WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

Yeah hapo majanga: inawezekana anachat nao tu! na believe it or not inawezekana kuna vitu vipya anapata- mawazo mbali mbali. na sio lazima sex!! ila shida sie a kina maganga!! binti akizagaa karibu tu unalamba!! tubadilike!!
Mie niliwahi kuwa na friends kadhaa wa jinsia tofauti na marafiki kweli lakini sikwahi kuwatamkia kuvuana nguo!! na tunaheshimiana mpaka leo, kiasi waume zao wanaona wivu sana ila baadaye wamenielewa na mie sasa ni kama baba yao for advice
 
Hii ni kwa wadada wote. Mkitaka mwanaume asiye ruka fensi ndani ya ndoa/mahusiano, tafuta mwenye uchumi mbovu na mwenye afya mbovu, mwanaume yoyote mwenye uchumi mzuri na afya njema kuruka fensi ni lazima.

siyo wote mkuu hapo kwa red
 
Dada lakini hapa umemsingizia whasapp wa watu. Mbona yeye hahusiki? Pili, baba watoto wako kama anawasee hao wote sita duuh kazidi, sio hali ya kawaida. Ushauri wangu ni wakati unafikiria hatua bora ya kuhandle hili suala mshirikishe na Mungu. Wakati mwingine watu wanalalamika wenzi wao sio waaminifu lakini kumbe wamekuwa possessed na evil spirits. What drives them is not human cognition, rather it is evil powers zilizowakamata.
 
Ingekuwa unaruhusu PM ningekuja na solution nzuuri kabisa ambayo ingekuondolea stress but naona umesema kabisaa Frobidden,Illegal basi ngoja nikanywe Cappucino sasa

Mkuu toa hiyo solution public, waathirika wa whatsapp ni wengi inaweza kuwatoa kwenye huu ulevi wa utandawazi
 
hilo ni janga la pande zote. uaminifu si wanaume tu hata wanawake wanamatatizo hayo.
 
My dear, kwanza pole sana na hilo janga lililokukuta, I can imagine ni jinsi gani umekosa amani moyoni.
Pili, ningeomba nikushauri vitu kadhaa kuhusu hilo. Kama wengi walivyosema whatsapp pengine sio chanzo cha matatizo yako, mwanaume mwenye tamaa na uthubutu wa kutembea nje ya ndoa/mahusiano hawezi kuzuiwa na whatsapp au other social networks.
Cha msingi umeshamuuliza, hata kama amekupa majibu ambayo hayajakuridhisha ameshajua kuwa unajua kinachoendelea.
Sasa, jaribu haya yafuatayo jaribu kumuonyesha kuwa hauna furaha. Kama kuna vitu ulikuwa unamfanyia kwa mahaba na upendo wa hali ya juu then do them slightly different. Sikwambii uache kumhudumia hapana, ila muonyeshe kwamba kuna tofauti na imeanza tangu ulipobaini kuwa ana mawasiliano ya kimapenzi na wanawake wengine. If youre lucky enough kuwa na mume sensitive anayejali atajirudi na kuomba radhi na kutaka kuyaongelea kwa lengo la kuyamaliza na kukurejeshea amani wewe mke wake.
However, kama mume wako ni wale insensitive people ambao hawajali hata kidogo na pengine akanotice hauko sawa na kutojali kabisaaa, usifadhaike. Piga moyo konde, muombe Mungu akupe ujasiri na moyo wa kupuuzia lakini pia muombee mume wako mpaka atakapoona kuwa hamna jipya huko kwa hao wadada.
Wanaume mara nyingine ni kama watoto wadogo, akitaka kitu atakililia mpaka akipate na akishakipata ndio anatulia.
Epuka kuanzisha drama na hao wanawake wake wa whatsapp kwasababu hawana hadhi kwako. Pili, usikimbilie kwa washauri wa ndoa na walimu wa dini au wazazi na kuwaeleza umekuta picha za wanawake kwenye simu ya mmeo, labda ikitokea hapo mbeleni matatizo yamekuwa makubwa zaidi, then only nitashauri hilo.
Ni kweli kuwa kama kweli hayo maongezi hayaishii kwenye whatsapp pekee kuna hatari ya kupata magonjwa ya ngono na kukuambukiza ila hapa sidhani kama una la kufanya zaidi ya kumkumbusha mara kwa mara kuhusu hatari hiyo na kusali kwa midii zote.
Epuka pia simu ya mumeo. Hili nimejifunza kutoka kwa wazazi wangu wenyewe. mtaishi kwa amani sana usipomchunguza chunguza mumeo.
Kuwa na kifua kwenye hili, ndio kipimo cha mwanamke.Mwanamke mwenye nguvu na hekima.
You seem like a smart and humble woman, natumai hautashindwa na whatsapp haitavunja ndoa yako. :)
 
Kuna wataalamu huwa wanasema, kwako wewe mwanamke, hakuna mwanamme wa pekee yako dunia hii. Tulizana, chukua hatua.
 
shida sio whattsap, shida ni huyo mumeo. deal na mumeo usideal na whatssap
 
Once a cheater always will be,

Hata kama ukimkataza whatsapp haisaidii huyo mumeo ni malaya wa kutupwa,kama anamkewe mzuri nyumbani iweje aombe picha za wanawake wengine??

Kaa muongee umweleze anavokuumiza,kama anakupenda sana ataacha lakini kama ni tabia yake ni kama unatwanga maji kwenye kinu.

Kama huna kifua cha kubeba maumivu kwa nini uchokonoe simu ya mwenzio??Kisa cha kujipenguzia siku za kuishi duniani ni nini??

Pole sana dada.

Wanaume wote mlioko kwenye ndoa na walioko kwenye mahusiano,waoneeni huruma hawa wanawake maana wanawapenda sana ila mnawaangusha.

Hauko sahihi. Watu wengi wanawasiliana na wengine kwenye mitandao bila hata kuonana siku moja. Mimi ni mmoja wao. Ninawasiliana na wanawake wengi tu kwenye "badoo" na sijawahi kuwaona uso kwa uso hata siku moja. Hizi ni tamaduni za kisasa. Zamani ilikuwa ni "urafiki kwa kalamu". Mnaandikiana barua weeeeeeeeeee bila kuonana hata siku moja. Hata zawadi mnatumiana. Hiyo ni furaha ya moyo ya mtu binafsi na siamini kama ina uhusiano wowote na mambo ya kimapenzi ya ngono. Ujue kuwa ilitokea akawa na mwanamke wanaehisiana nae kingono, basi atakuwa makini zaidi kumficha usijue. Cha kukushauri ni kuwa acha kuchokonoa simu ya mumeo, itakuongezea fikra zisizo na msingi. Angalia tu mabadiliko ya tabia yake bila kuchunguza simu.
 
Pole sana mwanamke.. Ndoa nyingi ziko hivo ni wanawake humu hawajui tu, naweza nikasema 90% ya ndoa nlizoona mimi.. Mwanaume wa kwanza kabisa, wamama asilimia 10% tu ndio nshawahi kuona wameolewana mtoto n still wakacheat. Huyo mme wako hiyo tabia anayo na kuiacha sio rahisi aisee, inabidi utafute kitu ambacho kitamshtua sana aone kama kappteza direction vile afu umrudishe kwenye line aone aelewe... Nikupe mfano trick hua natumia, fanya mapenzi na mtu leo.. afu baada ya siku mbili nenda secretarial service foji cheti cha hospital kua umepimwa umekuta Positive Ukimwi, afu rudi fanya bonge la acting adhanie kweli una ngoma, afu anza kumlaumu hao anaochat nao watsapp atoe maelezo, ifike muda apoteze direction moja kwa moja aone sasa hana oa kufanya ngoma na yeye kashapata.. Then akisharealize hilo, muonyeshe kua it was allf ake, afu muonyeshe umwambie kua hao anaotoka nao what if hii ndio result ambayo wangeileta, ingekuaje kwa familia na mtoto mngemuacha vipi.. Akifikiria hilo asipobadilika uje nikwambie njia nyingine ya kucheza na akili ya mtu... Kila mtu ana njia ya kumfix

Note: Fanya tu ukiwa na uhakika kua analala na hao wa nje.. kama huna acha until uprove hilo... Wanaume wengine ni biti nyingi tu ilat hey don't sleep nje, wengine wanaridhika na kilichopo ndani
 
Hili tatizo la WhatsApp messenger ni balaa tupu! Hata mie nimegundua Kuna jamaa anapenda kuchat sana na mpenzi wangu na kumtumia picha na video nyingi haswa za ngono. Nilipomuuliza mpenz wangu kasema 'huyo kaka hana shida ni rafik tu na hua ananitumia video nzuri ndo maana nachat nae'. Eti jamaa akimtumia video ya ngono wanaanza kuijadili na inakua topic. Nilichogundua ni kua mwenzangu hajitambui na anachukulia vitu so simple.Sikumjibu chochote na hajui kua this has marked the end of this stupid relationship.
 
Yaani wakichati tu Ndio amekuchiti?????!!!!! Sijaelewa mie wa division five

Doing anything that you will NOT do when your spouse is there or you would not want your spouse to know about is cheating (w.r.t the opposite sex).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom