What is so special in Tz mpaka USA aingilie na yamefanyika zaid Rwanda, Zimbabwe, Burundi, Uganda

Ndiyo maana mli pyu pyu Tundu Lissu ili ku destabilise upinzani?
Tundu lissu anapiga mayowe tu, zamani nlikua nilikua nawakubali sana wapinzani walikua wanapigania mambo ya msingi, sahv waala hata siwaelewi wanaongelea vitu gani, nawaona km watoto flani ambao wamezoea kupiga kelele
 
Na mtu anayekimbilia kwa wazungu kudai haki yake huyo ni kibaraka wa wazungu tu na simwamini kabisa, tena wakiendelea hivyo bora wafutwe tu
 
Mkuu mbona unanivika kilemba cha ukoka!? Sio kwa sifa hizi. Bila kujali US ana China kasema nini, ukweli uko wazi chaguzi zetu za sasa zinapoteza heshima ya box la kura.

kwani Trump alishinda?
 
Tatizo kubwa la wapinzani wa Tanzania hawajui hata ni njia gani sahihi ya kuwafanya watimize lengo lao la kushika dola,

Wakati wakiwa wameelekea kufanikiwa inatokea kitu kidogo tu kuwatoa kwenye mstari na msimamo wao kuelekea kutimiza azma yao,

Leo hii kauli na maneno ni juu ya tweet ya ubalozi wa USA kwamba "sasa Trump ataingilia anaona yanayotendeka Tanzania"

Kwanza nawaambia acheni kujidanganya USA hana maslahi yeyote na Tanzania, na ijulikane marekani uingilia Tawala za sehem kama ana interest sana na eneo lile
Mfano Libya, Afghanistan, Kuwait, Syria, Na sasa nasikia anainyemelea Qatar

Hivi ni nini cha muhim mpaka marekani awaonee huruma watanzania kiasi hicho hahaha aisee,

Ni lipi kubwa Tanzania imekiuka sana ukilinganisha na matukio haya ya majirani zetu na Marekani hajaingilia

1.Kongo katika uchaguzi uliopita watu waliompinga bwana Kabila walifungwa magerezani kabisa bila dhamana mpaka uchaguzi ukapita ndo wakaachiwa wakati wasimamizi na wanaohesabu kura wengine wakiwa wanajeshi na wengine wa sare za chama cha kabila??

2. Kwa Morgan Tvangirah Mwaka 2008 uchaguzi ambao ulimpa Mugabe ushindi wa dhurma na ngome zote za Tvangirah hakukupelekwa masanduku ya kupiga kura, watu waliamka asubuhi pengine wanakuta hakuna majina yao ya kupiga kura wakati waliyaona na kuyahakiki usiku, mbali zaid kura zilizokuwa zinampigia mpinzani zinahesabiwa batili

3. Kenya mwaka 2007 wameishia kwenda kupoteza hela ya wakenya Mahakama ya kimataifa uholanzi,

4. Rwanda, kagame kafunga mpinzani wake, kamfungulia kesi za uhaini na usaliti,

Mbaya zaid siku ya kupiga kura askari anachungulia kuona amepigiwa nani, takriban watu 30 waliuwawa kimya kimya

5. Burundi.Mpaka sasa kuna sintofahamu, wapinzani zaid ya 26 wako ndani na watu wasiopungua 100 wameshafariki kisa mzozo huo,

6. Uganda mpaka napoongea katika uchaguzi mdogo, dereva wa mbunge Bobi wine (chagulanyi sentamu) amepigwa risasi Jana na askari na kuuwawa na mbunge yuko mahabusu kisa kumpigia kampeni anagombea against chama cha Mseven,

Tusidanganyane kabisaa Tweet za balozi sijui wa Norway, Mara USA hazitasaidia kitu ,tumia njia nyingine kupata haki zenu, msiwe kama Maalim Seif ambaye anaamini urais atapewa next week na Umoja wa Mataifa

Ndo Yale Yale ya Dada mmoja wa instagram aliwashika masikio mpaka kina Lema na msigwa wakasahau operation zao,

CHADEMA imejikita kwenye siasa za Facebook, whatsapp ,JF insta, wakati wanasahau kuna kundi kubwa wanalitenga, alafu mbaya zaid wanafanya siasa hizo bila kutumia majina yao kamili, hii inapotosha na itawakatisha tamaa wataka mabadiriko ya kweli,

Achana na tweet za USA angalia uhalisia wa siasa zenyewe, USA wataishia kulaani tu wakati watanzania wakiendelea kuumia,

Wapo wana CHADEMA wazuri wanaojenga hoja na wanaoongea ukashawishika kwa hoja zao mfano tindo huyu niwe mkweli kuna kipawa fulani cha siasa anacho ,CHADEMA peleleza mkamjue ni nani mpeni sekta ya ushauri,
Utambue kama ilivyokua kwa maendeleo ya watu kutoka ujima, ukabaila n.k Demokrasia imekuja baada ya kushindwa kwa falme, tawala za kibeberu na kidictator. Anayevuruga demkrasia haoni mbele wala hana nia njema kwa uzao wake na ujao. Kiachoendelea hapa nchini katika duru za siasa kwa sasa ni "apedemia aka unyani" ref Mtikila RIP
 
Tatizo kubwa la wapinzani wa Tanzania hawajui hata ni njia gani sahihi ya kuwafanya watimize lengo lao la kushika dola,

Wakati wakiwa wameelekea kufanikiwa inatokea kitu kidogo tu kuwatoa kwenye mstari na msimamo wao kuelekea kutimiza azma yao,

Leo hii kauli na maneno ni juu ya tweet ya ubalozi wa USA kwamba "sasa Trump ataingilia anaona yanayotendeka Tanzania"

Kwanza nawaambia acheni kujidanganya USA hana maslahi yeyote na Tanzania, na ijulikane marekani uingilia Tawala za sehem kama ana interest sana na eneo lile
Mfano Libya, Afghanistan, Kuwait, Syria, Na sasa nasikia anainyemelea Qatar

Hivi ni nini cha muhim mpaka marekani awaonee huruma watanzania kiasi hicho hahaha aisee,

Ni lipi kubwa Tanzania imekiuka sana ukilinganisha na matukio haya ya majirani zetu na Marekani hajaingilia

1.Kongo katika uchaguzi uliopita watu waliompinga bwana Kabila walifungwa magerezani kabisa bila dhamana mpaka uchaguzi ukapita ndo wakaachiwa wakati wasimamizi na wanaohesabu kura wengine wakiwa wanajeshi na wengine wa sare za chama cha kabila??

2. Kwa Morgan Tvangirah Mwaka 2008 uchaguzi ambao ulimpa Mugabe ushindi wa dhurma na ngome zote za Tvangirah hakukupelekwa masanduku ya kupiga kura, watu waliamka asubuhi pengine wanakuta hakuna majina yao ya kupiga kura wakati waliyaona na kuyahakiki usiku, mbali zaid kura zilizokuwa zinampigia mpinzani zinahesabiwa batili

3. Kenya mwaka 2007 wameishia kwenda kupoteza hela ya wakenya Mahakama ya kimataifa uholanzi,

4. Rwanda, kagame kafunga mpinzani wake, kamfungulia kesi za uhaini na usaliti,

Mbaya zaid siku ya kupiga kura askari anachungulia kuona amepigiwa nani, takriban watu 30 waliuwawa kimya kimya

5. Burundi.Mpaka sasa kuna sintofahamu, wapinzani zaid ya 26 wako ndani na watu wasiopungua 100 wameshafariki kisa mzozo huo,

6. Uganda mpaka napoongea katika uchaguzi mdogo, dereva wa mbunge Bobi wine (chagulanyi sentamu) amepigwa risasi Jana na askari na kuuwawa na mbunge yuko mahabusu kisa kumpigia kampeni anagombea against chama cha Mseven,

Tusidanganyane kabisaa Tweet za balozi sijui wa Norway, Mara USA hazitasaidia kitu ,tumia njia nyingine kupata haki zenu, msiwe kama Maalim Seif ambaye anaamini urais atapewa next week na Umoja wa Mataifa

Ndo Yale Yale ya Dada mmoja wa instagram aliwashika masikio mpaka kina Lema na msigwa wakasahau operation zao,

CHADEMA imejikita kwenye siasa za Facebook, whatsapp ,JF insta, wakati wanasahau kuna kundi kubwa wanalitenga, alafu mbaya zaid wanafanya siasa hizo bila kutumia majina yao kamili, hii inapotosha na itawakatisha tamaa wataka mabadiriko ya kweli,

Achana na tweet za USA angalia uhalisia wa siasa zenyewe, USA wataishia kulaani tu wakati watanzania wakiendelea kuumia,

Wapo wana CHADEMA wazuri wanaojenga hoja na wanaoongea ukashawishika kwa hoja zao mfano tindo huyu niwe mkweli kuna kipawa fulani cha siasa anacho ,CHADEMA peleleza mkamjue ni nani mpeni sekta ya ushauri,

Mkuu kumbuka raisi George Bush alifnya zisra Tanzanis na Obama nae alifnya ziara Tanzania. Kama usa wasingekuwa na intetest tz sidhani kama ziara hizo zinefanywa.
 
Okay. Kwahiyo unashauri wapinzani wafanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wana CHADEMA wazuri wanaojenga hoja na wanaoongea ukashawishika kwa hoja zao mfano tindo huyu niwe mkweli kuna kipawa fulani cha siasa anacho ,CHADEMA peleleza mkamjue ni nani mpeni sekta ya ushauri,
Naunga mkono hoja, japo sikuwahi kujua kuwa Mkuu tindo yuko Chadema, jamaa is good, namkubali sana, kama ni kweli yuko Chadema, kwanini hatoi ushauri wa maana kwa chama chake, kila kukicha, kinaibuka na maroroso na makorokocho kibao?.
P.
 
Mkuu mbona unanivika kilemba cha ukoka!? Sio kwa sifa hizi. Bila kujali US ana China kasema nini, ukweli uko wazi chaguzi zetu za sasa zinapoteza heshima ya box la kura.
"Wapo wana CHADEMA wazuri wanaojenga hoja na wanaoongea ukashawishika kwa hoja zao mfano tindo huyu niwe mkweli kuna kipawa fulani cha siasa anacho ,CHADEMA peleleza mkamjue ni nani mpeni sekta ya ushauri,"

,nimecheka kinoma!, haya promo hiyo, komaa!
 
Duuu mkuu, mbona unanipandisha chat kiasi hicho? Hata hivyo mimi sio mwanachama wa cdm bali ni shabiki wa kutupwa wa cdm. Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
 
Naunga mkono hoja, japo sikuwahi kujua kuwa Mkuu tindo yuko Chadema, jamaa is good, namkubali sana, kama ni kweli yuko Chadema, kwa hatoi ushauri wa maana kwa chama chake, kila kukicha, kinaibuka na maroroso na makorokocho kibao?.
P.
Tindo ni Chadema ila ambaye alilaani ujio wa Lowassa Chadema
 
Back
Top Bottom