When Diamond is not Forever

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
article-1334696789004-12A1D7BC000005DC-279772_466x310.jpg

article-1334696691709-12A1D4F1000005DC-219537_636x300.jpg
 
Kama wanyama wanathaminiana hivi, kwanini Boko Haramu na Uamsho wawachukie binadamu wenzao?
 
nimeshaona miikanda mingi ya simba akifukuza kitoto cha swala, na siku nyingine kitoto cha nyumbu, alivyokifikia, akakizunguka akaona huruma kukingánta akakiacha akakifanya rafiki, akaanza kukilinda, tatizo tu maziwa ya kumnyonyesha alikuwa hana....cha kuelewa ni kwamba, simba hawezi kula kitoto kama hivyo, hata chui pia...kwa wale walioishi kijijini, ukiwa unalima ukatengeneza udongu ukamlaza mtoto, nyoka huwa anakuja kunyonya maziwa ya mtoto kupitia puani kwake mtoto....sasa kama wewe hautasogea, nyoka hamngáti kabisa yule mtoto, lakini ukijaribu kumsogelea akiona hatari ndo anamngáta....utaona wanyama wana akili kuwa hiki ni kitoto hiki ni kikubwa na huwa hawana ukatili kwa watoto.
 
...Simba wa Mikumi wanakula vitoto kama kawa. Nadhani wamechakachuka kimaadili kama binadamu wa TZ.
 
Chui kashiba na kachoka vilevile naona. Chui sio mstaarabu kabisa bora hata simba huyu killing huwa ni mchezo anaweza kuingia kwenye banda lako la mbuzi akaua wote akaondoka asile hata mmoja. Jamii za wafugaji wanajua heberi yake.. I dont know I find it strange lakini imetokea, welll captured..
 
ningemuana mimi lazima ningemtimua asije akakala hako katoto ka swalala, anashindwa kukamata saizi yake
 
huyo chui atakua dume,wanyama wa kike as well as binadamu wa kike hua ni very fierce,ukikutana na simba dume alieshiba anaeza akakuacha lakini jike hapendi aone kiumbe kinauza sura mbele yake lazma akurarue,this apeals to ladies hasa wale wanaokaa na watoto wasio wao,msiwe mnawatesa just treat them as your own,
because ukipata mama wa kambo mwenye roho nzuri ni kitu adimu sana,but mababa wa kambo wengi wa kambo ni dont care
 
Duh!...si mchezo.
 
inawezekana mama wa hako ka-swala amekimbia hata amehama hiyo mbuga kabisa, huyo nahisi imekula kwake maana hata nyasi inawezekana hajajua kula alafu ngoja wafike chui wenzie hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom