Aisee kuna watu wananuka miguu, alikuja jamaa mmoja home alituharibia hali ya hewa 3 days after he left.
Anatafuta Panya Mkuu Never give upNae alikuwa anatafuta nini sasa? RIP
Anatafuta Panya Mkuu Never give up
Lazima utakuwa mzee wa chumvini!:israel:Vinanuka kama nanihii isiyotunzwa.
Never give up RIP?!! ... hivi kumbe hata paka wanapewa RIP?!!!!Nae alikuwa anatafuta nini sasa? RIP