WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

Wewe unachohofia ni meseji za kutaniana kwenye mitandao au matukio ya mumeo kukutana physically kama kwenye mabaa na wanawake wenginge. Someomes we chat with women to lessen our tress at working place and we dont mean real relationship.

nahofia kuletewa magonjwa ndani ya nyumba nani atalea watoto???
 
We utingo, ushauri gani murua na wa faragha unaotaka kumpa MKE WA MTU?
Au ndio Yale ya ......we alipo mwagiza Mbunge wa Viti MAALUM amfuate dubai kwa ajili ya KAZI MAALUM.
Hahahahah..........

mwanamke akitaka vya nje husingizia kuwa vya ndani vina matatizo...heheheheheh!!!!!!!!!!
 
Pole Dada ila jipangevumilia huyo ni mume pia jitahidi
kupunguza hasira hazisaidii kua mpole ongea nae vzr yataisha hakuna marefu yacokua NA mwisho pole Dada
 
Kama we ni kademu ka ukweli, ulipaswa kuchukua namba za hao mademu wenzako, na kuwapigia kuwakanya. Inaonekana ni kademu kaoga.

Wanawake hatupenda atampa majibu ya kumuumiza kama yeye ndo mwenye mume.....hapo source ni mume wake...period!
 
Once a cheater always will be,

Hata kama ukimkataza whatsapp haisaidii huyo mumeo ni malaya wa kutupwa,kama anamkewe mzuri nyumbani iweje aombe picha za wanawake wengine??

Kaa muongee umweleze anavokuumiza,kama anakupenda sana ataacha lakini kama ni tabia yake ni kama unatwanga maji kwenye kinu.

Kama huna kifua cha kubeba maumivu kwa nini uchokonoe simu ya mwenzio??Kisa cha kujipenguzia siku za kuishi duniani ni nini??

Pole sana dada.

Wanaume wote mlioko kwenye ndoa na walioko kwenye mahusiano,waoneeni huruma hawa wanawake maana wanawapenda sana ila mnawaangusha.

Well said bt sometimes ukishika cm ya mmeo or mpenzio ukiona kakuachia wala hashtuki ujue hana anachoficha ukiona mkali ujue kuna kitu..... mark my word!
 
Nitajaribu kuongea nae ingawa najua mwenzangu yeye huwa anaona yuko sahihi kwa kila kitu ..

Thatz worse mpnz...... hata ulimrekebisha kwa faida yake atajiona yuko sahihi bt not big deal mjuze tu ajalo feelings zako
 
Hii mitandao ya kijamii inatakiwa ukiwa na ndoa usijihusishe nayo kabisa.
 
Pole sana na ww nunua smart phone usevu picha yake kwenye profl na yy mshawishi asev picha yako muwekane bize hayo yapo tu tuliza akili na usw unachunguza cm jiepushe hakuna haja yakugombana mbadilishe taratibu huenda anapenda kuchat tu fanya hivyo

Mpenzi hawakawii kusema dada yangu binamu
 
Mambo mengine ukiyachunguza sana yanakuletea shida wewe mwenyewe. Mfano Mwanamke kumfuatilia mume wake kwa udani sana kinacholeta mgogoro kinamuumiza sana mwanamke ikiwemo na kuachika.
 
Pole dear kaa chini mzungumze kama ni mtu msikivu atakuelewa na atajirekebisha, na uache hiyo tabia ya kukagua simu ya mumeo unaona sasa yaliyokukuta. wish u lucky
 
usaafi au uchafu ni tabia ya mtu..mambo mengine ni kurekebishana tu na ukiona anazidiwa unamtaftia mtu wa kumsaidia izo kazi ili asichoke sana..na wao ni binadamu wana miili,wanachoka..ohoo..
af ukijiweka ki kuwindwa windwa lazima utakutana na wawindaji kweli

haikufaa rangi nini chokaa, tena kukiwa na msaidizi ndio kabisaa hamgusi kitu kila kitu mpaka kupika mnwaachia wakati wewe ndio unajua taste zangu
 
Back
Top Bottom