Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

Excuse me Mr. Story Teller,

so baada ya ujamaa kufa, what happened to the Kunguni?

Baada ya kufa Ujamaa NJAMA za KUNGUNI zilikua zinaelekea katika mafanikio. Kifo cha muasisi wa ujamaa kilipotokea KUNGUNI wakatangaza USHINDI wakiongozwa na Kunguni mkuu BENJAMIN WILIAM MKAPA wakafungulia HAZINA za TAIFA wakachota, wakapora wakagawana NGAWIRA maliya WATANZANIA kama Jeshi la uvamizi. SOMENI KATIKA MISTARI KUNGUNI HAWA Wametoka mbali, and their have come so far!! its TIME WE STAND UP AND SAY TO THEM ENOUGH IS ENOUGH.
 
Sahiba,
Baba wataifa alituasa tuache madini ardhini mpaka Watanzania tutakapokuwa tayari na uwezo wa kuyachimba wenyewe. Mheshimiwa Mwungana na wenzake wakajiona wajanja zaidi wakaenda kumtafuta Sinclair na kumpa 100% ownership ya madini yote. Sasa hiyo ni culture gani aliyowaachia baba wa taifa? Baba wa taifa alituachia misingi mizuri. Tunaibomoa wenyewe.

Ni kweli kabisa baba wa taifa aliacha mali aridhini ikwa intact (asinyimwe sifa zake juu ya hilo) Lakini UTAMADUNI wa huruma alikua nao huo ni UKWELI huwezi kuupindisha.Waziri ANAVURUNDA hapa anamuhamishia pale MKURUGENZI anfilisi shirika hili anahamishwa lile. Kiasi akawapa nafasi KUNGUNI kujua kuwa Mwl hayuko SIRIAS bali ngonjera tu majukwaani. By the time anshtuliwa na SOKOINE its TOO LITTLE TOO LATE. Kunguni wameshajizatiti SO HERE WE ARE.
 
lakini Mwwwalimu si ndie aliemkolimba Sokoine.
 
Jamani acheni kuleta uwongo usio na kichwa wala miguu!! Nyerere kama binadamu alikuwa na kasoro zake nyingi tu lakini si za kuua viongozi wenzake!!! Alimuua Sokoine ili iweje!!!? Mwalimu wala hakuwa mshirikina!!!
 
Mwalimu as an inteligent human being did enough purposly to make sure he dictate the mind of his people,make sure they nod on everything he said and if he wasn't involved on Sokoine's death angehakikisha anawaleta wahusika to justise na sio kile kiini macho.

SAHIBA.
 
From your posts mkuu Sahiba , your reasoning capacity is very low just as is your broken english.Make use of your stay in the ghettoes to get some respectable education if at all your not at it.
After that probably we might , just probably might have some meaningful exchange with you.
 
Saa Mohamed

SIKU chache baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya uchunguzi wa makusanyo ya fedha kwenye kituo kikuu cha mabasi cha Ubungo, mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale Mwiru amesema muda wa kuzungumzia suala hilo bado baada ya familia yake kuhusishwa katika makusanyo ya fedha kituoni hapo.

Waziri Pinda alitoa agizo hilo baada ya kutembelea kituo hicho na kustushwa na taarifa za mapato, akisema kuna harufu ya rushwa katika uendeshaji mzima wa stendi hiyo inayotumiwa na mabasi yatokayo na yaendayo nje ya Dar es salaam.

Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu jana, mshauri huyo wa rais wa masuala ya siasa alisema kwamba, hawezi kuzungumzia suala hilo kwa sasa kwa kuwa muda muafaka haujafika.

Pia, Kingunge, ambaye amefanya kazi katika serikali zote za awamu nne zilizopita, alisema haamini kama Waziri Pinda alitoa tamko kama hilo, lakini hakuwa tayari kuendelea kufafanua kwa maelezo kuwa muda muafaka haujafika.

"Kwanza napenda nikusahihishe kuwa tamko hilo halikutolewa na Pinda, hivyo sina maoni na nasema tena sina comment kwa hilo," alisema Kingunge ambaye anaaminika kuwa ni mmoja wa waumini wazuri wa siasa ya ujamaa.

"Muda wa kuzungumzia suala hilo, bado haujafika. Ukifika nitasema."

Waziri Pinda hakuitaja familia ya Kingunge wakati alipokuwa akitoa maagizo hayo wakati wa majumuisho ya ziara yake jijini Dar es salaam, lakini taarifa za mapato zilizotolewa wakati alipotembelea kituo hicho zilimstua.

Kituo cha mabasi cha Ubungo kinaendeshwa bila ya bodi wala kamati ya uendeshaji na kina mkataba na kampuni binafsi ya kukusanya malipo ambayo huigawia Halmashauri ya Jiji kiasi cha Sh1.5 milioni kila siku.

Lakini Pinda alisema kiwango hicho ni kidogo kwa kuwa kuna mabasi mengi yanayoingia kituoni hapo na kutoka.

Alisema kuwa kiasi cha ushuru kinachokusanywa kituoni hapo hakilingani kabisa na hali ilivyo kwa kuwa kuna idadi kubwa ya magari yanayotumia kituo hicho tofauti na mapato.

"Taarifa niliyopewa nilipofika katika kituo hicho ni kwamba ushuru unaokusanywa kwa siku ni Sh1.5 milioni hata kama kuna idadi kubwa ya magari, sasa tujiulize fedha nyingine zinakwenda wapi," alihoji.

"Hatuwezi kuvumilia hata kidogo… tumeamua kumuambia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali aende afanyie kazi suala la makusanyo ya soko la Kariakoo na kituo cha mabasi cha Ubungo; atupe ripoti baada ya kuchunguza mambo yanavyokwenda."

Kutokana na malalamiko mengi aliyoyapata kwa wafanyabiashara mbalimbali katika kituo hicho, Pinda alisema kuna haja ya kuchunguza hali halisi ya utendaji na uendeshaji wa kituo hicho.

Alisema pia kwamba, hana hakika ushuru wa maduka, baa na vibanda vya biashara vilivyozagaa ndani ya kituo hicho unalinufaisha jiji au watu binafsi.

Alifafanua kuwa inawezekana kukawa na vikwazo vya kisheria katika masuala ya mikataba, lakini akasema mikataba isiwe kikwazo cha kupatikana kwa huduma bora zinazokidhi matakwa ya wananchi na kuwa na tija kwa serikali
 
Labda nimsifu Nyerere kwa kuondoa Ukabila Tanzania na kutumia rasilimali za Tanzania kuwanufaisha mataifa mengine na yeye kupata heshima kubwa at the end alituacha masikini na kutuachia one of the corrupt state and ruling party which he mention him self kwenye speech yake alioitoa Ghana wakati wa maadhimisho ya Uhuru wa Ghana yeye na Ali Mazrui wakiwa wageni rasmi alitoa speech na kusema one party is a problem in Africa in my own country Tanzania CCM is corrupt allGovernment leaders and Party leaders are getting rich them selves , and another problem we have week opposition CCM is continuing to eat the country piece by piece !
Until today Nyerere I beleive he saw the corruption in Tanzania after he left power , he hate World bank , IMF and Others and his own party which he found CCM.
Hata CCM iwe na system gani ya uchaguzi ndani ya chama bado itakuwa kama KANU na end of the day CCM itakufa kama KANU. kwani CCM bado inapandika informat kila kwenye chama cha upinzani kuhakikisha kinabaki madarakani ila CCM haiwezi kudumu kwa mchezo huu kwani hawa hawa spies ndio watakaoiua CCM kama Raila na Wenzake walivyoiua KANU na kuundavyama vyao vyengine.
CCM inaona raha ku bribe opposition leader kuingia kwenye CCM ila ndio hawa hawa wanaoisoma system ya CCM na one day kuimalizakiurahisi.
Mtu pekee amabe ataiokoa CCM after Kikwete ni Salim Ahmed salim.
 
Mlekwa,
CCM is beyond redemption. Na Salim wakati wake umepita.
 
Hivi ni viongozi wangapi wa sasa wanapata muda wa kusoma na kutafakari mambo kama alivyofanya Nyerere. Kama ametafsiri sahihi au la hilo ni jingine, lakini Nyerere alisoma sana na kujaribu kuelimika toka kwa wengine, mbona viongozi wetu wanasafiri sana huko nje, wanaona barabara zilivyojengwa, mbona hawaleti hapa, wanaona mipangilio ya miji mbona hawaigi, wanaona mifumo ya elimu, afya, uchumi... mbona hawjaribu????
Pamoja na makosa hapa na pale angalau Nyerere alijaribu kujifunza na kujaribu kuiga kila mara, makosa alifanya lakini ndio maana tuna reference ya kukwepa alikokosea (mimi sijui ni wapi) kuna methali isemayo ASIYEKOSEA NI YULE ASIYEFANYA CHOCHOTE tu.

Hebu na hawa viongozi wetu wajaribu kusoma na kuelewa, ili wajaribu kuiga vitu fulani fulani.
 
Labda nimsifu Nyerere kwa kuondoa Ukabila Tanzania na kutumia rasilimali za Tanzania kuwanufaisha mataifa mengine na yeye kupata heshima kubwa at the end alituacha masikini na kutuachia one of the corrupt state and ruling party which he mention him self kwenye speech yake alioitoa Ghana wakati wa maadhimisho ya Uhuru wa Ghana yeye na Ali Mazrui wakiwa wageni rasmi alitoa speech na kusema one party is a problem in Africa in my own country Tanzania CCM is corrupt allGovernment leaders and Party leaders are getting rich them selves , and another problem we have week opposition CCM is continuing to eat the country piece by piece !
Until today Nyerere I beleive he saw the corruption in Tanzania after he left power , he hate World bank , IMF and Others and his own party which he found CCM.
Hata CCM iwe na system gani ya uchaguzi ndani ya chama bado itakuwa kama KANU na end of the day CCM itakufa kama KANU. kwani CCM bado inapandika informat kila kwenye chama cha upinzani kuhakikisha kinabaki madarakani ila CCM haiwezi kudumu kwa mchezo huu kwani hawa hawa spies ndio watakaoiua CCM kama Raila na Wenzake walivyoiua KANU na kuundavyama vyao vyengine.
CCM inaona raha ku bribe opposition leader kuingia kwenye CCM ila ndio hawa hawa wanaoisoma system ya CCM na one day kuimalizakiurahisi.
Mtu pekee amabe ataiokoa CCM after Kikwete ni Salim Ahmed salim.

Acha kuongopa hapa ukabila gani uliondoka Tanzania? Makabila bado yapo na kinachotusaidia ni kuwa makabila yenyewe ni madogo madogo katika nchi kubwa.
 
To me Nyerere was a good leader, genius and enough to be remembered for all good and bad things he did to our country.

Our strength shown in the things we stand for and our weakness manifested in the things we fail.

Hatujafanya assignment kiasi cha kutosha, hatujafikiria kiasi cha kutosha, hatujapata kiongozi msomi, mbunifu kama Nyerere mpaka kuweza kutunga siasa yake isiyokuwepo sehemu yoyote! tunapomuangalia yeye tunaangalia failure yetu na uwezo mdogo wa kufikiri kuwa without Nyerere hatuwezi kitu au aliyoamini yeye hayawezi kuwa modified!,

Kuna watu wameshakaa na kuamini hatuwezi kujadili failure ya system tuliyopitia kwa sababu kwa kufanya hivyo we are reproaching Nyerere!

Kuna watu wanaamini hatuwezi kujadili mapungufu ya Nyerere kwa sababu kwa kufanya hivyo ni kumtukana, Naona kuna 'free thinking' iliyoegemea upande fulani

Katika watanzania milioni 40 leo hii, hatuwezi kupropose siasa ambayo ni nzuri kwa nchi yetu? mpaka turudi nyuma na kuangalia siasa ambayo hatuwezi kuringia chochote kile?

Tunampenda mwalimu kwa sababu ya tabia zake personal, kwa sababu ya mapenzi yake ya nchi, he failed in many things but he failed for good intentions, we NEED TO HELP HIM UP! kusema Nyerere, we were supposed to go this way,... and we can go further and see future simply because we will be standing in Nyerere's shoulder, his part and foundation will still be marked for all generation ahead!

Ujamaa is dead, azimio is forgotten capitalism is ruling, we are living today! with actual things of todays. Kuna watu naona wanakuwa obsessed na Nyerere na kutotaka kuzungumzia negative zake! even in reserach people are not doing that! even in bible we are learning from failure of other people!

Kama nchi ilikua maskini hata wakati Nyerere yupo hakuna justification yoyote ya kusema siasa au ideology zake zilifanikiwa, unless tunataka kuwa mashabiki wasio na macho!
 
Back
Top Bottom