WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

Tatizo hata wanawake wa siku hizi wanashawishi sana kwa utundu sisi full kulegea mwili mzima una anguka puuuu. Tudada tunatupia picha za kichokozi mara kalio, mara nido jelly, mara kamguu nasehemu zake za juu.... full tabu jamani. Sisi wanaume mashambulizi yametuzidi nguvu. Halafu kumbuka uwiano kati ya wanaume na wanawake kwa TZ haupo sawa. Its obvious mkashare little resources available.

Mh jamani haki kaasilimia kamoja tulikowazidi ndio mnatuweka roho juu kiasi hicho? Kuwa tukubali kushare ? Hapana bwana.....................
 
Dada weee acha whatsup ni kilio cha wenfi ndoa zinayumba na kuchakaa kwa kutukanana n wake wenza ila siyo issue Kula kuliana tafuta kiholder chako tulia chat mpaka uzimie kukimbia mji wako kisa whatup siyo mpango mwanamke kujiamini watatumiana mapicha mpaka wanyegeke ila mwenye nyumba ni wewe acha kuwaza hauko OEMs yako
 
Once a cheater always will be,

Hata kama ukimkataza whatsapp haisaidii huyo mumeo ni malaya wa kutupwa,kama anamkewe mzuri nyumbani iweje aombe picha za wanawake wengine??

Kaa muongee umweleze anavokuumiza,kama anakupenda sana ataacha lakini kama ni tabia yake ni kama unatwanga maji kwenye kinu.

Kama huna kifua cha kubeba maumivu kwa nini uchokonoe simu ya mwenzio??Kisa cha kujipenguzia siku za kuishi duniani ni nini??

Pole sana dada.

Wanaume wote mlioko kwenye ndoa na walioko kwenye mahusiano,waoneeni huruma hawa wanawake maana wanawapenda sana ila mnawaangusha.

Hapo kwenye red, "umejuaje"
 
Hapo kwenye red, "umejuaje"

Kama mwanaume amekupenda akakuoa,akakuweka ndani hiyo kwa mtazamo ni kuwa amekuona wewe ni mzuri kuliko mwanamke yeyote duniani.

Unless kama alioa kutimiza wajibu na ndoa sasa imemshinda na ukicheche wake aendeleze vipi,

Wanaume badilikeni kwa kweli
 
Pole dada, kuna kakampuni kangu ka ulinzi ndo namalizia kukasajili kanaitwa KTNM(Komesha Tabia za Ngono Mtandaoni) utanipa hiyo tenda ili nianzie huko whatsapp. Nimejipanga kisawawa nina uhakika utafurahi
 
Kubalianeni kutotumia wassap, period!

Kwa hiyo wakiacha hiyo WhatsApp ndiyo mume wake ataacha kuwatafuta warembo au hatakuwa na njia nyingine za kutumia?

Kwani sisi wa 1947 tulikuwa na simu?

Mkwara tu unasaidia, angalau hawatakua free kujiachia.
Sisi wanaume tunapenda angalau tuonewe wivu, sasa mkeo anajua vimada wako afu ameuchuna tu unategemea nini ka sio siku moja kuwaleta home na kukuambia tupishe kwa muda!.

Hao warembo hawajiachii kwa sababu mama ni mpole bali kwa sababu jamaa kawapa bichwa...

Tatizo si Whatsapp. Ni mumeo.

Word..

Hatakiwi kuwapigia hao wadada anachotakiwa adeal na mume wake

Tuko ukurasa mmoja...kwa nini mama wa watu aanze kukimbizana na vivuli wakati muhusika mwenyewe wanachangia kitanda??
 
Wanandoa mnamtatizo sana iweje uumie roho wakati hata wewe isije ikawa jamaa hakukuta virgin!!!, na yeye je unajua hadi nakupata wewe alishakuwa na wanawake wangapi?
Note: ni vigumu sana kuvunja uhusiano wa kimapenzi ambao ulishajengeka kabla ya ndoa.

Ladies and Gents habari za siku nyingi ..

Nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..

Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl

Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia

Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana

Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp

Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili.

Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..

Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi

Wenu Egyps
*********
 
Hamueleweki lazima "reserve line" wawe "standby" na hii inakufanya nawe uwe na nidhamu kwa kufahamu kuwa ukiharibu tuu mwingine yuko mlangoni
 
Hamueleweki lazima "reserve line" wawe "standby" na hii inakufanya nawe uwe na nidhamu kwa kufahamu kuwa ukiharibu tuu mwingine yuko mlangoni

pole sana mawazo yako hayajengi ..unadhani ni bandika bandua hii:)
 
pole sana mawazo yako hayajengi ..unadhani ni bandika bandua hii:)

Wewe unachohofia ni meseji za kutaniana kwenye mitandao au matukio ya mumeo kukutana physically kama kwenye mabaa na wanawake wenginge. Someomes we chat with women to lessen our tress at working place and we dont mean real relationship.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom