WhatsApp kuja na maboresho manne zaidi, je itaifunika telegram?

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
whatsapp.jpg

Katika kuboresha huduma kwa wateja wake, Programu ya WhatsApp ipo mbioni kuongeza sehemu (Features) mpya nne ambazo zitawasaidia watumiaji wake kupata unafuu na urahisi zaidi wakati wa kutumia.

Taarifa kutoka kutoka kwenye mitandao mbalimbali ya Teknolojia duniani zinasema kuwa WhatsApp inafanyia kazi sehemu kubwa nne ikiwemo ya kubadilisha na kuhaririri ujumbe uliyomtumia mlengwa kabla hajausoma, sehemu hii itafanya kazi pale ambapo meseji hiyo itakuwa haijapokelewa kwa kuweka tiki mbili za blue.

Maboresho mengine ni kucheza moja kwa moja kwa video za Youtube ndani ya Programu ya WhatsApp, Kwa sasa mtandao wa Youtube ukitumiwa Link ya video kutoka Youtube ni lazima ufungue ila baada ya maboresho hayo mtumiaji ataitizama video yeyote kutoka Youtube bila kufunguwa Link kama ilivyo mitandao mingine ya kijamii.

Kurudisha meseji, picha au video ulizotuma kwa muhusika, kwa wazoefu wa mtandao wa WhatsApp au watu walioanza kutumia tangia mwaka 2015 sehemu hii ilionekana kwenye Whatsapp beta kabla ya kuondolewa mwaka jana 2016, Sehemu hii itarudishwa tena ambapo mtu atapata dakika 5 za kurudisha meseji, Jumbe, picha au video alizotuma kimakosa.

Sehemu nyingine muhimu itagusa kwenye makundi, Kuweka maelezo ya Kundi (Group Description), Kwa sasa watu wengi wanaunganishwa kwenye makundi bila kusoma maelezo ya kundi husika ambapo inakupasa ujiunge kwanza ndiyo upewe maelekezo, Kwa marekebisho hayo utaweza kuandika maelezo kuhusu group, kwa mfano kama ukitengeneza group utaweza kuandika maelezo kuhusu Group hilo, Maelezo ambayo mtu kabla ya kujiunga atayasoma kwanza hii itatokea kwa njia zote mbili ile ya kwanza ya moja kwa moja ya kuunganishwa na Admin na ile ya kutumiwa Link.

Kwa mujibu wa mtandao wa WABETA Info umeripoti kuwa kabla ya mwezi Septemba mwaka huu, Programu ya WhatsApp ambayo inatumiwa na watu zaidi ya Bilioni 1 duniani itatangaza mabadiliko hayo.

My take: Maboresho haya yanaweza kuja kuifunika telegram ambayo kwa sasa ina feature nyingi nzuri lakini haijapata sana umaarufu?
 
Whatsapp ni popular kwa nchi nyingi ila kuna baadhi ya nchi ukienda utashangaa hata haisikiki kabisa. Hapa naongelea asian countries, China, Japan, South Korea. China wana wechat super popular, Japan wana LINE, alafu Korea wana Kakaotalk, ningependekeza Tanzania tuwe na ya kwetu pia ambayo inatumika na kila mtanzania.

Sababu ni, kwanza tutakua tunajenga kampuni kubwa sana nyumbani ambayo inaweza kuja kukua sana na ikatoa ajira nyingi sana au hata kuingia kwenye world market na kucompete na biggest players sio lazima kwenye chat ila wakiwa na pesa ndefu wanaweza compete kwenye mambo mengine.

Pili, ya kitanzania kwa watanzania, maana yake itakua na features za kitanzania ambazo huwezi tegemea whatsapp au mtandao mwingine wa nje ukuwekee, mfano inaweza unganishwa na huduma kama mpesa ukawa unamtumia rafiki mshiko kwenye chat, uwezo wa kumtumia rafiki zawadi kwenye app na ukailipia kwa services za Tanzania na akapokea mzigo. Au hata ikawa na tab pembeni unapata mambo mapya yote yanayoendelea nchini, kama ni uchaguzi mfano kunakua na live updates ya kura kila mtu nchini anapata in realtime zinavyoendelea kuhesabiwa.

Tatu, nchi ya viwanda ndo inajengwa hivi, support vya nyumbani kwanza alafu vya nje vitafuata. Uwezo wa kutengeneza copy ya whatsapp upo hata mimi ninao tena kwa watanzania kuscale 20million people inawezekana vizuri kabisa, hata end to end encryption ikawepo kiasi kwamba sio serikali au mtu yeyote anweza kudukua kujua mlichoandikiana, hii inawezekana vizuri sana, mimi naiweza najua na developers wengi tu bongo wanaoweza kufanya kitu kama hiki.
 
JF ni bora kuliko hata WhatsApp sababu ina program nyingi nyepesi kwa mtumiaji kuliko WhatsApp sema uendeshaji wake unatia shaka sababu hakuna freedom of speech kama ilivyo katika sheria za mitandao ulimwenguni - ila JF ipo safety zaidi kuliko WhatsApp kimatumizi kama nao watabadilika kutoka katika ulimwenguni wa kijamaa nakuwa katika dunia ya kibepari kwa kuboresha Huduma yao hasa katika muonekano wake na kuingiza vionjo vingine vinavyoweza kumvutia mtumiaji
 
Good idea......
 
Umetaja Asian Countries kua hawajui.na wala Whatsap haina JINA
Lkn katka hizo ASIAN COUNTRIES umetaja nchi mbili tu
S.korea na japan
Mkuu kifupi ni kwamba WHATSAPP NI VERY POPULAR&FAMOUS APP duniani
Ni sawa na Tanzania kusema MPESA
HATA AJE TTCL MONEY LKN MPESA NDIO BABA YAO
kama vile Whtsapp
Kuna app nyingi kama vle
SNAPCHART
SOMA
BADOO
INSTA
FB
TELEGRAM
MESSENGER na sasa wanazileta na video call au audio call lkn
WHATSAPP NDIO BABA YAO
Ujanja kuwahi Mkuu huyu alituwahi na akatupata kabla hatujaamka

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Upo sawa mkuu tatizo JF na Whatsap hawana PRIVACY za kutosha yaani unadukua akaunt ya MTU kama unavoua chawa kwa ukucha
Hio ndio very big problem

Sent from Calculator Phone vesion007
 
alicho kiongea Graph nikweli kabisa yaani china ndo huwaambii kitu .!! maana kwa mfano uber kwao wameweza kuidhibiti kabisa wao wanatumia yakwao inaitwa didi mzee kwa ajili ya usafiri.!! tatizo wachina wamekuzwa katika mzingira ya uzalendo wa kutumia cha nyumbani kwanza the cha kigeni ndo kinafuata.!
 
Shule ndo kila kitu hapa nchini kwetu tutabaki stori tu na kuibuka na ideas zisizotekelezeka, wacha tuendelee tu kutumia vya wenzetu
 
Umetaja Asian Countries kua hawajui.na wala Whatsap haina JINA
Lkn katka hizo ASIAN COUNTRIES umetaja nchi mbili tu
S.korea na japan
Mkuu kifupi ni kwamba WHATSAPP NI VERY POPULAR&FAMOUS APP duniani
Ni sawa na Tanzania kusema MPESA
HATA AJE TTCL MONEY LKN MPESA NDIO BABA YAO
kama vile Whtsapp
Kuna app nyingi kama vle
SNAPCHART
SOMA
BADOO
INSTA
FB
TELEGRAM
MESSENGER na sasa wanazileta na video call au audio call lkn
WHATSAPP NDIO BABA YAO
Ujanja kuwahi Mkuu huyu alituwahi na akatupata kabla hatujaamka

Sent from Calculator Phone vesion007

Umesoma ukanielewa kweli?
Naona unaushabiki utasema whatsapp wanakulipa, sijasema imepitwa kwa u-popularity duniani, nimesema kwenye hizo nchi nilizotaja whatsapp haina watu kabisa, sasa unachobisha sijui ni nini nimeishi nchi zote hizo nimeona, china kila mtu ana wechat, japan kila mtu ana line, south korea kila mtu ana kakaotalk, tena unaweza uliza mtu whatsapp akakwambia hata haijui, na hiyo ni mwaka huu sio hata mwaka uliopita. Duniani ni the most famous ndiyo kwa kua kashika nchi nyingine ila sio nchi nilizotaja. Punguza ushabiki wa kijinga mtanzania maana in the end haukusaidii chochote. Naona pia hujui kua China ni asian country, em kasome georgraphy upya. Na usiandike kwa herufi kubwa kuonyesha msisitizo, it doesn't work.
 
Whatsapp ni popular kwa nchi nyingi ila kuna baadhi ya nchi ukienda utashangaa hata haisikiki kabisa. Hapa naongelea asian countries, China, Japan, South Korea. China wana wechat super popular, Japan wana LINE, alafu Korea wana Kakaotalk, ningependekeza Tanzania tuwe na ya kwetu pia ambayo inatumika na kila mtanzania.

Sababu ni, kwanza tutakua tunajenga kampuni kubwa sana nyumbani ambayo inaweza kuja kukua sana na ikatoa ajira nyingi sana au hata kuingia kwenye world market na kucompete na biggest players sio lazima kwenye chat ila wakiwa na pesa ndefu wanaweza compete kwenye mambo mengine.

Pili, ya kitanzania kwa watanzania, maana yake itakua na features za kitanzania ambazo huwezi tegemea whatsapp au mtandao mwingine wa nje ukuwekee, mfano inaweza unganishwa na huduma kama mpesa ukawa unamtumia rafiki mshiko kwenye chat, uwezo wa kumtumia rafiki zawadi kwenye app na ukailipia kwa services za Tanzania na akapokea mzigo. Au hata ikawa na tab pembeni unapata mambo mapya yote yanayoendelea nchini, kama ni uchaguzi mfano kunakua na live updates ya kura kila mtu nchini anapata in realtime zinavyoendelea kuhesabiwa.

Tatu, nchi ya viwanda ndo inajengwa hivi, support vya nyumbani kwanza alafu vya nje vitafuata. Uwezo wa kutengeneza copy ya whatsapp upo hata mimi ninao tena kwa watanzania kuscale 20million people inawezekana vizuri kabisa, hata end to end encryption ikawepo kiasi kwamba sio serikali au mtu yeyote anweza kudukua kujua mlichoandikiana, hii inawezekana vizuri sana, mimi naiweza najua na developers wengi tu bongo wanaoweza kufanya kitu kama hiki.
mawazo mazuri sana, ila Tanzania hii ambayo lazima umfurahishe Makonda ndo ufanye Fiesta ubunifu hautafanikiwa
 
Sasa Mkuu, hapo kwenye "Pili ya kitanzania kwa watanzania" .. Kwanini msiitengeneza sasa even though hizo ni (copy ya features za wechat na line) still imeni interest.

Hiyo ndio sababu kuu kwanini WhatsApp as you said "haiskiki" Asia, ni kuwa Competitors wao kule wako on another level; wao wana an "innovative service" "unique" "relative" ndio sababu mpaka leo wanashikilia a competitive advantage hata whatsapp afanyaje. Na this ndio kitu cha kufanya na huku kudisrupt mshiko wa whatsapp. Nitakuwa wakwanza kudownload na kuwaamisha ndugu na jamaa zangu wote.

Lakini mkianza mambo yale ya kutengeneza "WhatsApp Bongo" au "Tz whatsapp" na kutumia colour scheme na everything na mkani expect ni wape support kwenye ujinga huo wa copy na paste eti "support cha nyumbani" sema ukweli nisamehe sana siwezi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whatsapp ni popular kwa nchi nyingi ila kuna baadhi ya nchi ukienda utashangaa hata haisikiki kabisa. Hapa naongelea asian countries, China, Japan, South Korea. China wana wechat super popular, Japan wana LINE, alafu Korea wana Kakaotalk, ningependekeza Tanzania tuwe na ya kwetu pia ambayo inatumika na kila mtanzania.

Sababu ni, kwanza tutakua tunajenga kampuni kubwa sana nyumbani ambayo inaweza kuja kukua sana na ikatoa ajira nyingi sana au hata kuingia kwenye world market na kucompete na biggest players sio lazima kwenye chat ila wakiwa na pesa ndefu wanaweza compete kwenye mambo mengine.

Pili, ya kitanzania kwa watanzania, maana yake itakua na features za kitanzania ambazo huwezi tegemea whatsapp au mtandao mwingine wa nje ukuwekee, mfano inaweza unganishwa na huduma kama mpesa ukawa unamtumia rafiki mshiko kwenye chat, uwezo wa kumtumia rafiki zawadi kwenye app na ukailipia kwa services za Tanzania na akapokea mzigo. Au hata ikawa na tab pembeni unapata mambo mapya yote yanayoendelea nchini, kama ni uchaguzi mfano kunakua na live updates ya kura kila mtu nchini anapata in realtime zinavyoendelea kuhesabiwa.

Tatu, nchi ya viwanda ndo inajengwa hivi, support vya nyumbani kwanza alafu vya nje vitafuata. Uwezo wa kutengeneza copy ya whatsapp upo hata mimi ninao tena kwa watanzania kuscale 20million people inawezekana vizuri kabisa, hata end to end encryption ikawepo kiasi kwamba sio serikali au mtu yeyote anweza kudukua kujua mlichoandikiana, hii inawezekana vizuri sana, mimi naiweza najua na developers wengi tu bongo wanaoweza kufanya kitu kama hiki.
Mkuu wazo lako zuri sana, embu lifanyieni kazi
 
Waweke huduma ya kum block mtu in stealth mode. Kuna mtu ananiboa kumchatisha mpenzi wangu mpaka nahisi mazoea yale hayatamuacha bby salama. Nikisema nimblock bibie ataona na atajua maana simu yake naishika anytime. Ila binafsi nakereka mno yani!!!

Whatsapp niokoeni jamani na huu wivu duh!
 
Whatsapp ni popular kwa nchi nyingi ila kuna baadhi ya nchi ukienda utashangaa hata haisikiki kabisa. Hapa naongelea asian countries, China, Japan, South Korea. China wana wechat super popular, Japan wana LINE, alafu Korea wana Kakaotalk, ningependekeza Tanzania tuwe na ya kwetu pia ambayo inatumika na kila mtanzania.

Sababu ni, kwanza tutakua tunajenga kampuni kubwa sana nyumbani ambayo inaweza kuja kukua sana na ikatoa ajira nyingi sana au hata kuingia kwenye world market na kucompete na biggest players sio lazima kwenye chat ila wakiwa na pesa ndefu wanaweza compete kwenye mambo mengine.

Pili, ya kitanzania kwa watanzania, maana yake itakua na features za kitanzania ambazo huwezi tegemea whatsapp au mtandao mwingine wa nje ukuwekee, mfano inaweza unganishwa na huduma kama mpesa ukawa unamtumia rafiki mshiko kwenye chat, uwezo wa kumtumia rafiki zawadi kwenye app na ukailipia kwa services za Tanzania na akapokea mzigo. Au hata ikawa na tab pembeni unapata mambo mapya yote yanayoendelea nchini, kama ni uchaguzi mfano kunakua na live updates ya kura kila mtu nchini anapata in realtime zinavyoendelea kuhesabiwa.

Tatu, nchi ya viwanda ndo inajengwa hivi, support vya nyumbani kwanza alafu vya nje vitafuata. Uwezo wa kutengeneza copy ya whatsapp upo hata mimi ninao tena kwa watanzania kuscale 20million people inawezekana vizuri kabisa, hata end to end encryption ikawepo kiasi kwamba sio serikali au mtu yeyote anweza kudukua kujua mlichoandikiana, hii inawezekana vizuri sana, mimi naiweza najua na developers wengi tu bongo wanaoweza kufanya kitu kama hiki.
nice

Wazo zuri tatizo watz ni wavivu kufikiri

*R.I.P my fellow classmate Nassoro Kipande*
 
Mimi natamani ile auto destruction ya msg baada ya kusomwa..Inaitwa secret chat msg ikisomwa tu inajifuta ndani ya muda ulioset
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom