Whats your talent...???

bigup young master,una vipaji vingi sana.
anyways, mimi ni kama ifuatavyo
-nafanya graphics vizuri bila formal training, i mean nimeweza kujifunza bila kukaa kwenye chuo na kupata cheti, lakini nime interview wenye degree zao na wengine nikawa disqulify, sio kwa wivu bali uwezo wao.

-naweza kitembea kwa mikono kwa umbali wa mita kama saba hivi.

-ni mvumilivu sana ninapotaka kitu sikati tamaa mpaka nipate (sijui kama ni kipaji)

-sikusoma english medium na wala sijasoma college yoyote lakini english yangu ni better than graduates wengi niliowahi kukutana nao au kuwasikia

-naweza kuwapa watu moyo (inspirational)

-ni hayo tu wajameni.
 
Hongera sana mkuu. Una talent nzuri sana. Ni vyema kama ukaendeleza kipaji chako kwa kusoma zaidi badala ya kulewa sifa na kubweteka.
 
Mostly manga/japanese cartoons but am still learning on how to draw more realistic stuff......
 
Back
Top Bottom