What the World Got Wrong in Côte D'Ivoire

Kwa kuanza lazima tudai reform ya United Nation, mfumo wa veto uondolewe, au kila ukanda wa dunia uwe na veto, lakini isiyoshikiliwa na nchi.
Lazima tuwe na jeshi la kulinda Uhuru wa Afrika.
Lazima tuwe na sarafu ya Afrika.
Tuwe na mfano wa IMF kwa Afrika.
Tuwe na Benki huru.
Tuzalishe Chakula kingi.
Tuache baadhi ya mikataba iliyolenga kuzitega nchi masikini kuwa dhaifu, kama vile kupiga vita mabomu ya ardhini!. kwa maana mabomu ya ardhini yatamzuia mvamizi kuvamia nchi yako, na ni kwa ajili ya stratergic defence, na wala siyo offensive weapon!

GLN, hiyo ni ngumu sana kuwa implemented taking into account marais wenyewe wa Africa wanaingia madarakani in the ways of Quattara, Kagame, Museveni, JK etc ... hivi unadani kwa akili yako US wakitaka jambo fulani liwe voted through AU as per their interest then wao watapinga?? Wakienda kinyume na wishes zao then ndo hapo kipondo kinavyogeuka kama tunavyojadili hii issue ya Cote' de Ivore!

Mababa wa mataifa yetu walishayaona hayo kabla, lakini kizazi hiki cha viongozi wa sasa wa Africa kwa kweli ni cancer isiyo na tiba:

In the days of the Cold War, the leading countries of the West created and supported a whole lot of corrupt dictators all over the Third World. The Marcoses, the Somozas, the Papa Docs, the Bokassas and the Mobutus of the Third World were all creatures and proteges of Western democracy. It is even said that when elections were proposed for South Vietnam the Americans opposed the idea. They feared that if the elections were free and fair the Communists would win them! The Cold War is now over; and refreshingly the same Western Countries have now become great champions of democracy and democratic elections everywhere
in the World. But now it has become their turn to preach a kind of "scientific" democracy. Democracy is being trotted out as if it is something that can be cloned like Dolly the sheep, and used anywhere and everywhere. We disagree and argue in vain that we must manage our own democratic development and change. For democracy to work properly, we argue, it must shape its mechanisms
to suit the culture, the conditions and current circumstances, and also the nature and purposes of a nation and its people. That is how democracy has developed in all the Western countries. American democracy, British democracy, Canadian democracy, Swiss democracy etc. are all democracies; but they are not clones of some original prototype ? they're different. Democracies in the countries of the
South should be allowed to develop their own institutions and characteristics. The people of Burundi, for instance, do not have to be apologetic about wanting to devise a democracy which suits Burundi. What is important is that it should be a democracy, but a democracy that is acceptable to the People of Burundi, and which serves their best interests.

But on top of dogmatic democracy we have now to contend with dogmatic capitalism also. Once again it is the turn of the capitalist world to insist on a kind of scientific capitalism which every country must follow. It is called: laissez-faire, free-market capitalism. Its preachers believe that it is both feasible and rational to ask Burkina Faso, and China, and India, and Russia, and Poland, and Brazil, and Tanzania, and Laos and Fiji to clone American capitalism. But once again this is absurd. Do we really have one capitalism in the capitalist world of to-day? Are German capitalism, French capitalism, Italian capitalism, Japanese capitalism, Korean capitalism all clones of American and British capitalism? Have they developed in the same way? The answer is clearly no. For once again in real life no country operates a pure laissez-faire capitalism. Why then, are capitalists of the South not being allowed to develop their own forms of capitalism? !
 
Hivi Baba Sangara wewe unadhani watu wote ambao hawaungi mkona upande wa Quatarra hawaijui Ivory Coast? Unajua yaani katika comment zako naona kama umejipa haki ya kujua mambo ya Ivory Coast kuliko mtu mwingine

Mkondoleaji, kama kuna upuuzi unasemwa kuhusu Cote d'Ivoire, nitajipa haki ya kujaribu kueleza ukweli.... Lakini, If you believe that the Northern half of your own country, then whole of West-Africa, then Africa and then the whole world is your enemy, then, the Gbagbo camp is home. Not my problem. There will be elections in 5 years and if Ouattara does not deliver he will be voted out.....
 
hahahaaa ... nadhani yuko sahihi kwa upande wake though sio vizuri analysis kuwa more of upande mmoja. kuna legitimate claims nyingi sana za upande wa Gbagbo ambazo western media walikuwa wanazi-discredit na ku-value zile za Outtara tu ... i was in accra, ghana (neighbour to i/coast) at the time of this crisis, i happened to meet some of the ppls waliokimbia ile un-rest ... mambo mengi hayaelezwi na hizi international media na yanapoelezwa basi yanapotoshwa sana ... kama sio france ... Ouattara naye angetakiwa awe the Hague at this moment!

but, i still wonder why comments za Baba Sangara ni sawa na zile zilizoko CNN, BBC, & France24!! Kama nyie ndio diplomats mnaomshauri mh. Kikwete then tafadhali fanyeni kazi zaidi bana!!

Shida ya Gbagbo ya "western Journalists" pamoja na "independent" local Journalists inajulikana Cote d'voire... Usipokubaliana naye utakubliana na mashushushu wake.. You intimidate your foreign journalist and you want them to write positively about you? How does that work?.. You summon all foreign Journalists to your state house for a press conference and what you do is broadcast their faces on prime time TV calling them enemies of the state? You incite your misguided youths to attack their houses and you expect them to report favourably about you? Even Gadaffi knows how to handle the media!..Not the Gbagbo camp. 80% of the Journalists for the media houses you mention above happen to be local Ivorians who could not report due to fear of reprisals. The media houses had to ship in new journalists regularly to be the "face" of their local colleagues who risked death from from the Gbagbo camp.
And no Madabwada, I did not agree with BBC reporting much, they were too neutral and failed to properly address the real atrocities commited by the Gbagbo camp! Incidentally, both the BBC and France24 correspondents had to flee the country a while back despite their "Neutral" reporting.....
 
The West now is facing a harsh economic situation!. Conference kama ile iliyofanyika Berlin mwaka 1884 tutazishuhudia sana, isipokuwa this time zitafanyika kwenye Chamber za Security Council, e.t.c. Watanzania na Waafrika tuamke, hizi media tunazopata habari, si habari zote ni za kweli!. hivyo vyombo vya habari kama vile CNN, BBC, ALJAZEERA, CCTV, vyote motive yake ni kuandaa mazingira ya Imperialism, wakati mwingine ni direct emperialism, wakati mwingine ni Imperialism lakini kupitia kwa puppets wao!. hao majamaa wako tayari hata kusteer civil war katika nchi fulani ili iwe weak, na wao waje kusaini mikataba ya kiwizi kwa kussupport upande mmoja ili ushinde!.

Viongozi wetu pamoja na mapungufu yao, lakini masikini wanakuwa Blackmailed na hawa jamaa, maana hawa jamaa ndo wachangiaji wakubwa wa bajeti zetu, ndo wenye kumiliki masoko ya mazao na madini yetu, ndo wana control World bank na IMF, ndo wanaotengeneza silaha tunazonunua, ndo wana veto katika security council wakitaka kukuwekea vikwazo hawashindwi. kiufupi wananchi ninabidi tuamke, na tukatae katakata hizi sera za hawa Wezi wa Kimataifa, na pia kuwaeliemisha Waafrika wenzetu na nchi masikini kila nafasi inapotokea.
La sivyo tutakuwa tunajenga nchi katika msingi laini, kwa maana hii mijamaa ikiamua kukurudisha chini, ina nyenzo nyingi za kufanya hivyo.

Kwa kuanza lazima tudai reform ya United Nation, mfumo wa veto uondolewe, au kila ukanda wa dunia uwe na veto, lakini isiyoshikiliwa na nchi.
Lazima tuwe na jeshi la kulinda Uhuru wa Afrika.
Lazima tuwe na sarafu ya Afrika.
Tuwe na mfano wa IMF kwa Afrika.
Tuwe na Benki huru.
Tuzalishe Chakula kingi.
Tuache baadhi ya mikataba iliyolenga kuzitega nchi masikini kuwa dhaifu, kama vile kupiga vita mabomu ya ardhini!. kwa maana mabomu ya ardhini yatamzuia mvamizi kuvamia nchi yako, na ni kwa ajili ya stratergic defence, na wala siyo offensive weapon!

GLN, Kama Africa moja iliwashinda Nyerere, Nasa, Nkrumah, Kaunda etc sidhani sarafu moja itawezekana kwa Mugabe, Museveni, Kibaki, Gbagbo, Kabila, Ghadaffi etc.

Jeshi la kulinda amani la Africa halijakataliwa, si hilo lipo la Somalia, nini kinaendelea kule. Darfur kulikuwa na jeshi la Africa 'Green helmet' ahh matokeo yake hata buti zilikuwa taabu. Hilo jeshi litalinda amani ipi ikiwa wavunja amani ndio walioko madarakani na ndio wanaokwenda Adis kwenye vikao.

Chakula: Hili ni kweli na ni ujinga wetu, fikiria nchi kama Tanzania kwanini iagize chakula!! Juzi nimesoma waziri mkuu anaongea na wahindi kuhusu kilimo cha umwagiliaji eti serikali ijiapange, sasa miaka 6 baada ya uchaguzi na 50 baada ya uhuru Pinda hajajipanga hadi wahindi waje wampange. Huu kama si uzezeta ni nini.

Kuhusu Veto, lazima pia tuangalaie upande wa pili wa shilingi, nch za Africa zinachangia nini hapo UN, nyingi ikiwemo Tanzania ni waomba misaada. Marekani inachangia 1/3, na nchi zingine tajiri zinachangia kutokana na uchumi wao. Lakini pia tujiulize sisi Africa tunataka veto ya nini kama hatuwezi kukabiliana na Al shabaab.!!! Yaani nchi 50 zinashindwa na kundi la wahuni halafu tunataka veto kuamua mustakabali wa China au India, jamani !!!

Hatuwezi kuheshimiwa kama sisi wenyewe hatujiheshimu, na tatizo ni kizazi cha viongozi ambacho kimegeuza Adis Ababa kama sehemu ya vacation. Angalia chaguzi zetu kama ya Tanzania hadi leo kuna sehemu hatujui matokeo ya rais, na rais alitangazwa. Eti na sisi tunataka tuwe na kura kujadili India yenye watu bilioni 1 na uchaguzi unafanyika leo na matokeo kabla ya saa tatu usiku.
Tubadilike kwanza kabla ya kulaumu nchi za magharibi!!
 
We Africans do not value ourselves. Our leaders do not give a damn about the wellbeing of their people-talk of Arusha, Nyamongo, Tabora killings by police. Look at what is happening to the opposition in Uganda. Talk of dubious deals (mining, oil sectors) that our governments sign with imperialist companies, who benefits?How are the imperialists involved in this? Every time our leaders are cornered, they start talking about neocolonialism and imperialism.

Some want us to sympathize with Gaddaffi simply because he is African-he is ours, the same leader who stashed a whopping 400bn USD,let alone other properties and those of his children! I mean, the guy is in his sunset days, why keep all that money (and worse enough,in a foreign imperialistic land)? How come the neocolonialists/imperialists 'care' more about us(the people of Africa, in terms of financial aid, military intervention where there are killings) than does our fellow elected Africans?
 
We Africans do not value ourselves. Our leaders do not give a damn about the wellbeing of their people-talk of Arusha, Nyamongo, Tabora killings by police. Look at what is happening to the opposition in Uganda. Talk of dubious deals (mining, oil sectors) that our governments sign with imperialist companies, who benefits?How are the imperialists involved in this? Every time our leaders are cornered, they start talking about neocolonialism and imperialism.

Some want us to sympathize with Gaddaffi simply because he is African-he is ours, the same leader who stashed a whopping 400bn USD,let alone other properties and those of his children! I mean, the guy is in his sunset days, why keep all that money (and worse enough,in a foreign imperialistic land)? How come the neocolonialists/imperialists 'care' more about us(the people of Africa, in terms of financial aid, military intervention where there are killings) than does our fellow elected Africans?

Well said Ngondya!
Ghadafi our own Africa leader has invested 400Bn in America and Europe. Andrew Chenge the then state attorney has an account in Jersey; Mobutu swindled the DRC money to Belgium. Omar Diko who was energy minister during Shagari's government left with 9 millions dollar (in 1980).
Gbagbo was assured that if he quits, his assert worth of billions will be protected under Gbagbo-AU cease fire agreement. Ironically the same person is deceiving the world that he wants to protect the Ivorian resources for the so called 1960 agreement. We don't talk about these rather trying to camouflage under the umbrella of western interference.

Think about this, for five decades consecutive our budget depends on donors at 40% mark. According to CAG report and others, money lost unaccounted for is worth 2trilion shs. Money went to dubious projects worth another trillion. Rampant tax exemptions, ghost workers, shoddy projects and extravagance worth another trillion.


Priority: Instead of investing into agriculture we ventured in luxurious 4 by 4 Land cruisers for Members of Parliament. Arguably this is a loan, however where is the loan for peasants? It is inconceivable that an MP who served the last 5 years is entitled to have another Land cruiser, at the same time his or her constituent is strugling with Land Rover bought by Nyerere admin in 1987.
The question, where is western interference in situation like ours!!

40 yrs ago we were in the same category with Korea, Indonesia and Malaysia; today we travel all the way to Pyong yang to ask for rice! The basins like Usangu, Rufiji, moshi and shinyanga are conduceive for agriculture but remain unattended perhaps to provide heaven for snakes and mongoose.
50 yrs we can't feed ourselves still we expect somebody to respect us! And we are pushing to the UN reform to give us a veto power! White elephant!
Botswana and Nigeria are the role model for better and for worse.
Our problem in Africa is not western interference rather egoism, villain, poor management and myopic leaders.
 

...................Our problem in Africa is not western interference rather egoism, villain, poor management and myopic leaders..............

Mzee, you hit the nail on the head... Ni hiyo "misaada" na hela za mkopo ambazo watoto wetu watalipa ambazo zimewalemaza viongozi wetu..
 
Back
Top Bottom