Ni nani anauhakika kuwa amekufa? Inawezekana kuwa bado yuko hai, anapata mateso ili atoe siri. Yaani wamtafute muda wote huo halafu wamuue? Haswa hili swala kuwa eti kumepatikana flash disc na memmory media nyingi huko nyumbani kwake kunanifanya niamini yuko amafungiwa mahali, anaimba kama kasuku siri zote za chama chake. Kuna uwezekano kabisa kuwa Rais mwenyewe hajui kuwa yupo, akiwa kama mwanasheria hataki sheria zivunjwe. Lakini hakuna sababu kwanini shirika kijasusi lisimfungie mahala pa usalama na siri, wamtese kwa miaka mingi ijayo, mpaka wachoke halafu wamnyonge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.