When i need you!

Bora kuchekana hapo mnaashiria furaha,
Kuna wengine wa moods za ajabu unaweza ukamsalimia asiitike aishie kukusonya!!!
Yesu wangu inakuwaje kama mnashikana yale magauni yenu makubwa! Halafu habari zisizo rasmi zinasema huwa hamvai vile viguo vya ndani!
 
Dogo ulipompeleka SL....nakuonya mrudishe kabla sijakuchukulia hatua
Bora umwambie bht manake kanipeleka mahali mbali na jf afu kaniacha huku, sijui njia ya kurudi nilipotoka...tena aache kumsingizia nitonye..

We Erickb52 kuja huku unirudishe uliponitoa, la sivyo namruhusu bht akuchukulie hatua.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom