Naxvegas254
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 542
- 315
Wakenya sio wanafiki na wapikaji takwimu, Wakenya vyombo vyao vya habari Ni huru, Wakenya wanajua rights/haki zao, Wakenya wanamkosoa Rais wao bila kuogopa kuvamiwa na waliovaa nguo za kijani, Wakenya wakisikia wamenyanyaswa wanaingia mitaani na kutolea Serikali fujo, Wakenya wanahoji matumizi ya pesa kwa kuwa Ni watoa ushuru, Wakenya hawafurahishwi Ni vitu vidogo vidogo Kama miradi ya kununua Ndege(Tumezipata na kukuwa nazo Ni kawaida), Wakenya wanajua athari za kutawaliwa na chama kimoja(enzi za kanu sawa na CCM ya Tanzania).Kwa Mara ya Kwanza Mkenya anapongeza Tanzania.Very exciting!!
Wakenya kwa ujumla Ni wajanja kimaisha na kimasomo kuwaliko wenzao wote wa Mashariki ya Africa hivyo basi wanajielewa na sio Siri tunaposema Mkenya Yuko mbele ya Mtanzania kwa zaidi ya miaka 10. Najua myabisha na kutema matusi na povu but looking at the basics Kama vile;
Barabara- Mtoto wa Nairobi wa miaka 10 ameiona na kuitembelea dual carriageway ya lanes 12 kitu ambacho wengi wenu wazee wa zaidi ya miaka 40 hamjawahi kukiona. Mtoto Kama huyo akili zake zimefunguka kumliko mtoto wa Tz wa miaka 20.
Umeme- the last time Kenya ilikuwa na kiwango Cha umeme Kama huo wenu Ni takriban miaka zaidi ya kumi iliyopita... that's another reason why mtoto Mkenya hawezi elewa vipi Tz haina umeme wa kutosha.
Vyombo vya habari - hapa viko huru Kutangaza chochote so itakuwa vigumu kuelewa Ni vipi CCM inatawala katika vyombo vya habari ukilinganisha na Kenya ambapo tukio la mwisho Ni back in the 90s.
SGR - wakati nyinyi mnyang'ang'ana kukamilisha 200km Kenya yake tayari imekuwa ikifanya kazi for 3yrs Tena km 600.
Airlines - wakati nyinyi mnanunua dreamliner ya Kwanza, Kenya hata sikumbuki walinunua lini na ngapi Yani we have been used to Seeing KQ. Nakumbuka nilioenda advert yao nikiwa kijana mdogo wa miaka 8 that was back in 1993...Bongo mlikuwa wapi?
Bandari - Bandari ya Mombasa handles more cargo than all East African ports combined including those in lakes.
GDP - Ya Kenya = Tz+Ug+Rw+Burundi hapo Hakuna ubishi.
Elimu - Watanzania wanasomea hapa Kenya Ni wengi hata Kuna Uzi wa kusupport hapa JF.
Health - Life expectancy ya Kenya iko juu kuliko ya EAC Countries.
Ni mengi kuliko niliyoyataja but hata mkitaka kunitusi Ni sawa.