When one tells you,he didn't love you...uwiiiiiiiiiii

its real hard to believe !!!! three years? noooo its hard, then why did u wate my time? i wont understand such a person
 
Am happy you know the truth.....we advised you to seek the truth....trust me,it will set you free....now:

You may be feeling the pain of negative words spoken over your life, or maybe you've spoken to someone else and you wish you could take back. Maybe there are things in your past that you think can't be forgiven. Or maybe you feel guilt for some past failure or resentment and unforgiveness toward someone who has wronged you.Whatever your need may be, let God meet it! Allow the power of His forgiveness to sweep across your heart and life and make everything new.

God is a good God, and He is at work in your life. Trust Him because He is faithful. His plans are always for your good. His plans are always to prosper you. He delights in seeing you grow and succeed. Make the decision to cooperate with what God is doing. Set aside the wrong questions, set aside complaining, and pick up His peace and joy and move forward with Him in victory and blessing every day of this New Life without him.Happy Womens Day!!

Dah ... i nearly said ur a genius lady and would have put my thanx 2 ur post .... next time its costs a minute to aknowledge the work done by others!! attach refences to works / words which arent yours ... it costs nothing!!

www.joelosteen.com/.../ThePowerOfForgiveness/.../ThePowerOfForgiveness. aspx -
 
mmh..madabwada na wewe mchukunuku..loh huna simile..kwani binadamu si husahau..hee
 
Je umewahi kuambiwa hukupendwa wewe?na ulijisikiaje?na ukafanyaje kuzoea hiyo hali?

Inauma kupita maelezo ukiambiwa hivyo, mwenzio nilianza kwa kuambiwa tuwe gud friends, nikajifanya kutoelewa
baada ya muda kupita nikapewa kavukavu sijawahi kukupenda kabisa nna mpenzi wangu ninaempenda,acha kabisa nilihisi kuchanganyikiwa

Niliamua kujiunga na forum mbalimbali ikiwemo JF, katika somasoma yangu nikangundua siko peke yangu nilyeumizwa na mapenzi ni wengi tu, ndo kilichonipa faraja, so bibie utazoea tu, jichanganye na watu,kuwa busy na mambo yako yaani utamsahau tu, simu zake usipokee, wala usijibu email zake, ili umove on mapema, lakini ukiamua kuwasiliana nae shost utaumia siku zako zote sababu bado unampenda ila yeye hakupendi
 
Sweetdada ni bahati mbaya unaujua ukweli baada ya muda lakini unabaki kuwa ukweli, the earlier you cope with it the better...I pray that you may have the strength and resilience during this trying moments

BUT...overall, u can plan ur life better now....all the best
 
You not looser if u let it go...it show how strong ur by let it go...by the way life goes on...don give up
 
oooh! Sweetdada! Pole! Hatuji kilichotokea upande wa pili, lakini kiukweli hali kama hiyo inaumiza sana, na unaweza kuhisi kama huna thamani yoyo hapa duniani, napenda kukuhakikishia kua, una bahati, na bahati yako iko njiani inakuja! Kuna watu hawajui thamani ya penzi, wala usisumbuke nao. Cha kufanya kwa sasa hakikisha hufanyi mawasiliano nae, ikibidi futa no yake, na pia achana na dhana ya kusema huwezi bila yeye! Karibu mwanza!!
 
Sweetdada ni bahati mbaya unaujua ukweli baada ya muda lakini unabaki kuwa ukweli, the earlier you cope with it the better...I pray that you may have the strength and resilience during this trying moments

BUT...overall, u can plan ur life better now....all the best

thnx Kaizer,
 
oooh! Sweetdada! Pole! Hatuji kilichotokea upande wa pili, lakini kiukweli hali kama hiyo inaumiza sana, na unaweza kuhisi kama huna thamani yoyo hapa duniani, napenda kukuhakikishia kua, una bahati, na bahati yako iko njiani inakuja! Kuna watu hawajui thamani ya penzi, wala usisumbuke nao. Cha kufanya kwa sasa hakikisha hufanyi mawasiliano nae, ikibidi futa no yake, na pia achana na dhana ya kusema huwezi bila yeye! Karibu mwanza!!

Asante Nimrod nitayarishie Sangara
 
mh bigirita usiseme inauma sana i can feel the pain my dear sisy pole sana

I dont love you anymore maana yake alikupend hapo mwanzo. Hiyo ruksa kumwambia mtu.
Sijawahi kukupenda ndo mbaya.
 
Ohh my!....................Pole Sweetdada

How to deal with this??............................... I' d say your attitude should be "Good riddance to bad rubbish!"My take is, Real men dont
take years to figure, shit like this out.!! I know right now it may seem like the world is falling on ur shoulders, but believe u, me in due time you will find someone better.
 
hapo si kweli kuwa hakukupenda,bali jamaa alikosa sababu ya kukwambia sasa hakuhitaji.
alijua utakuwa na maswali mengi na yeye hana sababu maalumu ya kukuacha
kwa kukatisha soma akaona akwambie tu hivyo
trust me,huyo mtu alikupenda tena sana tu asingekaa na wewe mda wote huo bila kukupenda
kumbuka kuwa mapenzi huwa yanachuja na kuchokana
mtu kumchoka mwenzake haina maana kuwa hakumpenda la hasha..
 
Ukweli mwingine mie hata sitaki kuusikia abaki nao tu halafu aondoke kimyakimya, mh pole bidada
 
Je umewahi kuambiwa hukupendwa wewe?na ulijisikiaje?na ukafanyaje kuzoea hiyo hali?

Nina sababu ya kuuliza hivi..kuna thread 'nilianzisha ya anajifanya bab kubwa'.
kama umesoma vizuri yule jamaa kumbe visa vyoote ni kwamba ndo kapata kunambia baada ya kumkalisha chini na kuongea nae..he had to spill it out.he said he could have told me 3 yrs ago but he did not know how to, as he didn't want to disappoint me.

however, he felt like he couldn't hold it any longer mana hawezi kukeep on prtending ndo mana inabidi anambie kuwa,hakunipendaa...sasa mimi swali langu lilikuwa ina mana tangu year one ulikuwa hunipendi why not telling me?jibu:alikuwa akinitamani tuu. Jamani inauma kuambiwa ulikuwa hupendwi..tena after a long period of time..tena kabisa SIKUKUPENDA..

hebu niambieni how do i dela with this mana ni ngumu,natamani kufa uwiiii.:crying:

uwiii...
Pole mamii.
Inauma sana jamani, mmh! Ila tuwe tunasoma alama za nyakati. Usisubiri hadi uambiwe. Ukiona matendo hayaeleweki ujue giza lishatanda. Lol!
 
haya MTM academia, nimekukubali haraka kabla sijatoa povu

Ila wanasema the best way ya kujua where you stand in anything, ni kujiangalia kwanza wewe... are we sure hayajasemwa na pande zote hayo amneno ya hasira??

Nimesoma sehemu hapahapa anasema ameshachukia wanaume wote, to me hii ni kauli ya hasira na kamwe sitamhukumu kwani najua hamaanishi coz ana ndugu jamaa na marafiki anaowapenda.... in love life we say all nasty stuffs but we end up making it up and move on avoiding all precursors za problems

bado naamini kabisa both had some roles to play to the problem, imagine kama mtu haambiliki, hata kama unataka kumwambia kitu, inakua ngumu and may take year to break the silence

I am still looking for a balanced decision na sio judgemental au principally, normally, categorically, scientifically etc.

Ni hayo tu, ila mdogo wangu sweetdada... solution ya matatizo yako ipo kwako, wengi humu tuna makubwa zaidi na kama tungesikiliza ya humu basi all members wangekua either divorced, separated or single for life

I am done maana naogopa kum-bore sweetheart shem wangu LD, sipendi atoke povu:hand:
unapoteza muda mkuu kuwa nyutro.. sweetdada anataka ushauri kwa kumfanya ajione malaika na ameonewa, yaliyojificha ni mengi sana humo ndani ya huyo... i wish jamaa naye angekuja kumwaga dataza, tungekimbizana humu
 
hahaha sikuwa nataka kucheka ila imebidi..sasa ngoja nimwage stori yoote ilivyo i was trying to summarise.fyi.KIWAVI sitaki ushauri wa kunifanya nijione malaika..ni hivi..huyu mtu ni kwamba tumetofautiana dini..tangu mwanzo alinambia mi nikataka kusepa coz i knew itakuwa tatizo mbeleni..bali ye akasema ooh no please my dad is of ur faith but i was raised by my mum ndo man ainakuwa ishu,ila mi binafsi nataka kubadili.mi nikasema poa no probs..tukaendelea..

tumekaa for a year ikaja kuwa tabu tena then akaraise ishu ooh then tukimbie tukafunge ndoa nje..hahaha..najiona mjinga sasa..na mie mapenzi ndo yamekolea hapo..nikasema poa..then we applied for a visa mi nikapata ye akakosa,akawa frustrated depressed kila kitu hatoki ndani hali he was miserable..nikamsaidia kupata bank statement ya kueleweka akapata visa..tukaenda..

sasa basi..wheew ..nachoka kuandika...tukafika huko ye akaendelea kusoma na mie pia..kumbe siku zote moyoni mwake hanipendi (according to him)..he only came to me coz there was a bet between friends kwamba hawezi kunipata so he wanted to prove a point kwamba he can get me kwani mi nina nini...according to him again..he found himself mwaka unapita bila kujijua why wakati hakutegemea kumake future na mimi...

when he was coming from work in the morning akinifunua akinicheki anaenda kulia bathroom eti coz he knew he was not gonna be my hubby..sooo..akawa hawezi kunambia coz he didnt want to disappoint me..and he wanted me to finish my studies (*ye alikwisha maliza yake) ili tukiwa level moja ndo aweze kunambia ili nisione amefanya vile kwa kunionea...

basi bwana,mie nimemaliza mwaka jana kurudi ndo mtu kuanza vitimbwi ila ndo hasemi lolote..kama anasoma atajijua ..mambo ya dini alijaribu kuyaingiza wakati anafunguka ila akaona sio..

ndo akaamua kufunguka hiyo juzi na kuanza kusema ooh sikukupenda,it was just a competition among us ndo mana nikawa na wewe..i like wanawake weupe...wheew..nikachoka..mie sio cheusi mangala ila si mweupe..

sasa kali ya mwaka leo ananambia he is crying..i will be his role model mana am a great girl ila ndo hivyo he didnt love me..

okaay now..Kiwavi,MTM na wenzio mliotaka the other side of the story ndo hiyo hapo....semeni sasa..
 
mi sisemi kitu kabisaaa

Asante kwa kutupa maelezo ya Kina

Huyo jamaa ametuangusha kwa kuwa mwoga...kukuonyesha kuwa yeye kama mwanaume He was supposed to give directions na sio kusubiri fate

katuaibisha sana

Angekwambia tangu mwanzo,,,, tusingefika hapa

sasa basi kama tulivosema tangu awali ni wakati muafaka wa kumove on. Anakuitia nini , halafu isije ikawa deep down bado unampenda ile kikweli kweli manake kama ni hivyo hapa tutakuwa tunapoteza wino wa Invisible bure....
 
Back
Top Bottom