Whats wrong with wahaya?????????

Infact Muganyizi havuwa very bright, aliambulia ka Upper second pale mlimani Llb..

..Infwakti kale ka-ipad kangu new model nilikonunua pale Toronto nimempa John (yule mtoto wangu wa chekechea). Anajifunzia alphabet.

Nawafagilia sana wanawake wa kihaya wana kila sifa ya kuwa mwanamke mpaka kunako shughuli, sina pingamizi kabisa!!!

wapi wewe wauza nanihii tu hao hapa mjini dar na swaga zao kujichubua ka wakongo mi wananiboa ka nini.

wapi wewe wauza nanihii tu hao hapa mjini dar na swaga zao kujichubua ka wakongo mi wananiboa ka nini.

Mkuu wanakuboa kwa lipi sasa!maana km unajua kuwa wanauza nanihi basi we utakuwa mmoja wa wanunuzi.swala la kujichubua,ni la wanawake wote watz waishio mijini. Zaidi ya 50% wanajichubua.

Why not wapare na kwanini utaje kabila badala ya sehemu kama ulivyoendelea kutaja hapo mbele???????

May be nikuulize wewe kwanini umekua sensitive kuhoji kwan wahaya sio kabila mbona usimuulize mwandishi kwanini asiandike watu wa kagera...usifanye maisha magumu we jamaa

dah...aseee hiyo nimeipenda alikua anajitahidi kumueleza dr of how he is...! ili dr aanze kuogopa coz jamaa wanapenda sana watu wanaowanyenyekea

Similar Discussions

Back
Top Bottom