What's your state of consciousness, 3D, 4D, 5D?

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,690
we are all living life in either 3D, 4D, 5D or a combination of all three.

Even though we are all living on the same planet and are surrounded by the same world, our perception of it will be different depending on which state of consciousness we are choosing to see things at.

Living from a 3D State

3D consciousness is viewing things from a purely physical state. You are seen as an individual that is separate from others.

Life feels like “the survival of the fittest” and you are identified by the way you look, the job you have, the car you drive and the people you surround yourself with. You feel fearful about missing out or not having enough.

Living from a 4D State

Thoughts are powerful and can shift the way reality is perceived. Duality and the idea of good and bad is still experienced, but there is more compassion and understanding behind it.

There is an opening to the importance of diet, meditation and leading a healthy lifestyle. What you put into your body becomes important and there is a desire to pay attention to how your actions effect the environment and those around you.

Living from a 5D State

From this state, you know that there is no competition and there is enough in the Universe for everyone. You feel overwhelming emotions of love and compassion for life, Mother Earth and the stars. Your intuition is extremely strong and you feel connected to angelic beings.

_20240131_110126.JPG
 
View attachment 2889557
Cha kurekebisha hapo Faith Iko 4D na 3D kuna Believe ila kwenye 5D kuna Hope hakuna Faith
 
UKiwa upo level ya 4D au 5D na ukae na mtu wa 3D anaweza akakuona kichaa au mshirikina kwa mawazo yao
 
Huwa unanyamza tu , awakening sio kwa kila mtu. Hii huja kwa wakati sahihi kwa muhisika tu.
yah sema wengi ikiwatokea mwanzoni wanashindwa kuelewa, wanakua wanaongea/kuuliza sana ,shida unakuta wanaenda kuuliza kwa watu wenye upeo wa 3D ambao ulimwengu wao wa kiroho unaishia kwenye dini tu hapo wataanza kuzungushwa na mambo ya dini ila mda unavyozidi kwenda ndo wanajitambua zaidi baadae wanakua wakimya na hawataki tena msaada toka kwa watu wa nje,,,,,..........
 
yah sema wengi ikiwatokea mwanzoni wanashindwa kuelewa, wanakua wanaongea/kuuliza sana ,shida unakuta wanaenda kuuliza kwa watu wenye upeo wa 3D ambao ulimwengu wao wa kiroho unaishia kwenye 3D tu hapo wataanza kuzungushwa na mambo ya dini ila mda unavyozidi kwenda ndo wanajitambua zaidi baadae wanakua wakimya na hawataki tena msaada toka kwa watu wa nje,,,,,..........
Kabisa mkuu mimi huwa ninafunika kombe mwanaharamu apite kwa sababu mambo hayo hayahitaji longolongo ni mtu mwenyewe akipenda anaweza yakushuhudia yeye binafsi.
 
ulimwengu wa 4D na 5D unafanya kazi tokea ndani kwenda nje wakati wa 3D asilimia kubwa ni kutoka nje kwenda ndani ,ni ngumu sana kuelezea experience za 5D na 4D kwa mtu wa 3D, japo ni rahisi kuelezea experience za 3D kwa mtu wa aina yeyote
 
Kabisa mkuu apo inakua ni ngumu sana huyu wa 3D kuelewa chochote kama na yeye hata taka kutokea ndani.
 
Huwa unanyamza tu , awakening sio kwa kila mtu. Hii huja kwa wakati sahihi kwa muhisika tu.
Spiritual awakening,ni process ngumu mnoo.. very painful and lonely journey..unahitaji elimu kwanza,vinginevyo unaweza kujiona unataka kuwa kichaa.

Na inasemekana kuna watu wamekuwa vichaa baada ya hyo nguvu ya kimungu kuamka accidentally. So mtu anakuwa haelewi kinacho endelea anakuwa yupo confused.
 
Ni kweli,Mwaka wa kumi nipo kwenye hiyo safari mkuu, chini ya walimu wangu na sasa najimudi, naweza ongoza na wengine pia.
 
Safi sana mkuu, hongera sana. Ni nani alikushawishi au aliku inspire kuianza hii safari unique..unaweza kushare mapito ya safari yako? Ups and downs..
 
Duh mkuu , umenipa kazi kubwa sna , nimejaribu kueleza nikafuta😁😁 kwangu hii ni stori kubwa sana nyenye visa vya kushangaza🤔
 
Jitahidi mkuu,japo kwa ufupi saana. Ilikuaje ukaianza hii safari ya kiroho.
 
Hii kitu haiji kwa bahati mbaya mkuu au kwa juhudi tu , katika kipindi hiki ni kipindi cha mabadiliko makubwa ( spiritual era) ukijitafuta kwa bidii lazima tu ujipate mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom