While KQ is at economical Depression ATCL set to receive brand new 2nd B787-8

Hahahaha, Maneno ya mtu aliyekata tamaa na mwenye roho mbaya, " last kicks of dying horse". Mlizoea kuwa peke yenu ktk biashara ya ndege ukanda huu, KQ ilishindwa hata kabla ya kufufuliwa kwa ATCL na Uganda Air, lawama zenu ni muendelezo wa roho mbaya na wivu wenu juu ya majirani zenu.

Kenya hakuna jirani yenu ambaye mnaelewana, Somalia, Ethiopia, South Sudan, na Uganda, wote hao mnakwaruzana nao. Mnasifika Africa nzima kwa ukatili wa kuuwana wenyewe kwa wenyewe na roho mbaya

Unaongea tuu hujajinu hoja!

Mnaishia kusema mnaonewa wivu,substance kwanini mnaonewa wivu hamtoi!

Mpo kama miwanawake ya Manzese huko,kila kitu eti mnaonewa wivu!

Mnapofanya stupid decisions za kibiashara mnapingwa mnaishia kuita watu eti Wakenya eti mnaonewa wivu!

Stupidity tupu!

Kila anaepingana na nyie ni Mkenya!?

Motherfvckers!
 
kwa hiyo unataka kusema hata zile jitihada za kufufua shirika la ndege la uganda pia furaha ya kuona KQ inaangamia ? do not let your negativity ruin your brain my friend... be real ... hizi itihada za kufufua shiririka la ATCL jitihada za kujaribu kuinua uchumi wa nchi tunatambua ya kuwa tuna utalii wa kuwavutia watalii ss kwann tusijaribu kuwaleta watalii wetu moja kwa moja through OUR OWN PLANES ? let US try

Ndege gani ya ATCL ilishabeba mtalii yeyote?

Kuna ndege ya ATCL inaenda EU?

Kuna ndege ya ATCL inaenda America?

Hakuna!

Watalii mnawabebea Njombe?

Stop stupidity!
 
Ndege gani ya ATCL ilishabeba mtalii yeyote?

Kuna ndege ya ATCL inaenda EU?

Kuna ndege ya ATCL inaenda America?

Hakuna!

Watalii mnawabebea Njombe?

Stop stupidity!
we kweli ni zwazwa ..kwan hata mtu akinuna gari ni siku iyo iyo inaanza kuingia barabarani kuendeshwa ? overcome your silliness ..there are some procedures that we must follow and adhere therefore just wait and see kununua ndege ni hatua ya awali then ndio uanze safari ..au unawezaje kuanza safari pasipo kuwa na chombo cha kusafiria ?
 
Upumbavu mlichofanya wewe na Jiwe wako ni kuua mashirika madogo madogo yaliyokua hapa nchini as if ndio kwamba nyie mtafanikiwa na ATCL,which is wrong!
Unalalamika nini wakati ni soko huria? Hayo makampuni yalipoanza si yalichukua masoko ya ATC? Sasa wajipange tuu ndiyo ushindani wa kibiashara huo.
 
Hyo formula iweke hapa na mi niione angalau
Nimekuambia iweje katika nchi zote duniani itumike formulae moja, lakini Kenya itumie formula tofauti.

Nimekuomba utumie hiyo formulae yako ili kupata GDP ya Kenya kati ya mwaka 2016, umeshindwa kufanya hivyo matokeo yake unaanza kucheza na Maneno kuficha uongo na aibu yenu, kumbuka IFM ilishasema kwamba Kenya inadanganya. Hahahaha.
 
Unalalamika nini wakati ni soko huria? Hayo makampuni yalipoanza si yalichukua masoko ya ATC? Sasa wajipange tuu ndiyo ushindani wa kibiashara huo.

You are so dumb!

Right there,what an irony?

Unazungumzia biashara huria wakati huo huo mliwatoa akina FastJet kwa kuwanyima leseni na flying rights makusudically kuwatoa!

Hiyo ndio biashara huria to you?

Hapo hapo unarudi hapa kuongelea “biashara huria”,y’all motherfvckers are full of contradictions!

Fakayaah!
 
Eye for an eye, that's what the so called "private companies" did to sabotage ATC. So you can shove it, any time.
 
we kweli ni zwazwa ..kwan hata mtu akinuna gari ni siku iyo iyo inaanza kuingia barabarani kuendeshwa ? overcome your silliness ..there are some procedures that we must follow and adhere therefore just wait and see kununua ndege ni hatua ya awali then ndio uanze safari ..au unawezaje kuanza safari pasipo kuwa na chombo cha kusafiria ?

Mzee

It is a loss making super machine!

Hamlisemi hilo kwamba tunapata hasara kwa sasa!

Faida mtapata mwaka gani?

Hata forecast hamjui?

Y’all niggas are dumb as fvck!

Bombadier,bombadier my black ass...bambadier ya kwenda Njombe?

Nairobi hamuwezi kwenda,muwe munaenda totalitarian countries like North Korea,China na Russia ambapo hua hawaendagi kutalii!

Y’all are too stupid
 
Eye for an eye, that's what the so called "private companies" did to sabotage ATC. So you can shove it, any time.

Mkuu

ATCL ilikufa kwa poor management,usisingizie FastJet people!

Hawapo kwenye position yeyote ya decision making hapa nchini!

Ni wafanyabiashara kama wengine!

Tatizo ni incompetence ya watendaji wa hayo mashirika yenu na rushwa zao na matumbo yao na wanasiasa wenu wenye nusu ukichaa!

Ni totally on them!

Hii kuja kumnyang’anya mtu leseni purely kumtoa ili wewe ufanye biashara soon na wewe utakuja kuanguka maana hakuna competition which is zero plus zero anyways!
 
Kwa juu juu itaonekana ni uendeshaji mbovu lakini ukweli ni kuwa yaliyotokea ilikuwa ni hujuma. Na hii ilikuwa kwenye sekta nyingi za serikali, ikiwemo elimu, mawasiliano n.k.

Hizo FastJet ukiangali mzizi yake utaona inatoka kule kule kwa ilikotoka Alliance air, Vodacom n.k. Yaani footprints ni zile zile wala haina haja ya kutumia akili nyingi kuliona hilo. Na walipoona tuna ndege mpya, fanisi na zinazotumia mafuta kidogo (faida kubwa) wakaikamata ndege yetu, sasa utawachekeaje watu kama hao?
 
Hongera Tanzania na ATCL!

Please note the joy of an airline is not in owning many planes but getting them filled up with passengers. A sitting plane is as expensive to maintain almost like flying it half full. Good luck!
 
Please note the joy of an airline is not in owning many planes but getting them filled up with passengers. A sitting plane is as expensive to maintain almost like flying it half full. Good luck!
From what rock have you been living under, last time I checked there were more passengers than ATCL could handle.
 
Ukipanda KQ mzigo wako hesabu hasara! Pale Nairobi kuna kitengo cha maalum cha kupiga search mizigo. Zari analia huko mitandaoni amepigwa, hii issue ina wanenepesha viongozi. Tatizo miaka nenda rudi hali tatuliwi!
 
Back
Top Bottom