When one tells you,he didn't love you...uwiiiiiiiiiii

mi sisemi kitu kabisaaa

Asante kwa kutupa maelezo ya Kina

Huyo jamaa ametuangusha kwa kuwa mwoga...kukuonyesha kuwa yeye kama mwanaume He was supposed to give directions na sio kusubiri fate

katuaibisha sana

Angekwambia tangu mwanzo,,,, tusingefika hapa

sasa basi kama tulivosema tangu awali ni wakati muafaka wa kumove on. Anakuitia nini , halafu isije ikawa deep down bado unampenda ile kikweli kweli manake kama ni hivyo hapa tutakuwa tunapoteza wino wa Invisible bure....

wala hupotezi wino usijali Kaizer..hapa nilipo mapenzi yooooote na yalikuwa mengi haswaaa..yamefutika juu yake.kama ye hanipendi mi nampendea nini ssa..si nitakuwa mpuuzi..love is not blind as they say.
 
good gal. so now you know what exactly to do.....do the right thing now and at this right moment
 
poleee...! god will help you to pass though this, never give up kwa sababu ya mpuuz kama huyo. Kiukweli inaumaaaa..... pole tena
 
Back
Top Bottom