Which is more difficult nowdays,getting a job or getting a degree.i am job seeker by profession

ELSA

Member
Oct 10, 2011
10
0
dUH WANDUGU MBONA SIKU HIZI KAI NGUMU HIVI KULIKO HATA KUPATA DEGREE SASA SISI MA JOB SEEKERS TUTAFANYAJE. I AM A JOB SEEKER PLSE WENYE NETWORK ZENU HELP ME.
 
Jitwike bango.
Tk50D.jpg
 
Ndugu yangu kazi sikuhizi ngumu kupata wakati elimu yenyewe tunakopeshwa alafu wanatudai. mpaka baba / mama / kaka / jamaa / dada yako awe mbunge au waziri au muhishi-miwa ndo upate kazi kiulaini la sivyo ununue na mpaka uje kumpata huyo wa kuku uzia ujue hali imeshakuwa mbaya. na hela atakayo itaka pia atakukomoa ili ushindwe.
 
Mkuu, Kupata Degree ni simple sana ila kupata kupata kazi sio mchezo, tuendelee kuomba mungu.
 
well i guess getting a jobb nikazi kuliko degree cz i hv a degree ya law lakini hamna ajira au ndo kujuana hata sielewiii maisha magumu kwa graduatsss nyumbni mwentu wanatuona tumesoma tunsaidie lakinii badala ya kusaidia bado tunasaidiwa na wazai cz hamna ajira unahangika kila siku asubui kurudi jiono utafikiri unaenda offisini kumbe kutafuta kazi tuu jaman anaweza kunifanyia mpango nitoke na me mitaanii paris-at-work.jpg nimekaa tuu sina cha kufanya
 
I took bachelor of Business administration specialized in marketing.Wat about you mare you a job seeker by professional as well hahaaa, a joke!!
 
Nafurahi kuulizwa professional coz naona kama vile kuna kimwanga kinataka kutokea hahhaaha!.I am a business woman by professional specialized in marketing.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom