Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

Hizi sio rumours. It is public knowledge kwamba Mbowe anaidaiwa sana na kwamba ana kesi mahakamani na NSSF juu ya kushindwa kulipa deni na NSSF wana judgement tayari. Sasa Bwana Kitila kama una kengeza inapokuja habari ya CHADEMA that is one thing, lakini sio busara wala heshima watu wakileta habari hapa kuziita "utupu".

Soma tena kichwa cha habari. hali mbaya tunayojadili hapa ni ipi: Freeman kukopa au kudaiwa? Je, kwa mfanyabiashara kukopa au kudaiwa ni hali mbaya au ni tatizo? Ndio watu wakasema tuwe nasubira katika ku-post thread mpya. Kama kuna kitu umesikia, tafiti basi angalau kidogo kabla hujamwaga hapa kwa mjadala ili ulete kukiwa na some fresh in it. Mpaka hapo tumeshaingia sehemu ya pili ya hii thread bado hamna kitu. Vinginevyo nitaendelea kusema tunajadili utupu (vacuum), japokuwa tunahaki ya kujadili chochote.
 
Halafu unajua hawa yamaa wa TRIDENT they always take their time, hawana PAPARA

Na hivi huyo bwana mkubwa yuko hapo HULL basi wakimhitaji itakuwa rahisi kumpata

Vile vile I can only imagine hao ma conservatives watakavyoreact wakiambiwa kuwa wabia wao huko Tanzania kiongozi wao ana dela na clriminal elements hapa UK. Hivi ninavyongea inawezekana huyu Mheshimiwa akawa na DAMU mkononi kwani Trident wao wana dela na YARDIE na hao ndio watu wake huyo mheshimiwa hapo juu

STAY TUNED
 
Samvu,
Kila mtu haishi UK mjomba.. explain vitu vifahamike! Trident ndio nini? wauza peremende au wachawi gani!..hizo element za criminal ni zipi maanake mnaanza kuzusha vitu sasa kupotosha hoja za wana CCM.
 
samvulachole

hivi ukiandika huwa unafikiria kwanza? mbona unaongea tuhuma nzito nzito bila hata kuweka sentensi vizuri?
 
Yebo yebo,

Huyu jamaa nadhani kama anafikiri basi nahisi ni kwa dakika chache sana: Nimemwambia hivi sehemu:

Nimekuwa nikikusoma kwa makini sana, siku zote nilikuwa sina data na mengi usemayo, hasa kuhusu Mbowe na mengineyo, sasa umezungumzia kitu ninachokifahamu vizuri. Na HAPO NDIO NIMESHUSHA CREDIBILITY YAKO MPAKA NEGATIVE. nikikuweka kwenye zero nitakuwa nimekupendelea sana. Una uhakika na uongeayo hapo juu????! jibu for sure ni kuwa huna uhakika.
Wewe ni mtu wa kuogopwa kama ukoma maana ni :

1. Muongo
2. Unapenda Character assasination
3. Mchonganishi
4. Mwenye wivu kwa wote wanaokuzidi maendeleo (unamtolea Kusaga mfano wa kupenda sifa, umeshawahi kusikia anaimbwa na FM academia au Twanga pepeta au umesikia anatoa michango kila mara kama Dewji au Raza au Manji?)
5. Una roho ya kwanini na masikini wa fikra.
6. Utaendelea kubeba maboksi huko UK kwa kuwaonea wenzako donge!!!!
Naomba uache kuzungumzia au kutuletea mambo usiyokuwa na uhakika nayo.

Zaidi ya hapo sina tatizo na michango yako!!

FD
 
Hivi "kubeba maboksi" ni sifa mbaya? ni uhalifu? ni udhalilishaji? au ni nini hasa? ni kwamba 'wabeba maboksi" wamelaaniwa? ... nielewesheni.
 
mhm, kama kweli basi hili ni kasheshe sasa ! sijui alidhani helikopta inatumia maji kipindi kile ? ******** kizunguzungu****** subiri nifikirie alikuwa anafikiria nini, na si ndio huyu huyu aliyesema ikulu ime-over-draft mapesa kibao which was true, lakini kumbe na yeye hakuwa msafi kihivyo ! toba ! tunamsema mtu aliyekuwa kwenye kiza kinene ilihali na sisi tupo kwenye kiza kinene vile vile.
 
Afadhali kubeba maboksi kuliko kuwa mwizi wa mali ya umma. Samvulachole wasikukatishe tamaa hawa jamaa, wewe mwaga mavituzi na baada ya muda tutachambua pumba na mchele.
 
kubeba boksi tutabeba ( angalau sibebi boksi ) ili mradi tuwe na vipato halali, inaonekana wengi hapa ni WANAFIKI aka HYPOCRITES, yaani wanawachukia wala rushwa na kuwaponda wabeba boksi, sasa wasipobeba boksi mnataka wawe wala rushwa ( ndio mnavyosema wengi humu ndani, kwamba hao wala rushwa wanaonewa wivu na wabeba boksi ) sasa kama hamtaki watu wabebe boksi basi acha wawe wala rushwa na mfunge midomo yenu, maana mtu akiwa mla rushwa mnachukia akila boksi mnawadharau utafikiri wamejinyea !! alaa
 
Ilongo na Mtanzania,

Kubeba maboksi sio sawa na Joseph Kusaga anayetafta mali kwa jasho lake, someni between the lines muelewe sio kudakia mambo. Nimekuwa very specific ili nieleweke. Sikukubaliana na Semvulacho kusema mke wa gavana ni Mrwanda (sijui mrundi) na sikukubali yeye kuwachafua Kusaga na Ruge. Sikukataa yeye kusema Balali (gavana) Ila sikupenda pale anapopindisha mambo!!!

Aendelee tu ila sipindishe mambo!! Heri kuwa kama Joseph Kusaga na Redio yake ya Clouds na "kupenda sifa" kuliko KUBEBA MABOKSI.

Yes nimesema hivyo. ACHENI VIJIBA VYA ROHO, na kama mnataka ku spin mambo endeleeni.

Hapa hakuna spinning wala nini .... unataka kusema kwamba "anayebeba boksi" hali kwa jasho lake siyo? Hakuna mwenye kijiba cha roho hapa, ila kinachotakiwa ni kuweka mambo sawa ili ukweli uwe wazi. Hauwezi kuhalalisha majibu yako kwa mtu kwa kukandia kazi za wengine eti kwa vile wewe una "white collar job". Na ndiyo maana nikataka kujua kama "kubeba boksi" ni laana?
 
wale wale, nani aliyesema anawaonea wivu hao wala rushwa ? unajua kama kusaga analipa kodi anazostahili wewe ? sasa rudi hapa sasa hivi halafu uniambie
 
Kada,

Ninajadili mambo baada ya kuchambua kiyakinifu na kutafakari. Nipe data. Nitajie kesi aliyonayo Kusaga kuhusu kukwepa kodi. La sivyo kaa kimya.

FD
 
sina makaratasi yanayoonyesha malipo ya kodi ila ninachojua mie ni kwamba halipi kodi inayopaswa ! wee unadhani wasiolipa kodi wote wana kesi, hata ya mengi iliwekwa wazi kwa ajili ya matatizo yake na hao asioelewana nao.

*education is no equal to common sense kweli* unategemea waandike kwenye magazeti fulani na fulani hawalipi kodi, kama hivyo mbona watakamatwa wengi
 
hata asipokuwa na kesi mahakamani, mahakimu hao hao ndio wala rushwa wale wale wanaopindisha kesi kila siku mifano nadhani unaijua mwenyewe. kote tanzania kumezajaa rushwa na lazima ukubali hilo.kuanzia ikulu hadi mitaani.
 
Yebo yebo,

Huyu jamaa nadhani kama anafikiri basi nahisi ni kwa dakika chache sana: Nimemwambia hivi sehemu:

Nimekuwa nikikusoma kwa makini sana, siku zote nilikuwa sina data na mengi usemayo, hasa kuhusu Mbowe na mengineyo, sasa umezungumzia kitu ninachokifahamu vizuri. Na HAPO NDIO NIMESHUSHA CREDIBILITY YAKO MPAKA NEGATIVE. nikikuweka kwenye zero nitakuwa nimekupendelea sana. Una uhakika na uongeayo hapo juu????! jibu for sure ni kuwa huna uhakika.
Wewe ni mtu wa kuogopwa kama ukoma maana ni :

1. Muongo
2. Unapenda Character assasination
3. Mchonganishi
4. Mwenye wivu kwa wote wanaokuzidi maendeleo (unamtolea Kusaga mfano wa kupenda sifa, umeshawahi kusikia anaimbwa na FM academia au Twanga pepeta au umesikia anatoa michango kila mara kama Dewji au Raza au Manji?)
5. Una roho ya kwanini na masikini wa fikra.
6. Utaendelea kubeba maboksi huko UK kwa kuwaonea wenzako donge!!!!
Naomba uache kuzungumzia au kutuletea mambo usiyokuwa na uhakika nayo.

Zaidi ya hapo sina tatizo na michango yako!!

FD

This sounds like you're describing another famous character in JF.

I think a clear picture is beginning to emerge, and soon we'll connect the dots
 
Fikiraduni,
Kubeba boksi si sawa na anayetafuta mali kwa jasho lake? Una maana gani? Una maana mbeba boksi hatafuti mali kwa jasho lake?

Hiyo ndio ile ile kiburi ya Watanzania kudharau kazi za wengine.

Kubeba boksi ni kazi sawa na kazi nyingine yeyote. Kudharau kazi ya mtu ambayo inampa mlo na maisha yake tena kwa njia halali, inanifanye nishangae hizo arrogance zetu zitatufikisha wapi?

Ndio maana wala rushwa tunawatanguliza mbele makanisani na misikitini. Kama mawazo ni haya, tunakoenda kubaya.
 
hili bonge la kasheshe lingine, sasa hii itaunganisha machungu ya bajeti, stars, rushwa, upuuzi wa serikali na mengine mengi
 
Oyaa..msianze kudharau boksi
Kuna watu wanajenga magorofa bongo kwa kubeba boksi
Boksi ni kazi kama kazi zingine....acha kukandia boksi mjomba.
Kwani wewe hujawahi kubeba boksi...?
 
Back
Top Bottom