Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

Bavicha wameona mziki wa Tingatinga hawauwezi sasa wanatafuta soft target ya kushambulia, ndiyo maana wao kila kukicha wanamuwaza ZZK
 
Maneno hayo yanamrudia yy mwenyewe Kubenea....

Alimsakama lowasa kwa makala zaidi ya 20....ilikua ukinunua M'halisi front page ni Lowasa na mabaya yake yote.

Leo hii amebadilika baada ya EL kuingia CDM....Kubenea amekana maneno na makala zake zote......na hasira na chuki zote amehamisha kwa zitto......kubenea ni kuwadi wa lowasa nowadays.... Heshima aliyojijengea yote imepukutika.....he can't match zitto in political arena

Umeongea point sanaaa mkuu..kubenea wa sasa sio yule wa jana mwanahalisi....
 
Hivi Chadema huwa hawana Memory? Mbona wanadahau haraka?

Wamesahau kama walitangaza Lowassa ni Fisadi lkn ghafla Lowassa akawa mtu safi tena mwenye usafi wa kiwango cha kupata kura mil 6?

Sasa kama waliweza kumteua fisadi papa kwa mujibu wa Intelijensia ya chadema na kumfanya kuwa mgombea Urais na kuwanyamanzisho wote waliohoji kwa madai kuwa waende wakashtaki.

Sasa najiuliza hivi wanapata wapi uhalali wa kuhoji uteuzi wa muhongo ikiwa nae hajashtakiwa na kutiwa hatiani na Mahakama?

Nadhani Chadema ndio wenye haki ya kuchafua na kusafisha mtu sasa Magufuli hakuwashirikisha kabla hajateua .
 
Akiongea kwenye kipindi cha Hotmix EATV mbunge wa Ubungo Mhe. Said Kubenea ameulizwa kuhusu Zitto na bunge la 11 haya ndio yalikuwa majibu yake.

"Sitaki kujadili mambo ya Zitto. Ni msaka tonge. Labda angekuwa hapa tungezungumza. Lakini Zitto wa sasa sio yule uliyemjua".

We unaonaje juu ya kauli hii ya Mhe. Kubenea kamwonea Zitto au ni ukweli mtupu?

Vivyo hivyo, "Kubenea wa sasa sio yule uliyemjua", au Kubenea amesahau alikuwa anaandika nini kuhusu Lowassa kwenye Mwanahalisi miaka ya nyuma?
 
Alikesha dodoma na marehemu deo kulinda documents leo anamsifu prof muhongo.Kweli huyu muha njaa kali

Mbona humsemi Kubenea aliyemuandika Lowassa kuwa ni fisadi papa halafu akabadilika na kumkumbatia jukwaani? Ni nani mchafu kati ya Lowassa na Muhongo?

Inaonekana bado wapo wajinga wachache wanaoendelea kumuabudu Lowassa.
 
Kwani kubenea ni yule wa mwanahalisi tuliyemjua? Kweli nyani haoni kundule

Sijui kwa nini ccm ni majuha kuliko hata twaweza walivyosema. Ni nani asiyekuwa na ufahamu kuona kwamba umejibu tofauti na swali? Ndiyo matatizo ya kupewa pass za mikono badala ya vichwa.

Jibu swali lililoko mezani. Kama una agenda yako, unaiweka mezani inajadiliwa. Huu upumbavu mpumbavu wa namna hii hadi lini?
 
We paka shume tumia kichwa chako wewe. Kubenea anamnanga Zitto kwamba amebadilika, wakati yeye ameonyesha ukahaba wa kisiasa. Sasa ana moral authority gani ya kumnyooshea kidole Zitto? Kama hujaelewa bado kakojoe ulale. Ngoma ya watoto haikeshi
 
Mbona humsemi Kubenea aliyemuandika Lowassa kuwa ni fisadi papa halafu akabadilika na kumkumbatia jukwaani? Ni nani mchafu kati ya Lowassa na Muhongo?

Inaonekana bado wapo wajinga wachache wanaoendelea kumuabudu Lowassa.

Lowassa atawamaliza pumzi nyie majipu
 
Back
Top Bottom