Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,648
nilijua lazima uanze mambo yako. We upoje?! Muone vile.
Na wewe jione.
nilijua lazima uanze mambo yako. We upoje?! Muone vile.
Na wewe jione.
sepa bwana kabla hujachafua hali ya hewa.
Nisepee wapi sasa? Kwako?
tufanye umeshinda. Furahi sasa.
Nyani Ngabu na Husninyo!Nisepee wapi sasa? Kwako?
NN na Husninyo tuwafungishe ndoa? maana kila thread nyie mwalumbana loh!
NN na Husninyo tuwafungishe ndoa? maana kila thread nyie mwalumbana loh!
Nyani Ngabu na Husninyo!
Mnachakachua thread!!
Kanianza mwenyewe na uchokozi wake.
NN na Husninyo tuwafungishe ndoa? maana kila thread nyie mwalumbana loh!
Haya nanyi tupeni taarifa zenu; nani ana say ya mwisho kule chumbani? lol
Nyani Ngabu na Husninyo!
Mnachakachua thread!!
Hivi haya mambo kwanini watu wanapenda kuwekeana kingo msemo wa GY,hizi Kingo za nini hizi, vile vile najaribu kuangalia ule muhemko sijui wanaupeleka wapi pamoja na kwamba wanasema mwanamke anaweza kukaa kwa muda mrefu bila kufanya mapenzi lakini hili suala linaangukia kwenye ndoa kama utafiti unavyosema basi infidelity is at the highest rateHapana The Finest, hawa wametoa kabisa sample size ya kila nchi husika sema tu sikuzishika vizuri but kuanzia wanawake elfu 3000 kila nchi. Na hebu basi tusilizingumzie sana hili la methods (am sure justifications zipo wajameni, kuna research statistics ambazo nina amini kuwa zinatoa angalau picha iliyo karibu na uhalisia. Mbona tafiti za UKIMWI na prevalence rates zake mnaziamini??? hebu bwana
Zungumzia kwa nini haiwezekani na utoe possibilities nawe eheee!
Lol..kumbe?Soon atakuwa anajulikana kama Husninyo Ngabu...teh teh teh
MJ1 Hivi hapa hununui case kweli?? Kumbuka utakua shahidi pale Uporoto1 atapomfuata Husny hapa.... lol
nyani anaingilia ndoa yangu na uporoto.
MJ1 Hivi hapa hununui case kweli?? Kumbuka utakua shahidi pale Uporoto1 atapomfuata Husny hapa.... lol
Lol..kumbe?
Na nyie itakuwa mna do baada ya siku ngapi?