dUH WANDUGU MBONA SIKU HIZI KAI NGUMU HIVI KULIKO HATA KUPATA DEGREE SASA SISI MA JOB SEEKERS TUTAFANYAJE. I AM A JOB SEEKER PLSE WENYE NETWORK ZENU HELP ME.
Ndugu yangu kazi sikuhizi ngumu kupata wakati elimu yenyewe tunakopeshwa alafu wanatudai. mpaka baba / mama / kaka / jamaa / dada yako awe mbunge au waziri au muhishi-miwa ndo upate kazi kiulaini la sivyo ununue na mpaka uje kumpata huyo wa kuku uzia ujue hali imeshakuwa mbaya. na hela atakayo itaka pia atakukomoa ili ushindwe.
well i guess getting a jobb nikazi kuliko degree cz i hv a degree ya law lakini hamna ajira au ndo kujuana hata sielewiii maisha magumu kwa graduatsss nyumbni mwentu wanatuona tumesoma tunsaidie lakinii badala ya kusaidia bado tunasaidiwa na wazai cz hamna ajira unahangika kila siku asubui kurudi jiono utafikiri unaenda offisini kumbe kutafuta kazi tuu jaman anaweza kunifanyia mpango nitoke na me mitaanii nimekaa tuu sina cha kufanya
Nafurahi kuulizwa professional coz naona kama vile kuna kimwanga kinataka kutokea hahhaaha!.I am a business woman by professional specialized in marketing.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.