FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,930
- 109,334
Hilo nalo neno au kikundi chochote cha ujasusi, MI5 au Mossad, maana huwa na mapandikizi wengi, mpaka leo asipatikane? Haiingii akilini.Huyo mama kwa akili ya kawaida kabisa isiyo na mafunzo ya ujasusi ni CIA
Juzi juzi nilikuwa naisikiliza interview ya Msaudi jasusi wa Uingereza aliyeishi na kufanya kazi na Al Qaeda kwa miaka bila kujulikana. Mara ya mwisho alikuwa ni bonge la executive kwenye bank moja ya Magharibi.
Watu waliofanya kazi nje za nchi au hata kwenye ma NGO kama kina Msechu na wakaja huku wakapata nyadhifa za juu na jinsi vichwa vyao vinavyofikiria tofauti na Watanzania, wengi huwa ni mapandikizi ya Kimataifa.