What to choose

Dec 4, 2011
13
3
HABARI ZENU!
wadau mimi ni graduate wa mwaka huu, shahada ya environment, nimepata ajira ya kufundisha na wananilipa laki 450, pamoja na usafiri wa sehemu ninayoishi hapa moshi, na pia nimeitwa vodacom ya customer care sasa sijui niende wapi mana hamna hata moja ya professional yangu.naomba mnisaidie
 
fundisha mzazi.... Au kama unataka kukaa macho usiku huku unakula michuzi mbuzi iko poa jitie customer care
 
Fundisha mkuu ,kwanza unanafasi kufanya mambo mengi ukiwa teacher.customer watakugeuza bango .
 
Mi nlikua c.cr agent voda, utakuwa kiziw na hutapa dau hlo, dah ntafutie na mm kufundisha.
 
Back
Top Bottom