When tanzania will change sports to be an industry! It is now

CHESEA INGINE

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
200
46
Mimi naona tumechelewa kuifanya michezo kuwa ni ajira. Tunayo michezo mingi tu ambayo ikifanyiwa kazi na wataalam wetu ikawa ya Kitaifa kwanza halafu ikaanza kusambaa taratibu nchi za jirani na kuendeleakwa ile michezo ya asili. Hi michezo ya mpira wa miguu na mingine ya kimataifa iwe ya kibiashara vijana waweze kutengeneza pesa kutokana na uwezo wao wa kucheza huo mchezo pia, kukimbia ngumi na vikapu. Tunachelewa mno Serikali yetu! Tuanze sasa vijana wana ujuzi wao wanaupotezea vijiweni tu vyuo vya michezo vifunguliwe kwa wingi na Serikali itatengeneza mamilionea wake wawalipe kodi zitakazoisadia Serikali kutimiza malengo yake mengi ya Kijamii. Naomba michango wana JF.
 
Back
Top Bottom