Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,285
Bavicha wameona mziki wa Tingatinga hawauwezi sasa wanatafuta soft target ya kushambulia, ndiyo maana wao kila kukicha wanamuwaza ZZK
Maneno hayo yanamrudia yy mwenyewe Kubenea....
Alimsakama lowasa kwa makala zaidi ya 20....ilikua ukinunua M'halisi front page ni Lowasa na mabaya yake yote.
Leo hii amebadilika baada ya EL kuingia CDM....Kubenea amekana maneno na makala zake zote......na hasira na chuki zote amehamisha kwa zitto......kubenea ni kuwadi wa lowasa nowadays.... Heshima aliyojijengea yote imepukutika.....he can't match zitto in political arena
Akiongea kwenye kipindi cha Hotmix EATV mbunge wa Ubungo Mhe. Said Kubenea ameulizwa kuhusu Zitto na bunge la 11 haya ndio yalikuwa majibu yake.
"Sitaki kujadili mambo ya Zitto. Ni msaka tonge. Labda angekuwa hapa tungezungumza. Lakini Zitto wa sasa sio yule uliyemjua".
We unaonaje juu ya kauli hii ya Mhe. Kubenea kamwonea Zitto au ni ukweli mtupu?
Alikesha dodoma na marehemu deo kulinda documents leo anamsifu prof muhongo.Kweli huyu muha njaa kali
Kwani kubenea ni yule wa mwanahalisi tuliyemjua? Kweli nyani haoni kundule
We paka shume tumia kichwa chako wewe. Kubenea anamnanga Zitto kwamba amebadilika, wakati yeye ameonyesha ukahaba wa kisiasa. Sasa ana moral authority gani ya kumnyooshea kidole Zitto? Kama hujaelewa bado kakojoe ulale. Ngoma ya watoto haikeshiSijui kwa nini ccm ni majuha kuliko hata twaweza walivyosema. Ni nani asiyekuwa na ufahamu kuona kwamba umejibu tofauti na swali? Ndiyo matatizo ya kupewa pass za mikono badala ya vichwa.
Jibu swali lililoko mezani. Kama una agenda yako, unaiweka mezani inajadiliwa. Huu upumbavu mpumbavu wa namna hii hadi lini?
Mbona humsemi Kubenea aliyemuandika Lowassa kuwa ni fisadi papa halafu akabadilika na kumkumbatia jukwaani? Ni nani mchafu kati ya Lowassa na Muhongo?
Inaonekana bado wapo wajinga wachache wanaoendelea kumuabudu Lowassa.
Lowassa atawamaliza pumzi nyie majipu
Bado unasimamia ulichoandika?!Bavicha wameona mziki wa Tingatinga hawauwezi sasa wanatafuta soft target ya kushambulia, ndiyo maana wao kila kukicha wanamuwaza ZZK