Who is Christina Shusho historically?

Hii ni kwa wote wanaosema huyu muimbaji yuko juu kiroho.... kumbuka kuwa juu kiroho, kumcha Mungu au kutomcha Mungu ni siri ya mtu na Mungu wake, pia kipimo cha ucha Mungu si uimbaji wala kujionesha machoni pa watu! Mungu ana vipimo vyake vya utakatifu na si hivi tuvitumiavyo sisi wanadamu.

Kama unasoma biblia, kuna stori ya Kornelias ambaye hakuwahi kuambatana wala kufanya yale yaliyokuwa yakitendwa na Wakristo wa enzi zile kama Wayahudi, lakini Mungu alimuona anafaa na kumwambia sala zake zimefika mbinguni.

Kipimo cha utakatifu anachotumia mwanadamu ni tofauti na kipimo cha Mungu aonae sirini mwetu period!!

...tutengeneze njia zetu!
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza. Huyu dada kabla sijajua uchafu wake nilikuwa napenda sana nyimbo zake. Christine ni Mkongo kwa asili, alifikia kwenye kambi ya wakimbizi Kigoma, mumewe ambaye ni Mchungaji Shusho ni mtu wa Kigoma na ndiye aliyefanya makaratee yote kumtoa Christine kambini na kumfanya kuwa raia na kumuoa kabisa.

Ukoo wa mumewe yaani kina Shusho wamebarikiwa kidogo kwa unafuu wa kimaisha na karibia wengi wamesoma na wanaishi Ulaya na Marekani. Mchungaji Shusho kifedha anajiweza siyo mbaya. Baada ya mumewe kugundua kuwa mkewe anakipaji kikubwa cha kuimba akaona afanye juu chini kumpa support ya nguvu.

Baada ya mafanikio na umaarufu mwingi, dada amekuwa limbukeni wa kutupwa na kuanza kuota mapembe kumuona mumewe sio hadhi yake tena. Hivi sasa ndoa iko taabani vibaya mno, vikao vingi vimekaa vya familia lakini binti anaomba msamaha wa kinafiki na kuendelea na mambo yake.

Inasemekana kuwa bwana mamvi aliyepata kuwa waziri mkubwa na kuachia ngazi kwa kashfa flani ya kampuni ya umeme ndiye anakaa pale kwa sasa. Dada kazuzuka vibaya kwa kuwa jamaa anakata mshiko wa ukweli na safari za matumizi za kufa mtu. Na anajiamulia safari bila kibali cha mumewe, maana hana sauti tena juu yake.

Mchungaji Shusho anadai kuwa dada ameshajiunga na dini ya wajenzi huru manake ishara na mambo kadhaa afanyayo ndani huwa hamuelewi kabisa. Bwana mamvi anataka kuhakikisha kuwa ndoa inavunjika ili afanye nyumba ndogo kwa uhuru kabisa.

Kwa ufupi ni hayo tu, na mkinichokoza zaidi... Shika dini umtazame Mungu wako na wala usimtazame mwanadamu. Siku hizi mziki wa injili ni biashara na wala siyo kiroho, wasanii wengi matendo na tabia kamwe hayafanani na wanayoimba.
 
Kweli kila mtu ajitazame mwenyew mahusiano yake na Mungu yakoje. Usijipime kwa mwenzako. Kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake mwenyewe.
 
Kuna kipindi Mchungaji Shusho ambaye ni mumewe Christine alikwenda nje ya nchi kwa muda kidogo. Huku nyuma dada akampata Zakayo Wa TRA, jamaa akapanda dau baada ya kuzuzuka na uzuri wa dada akamnunulia ndinga moja ya ajabu, dada kwa tamaa na ulimbukeni akajaa ilihali yeye na mumewe nyumbani wana gari nne tayari.

Pastor kurudi kakuta mtoto ana ndinga mpya, kuuliza na kumbana dada akakiri kuwa kuna Zakayo wa TRA ndio kamhonga, Pastor kukasirika ndio kumpigia simu bwana Zakayo na kumrudishia ndinga yake, then mguu kwa mguu hadi kwa yadi ya magari na kumwambie dada achague gari kali kuliko ile ya Zakayo wa TRA, dada kachagua na Pastor kazama kumfuko ili kunusuru ndoa yake asije poteza mtoto mzuri ilihali angali akimpenda na amemtoa mbali.

Kumbuka hiyo yote ni wakati bado dada hajakutana na Pedezhee bwana mamvi aliyepata kuwa waziri nkubwa enzi ya utawala wa mwanzo kabisa wa ------. Nimeamua kutake risk kumwaga uozo huo anaofanya Christine ili kuwaonyesha tu jinsi hawa wasanii wa injili wanavyojinafikisha kwa mgongo wa YESU ilihali wakifanya ushehetwani mkubwa.
 
...... Shika dini umtazame Mungu wako na wala usimtazame mwanadamu. Siku hizi mziki Wa injili ni biashara na wala siyo kiroho, wasanii wengi matendo na tabia kamwe hayafanani na wanayoimba.

Jackpot!!!!!!
 
....Mchungaji Shushu anadai kuwa dada ameshajiunga na dini ya wajenzi huru manake ishara na mambo kadhaa afanyayo ndani huwa amuelewi kabisa.....

Hata sisi wa nje hatumwelewi kabisaaaaa!

attachment.php
 
Mrembo Christina Shusho, Atakuwa na Concert leo June 2, 2014. International Gospel Church, 85 Crescent Avenue, Chelsea, Massachusetts. 7:00pm Start time. :israel:
 
Naomba nifunguke kidogo nielezee kile ninachokifahamu kuhusu ili sakata!!

Mgogoro katika ndoa ya Mbasha na Florah ulianza kushika kasi mwaka jana mara baada ya Florah na Mumewe kuhamia kuanza kusali
kanisani kwa GWAJIMA (ufufuo na Uzima - Kawe) wakitokea kanisa la MITO YA BARAKA (kariakoo)! Inasemekana kuwa mara baada ya kuhamia kanisani hapo kwa mualiko wa Gwajima (aliwaombe waje kusali kwake), mchungaji Gwajima alimfanya Florah kama kiongozi wa Ibada ya SIFA na KUABUDU katika mikutano yake!!

Kama ni mfuatiliaji wa haya mambo utakumbuka kuwa mwaka jana Florah alizunguka Tanzania nzima akiwa na Gwajima wakifanya mikutano ya Injili!! Baada ya Muda kidogo Mchungaji Gwajima alimpeleka Florah London kwaajili ya masomo kitendo ambacho
inasemekana kilipingwa sana na mumewe Mbasha! Ikumbukwe kuwa GWAJIMA haiwezi kupita miezi miwili pasipo kwenda UK coz
amefungua kanisa kule (GLORY OF CHRIST - UK)!! So katika kipindi ambacho Florah alikuwa London, walikuwa wanaonana mara nyingi sana na GWAJIMA...

Baada ya Florah kurudi Tanzania, ndipo akaanza hii ziara ya kuzunguka mikoani na GWAJIMA... inasemekana kuwa katika kipindi
hiki ndipo mahusiano ya kindoa kati ya Florah na mumewe yalizorota zaidi... baada ya ziara kuisha Florah alirudi nyumbani lakini she wasn't the same (nisiseme zaidi)!

Baada ya mikwaruzano ya hapa na pale, ndipo Florah akaenda kukaa hotelini na inasemekana hoteli ilikuwa inalipiwa na mchungaji GWAJIMA. Ikumbukwe kuwa ni swala la kawaida kwa Gwajima kuwalipia bills mbalimbali viongozi wake wa huduma hapo kanisani kwa mfano ana mchungaji anaitwa MAXMILLIAN MACHUM, amempangishia nyumba ya ghorofa pale Ubungo na wachungaji wake wote wapatao thelethini amewanunulia magari!!

Lakini hata hivyo hii hatua yake ya kumpangia hoteli mke wa mtu ilizua maswali mengi sana...
 
Christine Shusho ni kweli ana asili ya DRC, na ndugu zake baadhi wapo kambi ya wakimbizi nyarugusu, kigoma. She is pretty kwa kweli. Nyimbo zake zina upako na zina bariki sana. Tena ni designer mzuri sana, Kuwa Mkongolee sio lazima upake mkorogo, inategemea umetokea fasi ya wapi?

RIEP Chetuntu.
 
Bukuku ni kweli maana alimpangia ofisi uko kariakoo na kuna uzinduz wa album yake moja iv mzee ndo alisimamia show nzima kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa, hata ile nyumba ya bahat ya tabata jamaa pia alitia barak zake

haya bwana. ujue ninashangaa sana wasanii wa muziki wa injili(hasa shusho, florah na bukuku) wanaonekana kuwa na maendeleo makubwa sana, nikadhani kuwa nyimbo za injili zinalipa sana kumbe wengi ni wachepukaji tu. Mhh kama ni kweli wataaibika sana mwaka huu
 
haya bwana. ujue ninashangaa sana wasanii wa muziki wa injili(hasa shusho, florah na bukuku) wanaonekana kuwa na maendeleo makubwa sana, nikadhani kuwa nyimbo za injili zinalipa sana kumbe wengi ni wachepukaji tu. Mhh kama ni kweli wataaibika sana mwaka huu

Bukuku ni kweli, maana uo umbea nilipatag kwa mmoja wa wafanyakaz wa ofisi yake iliyopo kariakoo
 
Back
Top Bottom