Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 182
Salamu wan JF,
Tafadhali naomba kujua historia fupi ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili aitwaye Christina Shusho.
Mbarikiwe kwa msaada wenu
============
Ni mtumishi wa Mungu wa ukweli. Ana mume na watoto 3, wawili wa kike na mmoja wa kiume. Mume wake anafanya TRA na ni mchungaji msaidizi wa kanisa moja la Kilokole. Mume wake ametokea Kigoma. Hivyo yeye ni mama Mchungaji. Inasemekana yeye ni Mnyamwezi wa kuhamia lakini asili yake ni Congo (Ingawa hapa sina uhakika sana)!
Ni mtumishi ambaye ameinuliwa na Mungu mwenyewe! Pia anajua kukaa magotini pa Bwana na ndiyo siri ya kukubalika kwake. Inasemekana yeye kama yeye alianzia chini sana! Alikuwa na duka la nguo, workshop ya kushona nguo & designing Kariakoo ambayo ameifunga mwishoni mwa mwaka jana.
Ni kweli alikuwa anaenda kufunga mzigo Dubai n.k. Kwa sasa sijui kahamishia biashara hiyo wapi! Pamoja na mume wake, wana studio ya kurekodi miziki ya Injili Kigoma. Kwa anayetaka habari zaidi ani PM lakini nadhani zinatosha!
Usilolijua ni kama usiku wa giza. Huyu dada kabla sijajua uchafu wake nilikuwa napenda sana nyimbo zake. Christine ni Mkongo kwa asili, alifikia kwenye kambi ya wakimbizi Kigoma, mumewe ambaye ni Mchungaji Shusho ni mtu wa Kigoma na ndiye aliyefanya makaratee yote kumtoa Christine kambini na kumfanya kuwa raia na kumuoa kabisa.
Ukoo wa mumewe yaani kina Shusho wamebarikiwa kidogo kwa unafuu wa kimaisha na karibia wengi wamesoma na wanaishi Ulaya na Marekani. Mchungaji Shusho kifedha anajiweza siyo mbaya. Baada ya mumewe kugundua kuwa mkewe anakipaji kikubwa cha kuimba akaona afanye juu chini kumpa support ya nguvu.
Baada ya mafanikio na umaarufu mwingi, dada amekuwa limbukeni wa kutupwa na kuanza kuota mapembe kumuona mumewe sio hadhi yake tena. Hivi sasa ndoa iko taabani vibaya mno, vikao vingi vimekaa vya familia lakini binti anaomba msamaha wa kinafiki na kuendelea na mambo yake.
Inasemekana kuwa bwana mamvi aliyepata kuwa waziri mkubwa na kuachia ngazi kwa kashfa flani ya kampuni ya umeme ndiye anakaa pale kwa sasa. Dada kazuzuka vibaya kwa kuwa jamaa anakata mshiko wa ukweli na safari za matumizi za kufa mtu. Na anajiamulia safari bila kibali cha mumewe, maana hana sauti tena juu yake.
Mchungaji Shusho anadai kuwa dada ameshajiunga na dini ya wajenzi huru manake ishara na mambo kadhaa afanyayo ndani huwa hamuelewi kabisa. Bwana mamvi anataka kuhakikisha kuwa ndoa inavunjika ili afanye nyumba ndogo kwa uhuru kabisa.
Kwa ufupi ni hayo tu, na mkinichokoza zaidi... Shika dini umtazame Mungu wako na wala usimtazame mwanadamu. Siku hizi mziki wa injili ni biashara na wala siyo kiroho, wasanii wengi matendo na tabia kamwe hayafanani na wanayoimba.