Whats your talent...???

Duh! hiki kipaji chako ni cha ukweli.

hiyo kitu nakusimulia hadi milio ya risasi, ngumi, teke, muungurumo wa gari, ndege, baiskelii, alipokunja uso na mie nakunja, alipocheka na mie nacheka, kama kuna mtu alilia kwenye movie, nalia pia, ... we acha tu!
 
Nna kipaji cha ngono zembe. Afu kipaji changu kinaimarika mpaka sasa nimepewa kipaji cha kuwamega watu wa jinsia yangu. Kuna mtu wa kiume mwenye sura nzuri na macho ya kuvutia humu jamvini nimmege?

Tafazali aniPM kwa ajili ya serious business..... Ntaprefer yule anayejiona ni mzuri na anasumbuliwa sababu ya uzuri wake.....
 
Dogo acha uongo
 
Sasa ukilia si unawapa kazi ya kukubembeleza wasikilizaji?
 
Nna kipaji cha ngono zembe. Afu kipaji changu kinaimarika mpaka sasa nimepewa kipaji cha kuwamega watu wa jinsia yangu. Kuna mtu wa kiume mwenye sura nzuri na macho ya kuvutia humu jamvini nimmege?

Tafazali aniPM kwa ajili ya serious business..... Ntaprefer yule anayejiona ni mzuri na anasumbuliwa sababu ya uzuri wake.....

Lol.. Umenichekesha mpaka nimedondosha parachichi langu!
 
Nna kipaji cha ngono zembe. Afu kipaji changu kinaimarika mpaka sasa nimepewa kipaji cha kuwamega watu wa jinsia yangu. Kuna mtu wa kiume mwenye sura nzuri na macho ya kuvutia humu jamvini nimmege?

Tafazali aniPM kwa ajili ya serious business..... Ntaprefer yule anayejiona ni mzuri na anasumbuliwa sababu ya uzuri wake.....

babu unanibipu ee??
 
Hongera sana mkuu. Una talent nzuri sana. Ni vyema kama ukaendeleza kipaji chako kwa kusoma zaidi badala ya kulewa sifa na kubweteka.

kwanza asante kwa angalizo, ukweli ni kwamba sijabweteka wala kulewa sifa, nimeyasema haya ili pia kuwapa moyo kwamba inawezekana ukafikia mafanikio mradi tu uwe na nia.

kama ingekuwa ni kubweteka wala nisingechangia hoja hii, maana nisingekuwa na chochote cha kuita kipaji, unajua hata vipaji lazima vikuzwe baada ya kugundulika. hapa nilipo najifunza 3d modelling and animation meaning kwamba naendeleza kipaji changu cha graphics to an advanced level. kwa hiyo sijabweteka na wala sijisifii ila tu najipa nguvu ya kufanya zaidi ya hapa.

mada hii ni nzuri hongera sana kwa kuianzisha. watu wengi sana hawajatambua vipaji vyao. kwa taarifa hakuna mtu asiye na kipaji ila tu ni uvivu wa kufikiri.
kipaji ndio talanta (talent) ambayo kila mwanadamu amepewa na mungu kwa mujibu wa maandiko. mungu hawezi kukuletą duniani halafu asikupe ngenzo za ku survive. thanks
 
Thanks mkuu na shukrani sana pia kwa mawazo yako mazuri. naamini yamewafikia walengwa.
 
Nna kipaji cha ngono zembe. Afu kipaji changu kinaimarika mpaka sasa nimepewa kipaji cha kuwamega watu wa jinsia yangu. Kuna mtu wa kiume mwenye sura nzuri na macho ya kuvutia humu jamvini nimmege?

Tafazali aniPM kwa ajili ya serious business..... Ntaprefer yule anayejiona ni mzuri na anasumbuliwa sababu ya uzuri wake.....

tan taraaaa!...
 
Naamini katika jamvi hili la JF kuna watu wenye vipaji vingi na vya kila aina, wengine wana vipaji vya ufundi wengine kuigiza wengine kuimba n.k. Leo ningependa wana Jamii Forums wote tushare vipaji vyetu tulivyonavyo katika thread hii. Huwezi jua pengine kipaji chako kinaweza kumnufaisha mwingine au kipaji cha mwingine kukunufaisha na pengine kipaji chako kinaweza kukunufaisha wewe mwenyewe hapa jamvini kwa namna moja au nyingine.

Ningependa mimi ndio niwe wa kwanza wa kueleza vipaji nilivyojaliwa na Mwenyezi Mungu na vielezea kimoja baada ya kingine kama ifuatavyo;-

  1. Technical talent - Hiki ni kipaji changu kikuu nikipendacho kuliko vyote. Ndicho kinachonilisha, kunivisha na kunifanya nionekane wa muhimu hapa duniani. Kipaji hiki kiligundulika nikiwa mdogo kabla hata sijaanza shule ambapo nilianza kujihusisha na mambo ya ufundi wa umeme na electronics lakini kadiri umri ulivyozidi kuendelea nilikutana na kitu kinaitwa computer wakati nipo darasa la 2 na kujikuta kipaji changu chote kikihamia katika computer ambacho ninakiendeleza hadi sasa as an IT TECNICIAN. Apart from being an IT TECHNICIAN mimi ni fundi wa kila kitu kuanzia useremara mpaka mabomba. Ninaweza kufanya kazi yoyote ya ufundi bila ya kuisomea.
  2. Voice talent - Hiki ni moja wapo ya vipaji vyangu vya ajabu ambacho huwa kinawashangaza watu wengi sana. Kipaji hiki kimenifanya niwe na uwezo wa kuimba sauti yoyote ninayoipenda hata iwe ya Rihanna au Jordin Sparks. Pia nina uwezo wa kuigiza sauti ya mtu yeyote nipendaye kuanzia kuongea kwake, kuimba hata kucheka. Pia nina uwezo wa kuiga sauti ya milio mbali mbali ya wanayama ikiwemo mbwa, paka na farasi.
  3. Acting talent - Hiki ni kipaji changu kingine cha ajabu nilichojaliwa ambacho mara nyingi huwa napenda kukitumia for fun. Nina uwezo wa kuigiza ikiwemo kuigiza jinsi mtu anavyotembea na mambo yote anayoyafanya. Nakumbuka nilipokuwa Sekondari mimi nilikuwa ni mwanafunzi pekee niliyeweza kuigiza karibu walimu wote matendo yao yote bila kukosea.
  4. Body flexibility - Katika watu ambao wamejaaliwa kuwa na miili ambayo iko flexible nadhani mimi ni mmoja wapo kwani mwili wangu uko flexible kiasi cha kujifunza body movements yoyote kwa urahisi na kwa haraka ikiwemo dancing, kung fu n.k
  5. Studying human's mind and actions - Kipaji hiki cha kusoma watu nilikigundua when I first fell inlove wakati niko darasa la tano baada kuweza kusoma mambo kadhaa kutoka kwa mpenzi wangu huyo wa kwanza. Baada ya kukigundua kipaji hiki nilikuwa nikikitumia kuwasoma wapendao kama wanapendana au la na pia kuwasoma wale mbao wako single na kujua ni watu gani wanaowazimia na wangependa wawe wapenzi wao. Baada ya kusoma phylosophy kipaji kimepanuka na kuongezeka kwani sasa ninaweza kusoma kila kitu kuanzia tabia hadi kile unachowaza.
  6. Writting - Pia nimejaliwa kipaji cha kuweza kuandika makala yoyote na ikavutia machoni pa watu ikiwemo poems, CV's na kadhalika.
  7. Cooking - Hiki ni kipaji ambacho kwa kweli huwa nasikia raha kila ninapokifanya. Ingawa mimi ni mtoto wa kiume nina uwezo mkubwa kupika vyakula mbali mbali ambavyo kwa kweli huwa vinawadatisha watu wengi.
  8. Predict the future - Hiki ni kipaji changu cha mwisho ambacho ni cha kurithi kutokana na kipaji hiki nimeweza kutabiri mambo mengi yatakayotokea ikiwemo mitihani n.k

Hivi ni baadhi ya vipaji ambavyo ninavyo. Ninaamini hapa jamvini kuna watu wenye vipaji tena kunizidi hata mimi. Lets share our talents together. Now tell me whats your talent?

mkuu hongera sana,vipaji vyako vyote vinavutia.
 
Back
Top Bottom