUU WATASHUHUDIA ZE MPAPAZ WA ZE BIBS ULIKUWAZ UNATISHAZ, BORA WAWE WAPOLE TU! Hahahaaaaaa! Wasipomchokonoa Mange milele kuanzia awape worning atawastiri wanawake wenzetu. SOME TIMES THE BEST WAY TO WIN IS BY LOOSING! Hadi vitoto vyako vya ukoo vinakuwa vimeuonaz ZE MPAPAZ WA AUNTZ, MAMKUBWAZ, DOOOOOOH,!

Maadui wa kudumu wanamsaidia nini cha maana kwani au basi tu? Mambo mengine hayana hata msingi.
kweli mambo mengine hayana msingi ye angedili na wateja wake coz alishawaelewesha akaendelea kupiga hela.huyo bibi na bedui wangeonekana wajinga tu
 
Nauli ya dar to nairobi siijui ndo ntajua ya hizo nnchi mtoto wa mkulima mie naesoma kwa mkopo
tudadavulie basi yote hayo urithi alioachiwa plus mengineyo i want to know who is mange in and out lol
Heaven on Earth vipi mama bando imeisha au

hahaaaa nipo huu muda nalea ndoa yangu na baba kijacho.

bundle haiishi leo wala kesho
mpaka sasa sijaona fact ya maana.
 
Last edited by a moderator:
Haaa...am sory msioolewa!ila kuna tofauti sana ye akumbuke ana pande mbili za familia sometimes ukijijua ni nani na una roles zipi unapaswa ubaheve urself!
She pretends kua ma mzuri kwa familia je?anahisi anayayoyafanya yanamjenga au yanambomoa
Hv haya mambo bhoke akija kuyasoma miak kadhaa ijayo mama ake atakia na majibu
Sometimes hasa sisi wazazi tufanye vitu ili kulinda heshma zetu baadae jamani kina kesho
AU bosi wako karuka stage?!!!!
HEBU muulize kwanza.....!
Mbona Linda bedui nae kaolewa ana watoto 4 hamumsemi? Ya ngoswe muachie ngoswe, ya bokhe muachie mama bokhenzo, INANICHOSHA WATU BAKI MNAVOJITIA WAPANA KAMA PAZIA LA CINEMA KUJIFANYA MNA UCHUNGU NA MTOTO WA MWENZENU KULIKO YEYE ALIEINGIA LABOR! Hahhaaaaa! Madogo yana nafuu!
FANYENI YENU!
 
Haaa...am sory msioolewa!ila kuna tofauti sana ye akumbuke ana pande mbili za familia sometimes ukijijua ni nani na una roles zipi unapaswa ubaheve urself!
She pretends kua ma mzuri kwa familia je?anahisi anayayoyafanya yanamjenga au yanambomoa
Hv haya mambo bhoke akija kuyasoma miak kadhaa ijayo mama ake atakia na majibu
Sometimes hasa sisi wazazi tufanye vitu ili kulinda heshma zetu baadae jamani kina kesho
AU bosi wako karuka stage?!!!!
HEBU muulize kwanza.....!

mambo ya teenagers yanafanywa na mama wa watoto watatu............ cyber bullying atuachie vichunchuda Sie.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom