HahahaMungu ibariki USA kwenye hili.
Tatizo kubwa la wapinzani wa Tanzania hawajui hata ni njia gani sahihi ya kuwafanya watimize lengo lao la kushika dola,
Wakati wakiwa wameelekea kufanikiwa inatokea kitu kidogo tu kuwatoa kwenye mstari na msimamo wao kuelekea kutimiza azma yao,
Leo hii kauli na maneno ni juu ya tweet ya ubalozi wa USA kwamba "sasa Trump ataingilia anaona yanayotendeka Tanzania"
Kwanza nawaambia acheni kujidanganya USA hana maslahi yeyote na Tanzania, na ijulikane marekani uingilia Tawala za sehem kama ana interest sana na eneo lile
Mfano Libya, Afghanistan, Kuwait, Syria, Na sasa nasikia anainyemelea Qatar
Hivi ni nini cha muhim mpaka marekani awaonee huruma watanzania kiasi hicho hahaha aisee,
Ni lipi kubwa Tanzania imekiuka sana ukilinganisha na matukio haya ya majirani zetu na Marekani hajaingilia
1.Kongo katika uchaguzi uliopita watu waliompinga bwana Kabila walifungwa magerezani kabisa bila dhamana mpaka uchaguzi ukapita ndo wakaachiwa wakati wasimamizi na wanaohesabu kura wengine wakiwa wanajeshi na wengine wa sare za chama cha kabila??
2. Kwa Morgan Tvangirah Mwaka 2008 uchaguzi ambao ulimpa Mugabe ushindi wa dhurma na ngome zote za Tvangirah hakukupelekwa masanduku ya kupiga kura, watu waliamka asubuhi pengine wanakuta hakuna majina yao ya kupiga kura wakati waliyaona na kuyahakiki usiku, mbali zaid kura zilizokuwa zinampigia mpinzani zinahesabiwa batili
3. Kenya mwaka 2007 wameishia kwenda kupoteza hela ya wakenya Mahakama ya kimataifa uholanzi,
4. Rwanda, kagame kafunga mpinzani wake, kamfungulia kesi za uhaini na usaliti,
Mbaya zaid siku ya kupiga kura askari anachungulia kuona amepigiwa nani, takriban watu 30 waliuwawa kimya kimya
5. Burundi.Mpaka sasa kuna sintofahamu, wapinzani zaid ya 26 wako ndani na watu wasiopungua 100 wameshafariki kisa mzozo huo,
6. Uganda mpaka napoongea katika uchaguzi mdogo, dereva wa mbunge Bobi wine (chagulanyi sentamu) amepigwa risasi Jana na askari na kuuwawa na mbunge yuko mahabusu kisa kumpigia kampeni anagombea against chama cha Mseven,
Tusidanganyane kabisaa Tweet za balozi sijui wa Norway, Mara USA hazitasaidia kitu ,tumia njia nyingine kupata haki zenu, msiwe kama Maalim Seif ambaye anaamini urais atapewa next week na Umoja wa Mataifa
Ndo Yale Yale ya Dada mmoja wa instagram aliwashika masikio mpaka kina Lema na msigwa wakasahau operation zao,
CHADEMA imejikita kwenye siasa za Facebook, whatsapp ,JF insta, wakati wanasahau kuna kundi kubwa wanalitenga, alafu mbaya zaid wanafanya siasa hizo bila kutumia majina yao kamili, hii inapotosha na itawakatisha tamaa wataka mabadiriko ya kweli,
Achana na tweet za USA angalia uhalisia wa siasa zenyewe, USA wataishia kulaani tu wakati watanzania wakiendelea kuumia,
Wapo wana CHADEMA wazuri wanaojenga hoja na wanaoongea ukashawishika kwa hoja zao mfano tindo huyu niwe mkweli kuna kipawa fulani cha siasa anacho ,CHADEMA peleleza mkamjue ni nani mpeni sekta ya ushauri,
Chadema wote waliolaani ujio wa Lowassa, mimi niliwaita ni makenge, kwenye msafara wa mamba.Tindo ni Chadema ila ambaye alilaani ujio wa Lowassa Chadema
Mkuu mbona nakumbukaa nawe ulitaka kuchukua jimbo endapo lowassa angeenda CDM na ukasema yeyote atakayesimamishwa na COM utamwangusha kama unasukuma Mlevi?Chadema wote waliolaani ujio wa Lowassa, mimi niliwaita ni makenge, kwenye msafara wa mamba.
Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!
Wanabodi, Sometimes you have to take the bitter with the sweeter!. Kitendo cha Lowassa kujiunga Chadema, ingawa ni very sweet move kwa wengi, ila kwa wengine it's very bitter move!. Nimepokea tetesi kuwa kuna watu Chadema wamesusa!, wakiongozwa na 'Mzee wa Kususasusa!'. Imeelezwa...www.jamiiforums.com
Kwenye msafara wa Mamba, na Kenge wapo!- It is Either with US or Against US!
Wanabodi, Wale wa longi kama mimi mnaweza kukumbuka yale mazungumzo ya amani ya Burundi yaliyokuwa yakisimamiwa na Mwalimu Nyerere mjini Arusha, kila siku mazungumzo yalikuwa hayafiki mwisho kwa sababu kila yakifika mwisho na kufikia kutiwa saini, wawakilishi wa vyama vikuu walirejea kwenye...www.jamiiforums.com
P.
Nikweli nilipanga na mimi niingie siasa kwa kujiunga Chedema na kugombea jimbo fulani la CCM, mbunge wa jimbo hili, ningemshinda kirahisi kama kumsukuma mlevi, lakini nilighairi kwa kuhofia kujenga uadui na watu fulani.Mkuu mbona nakumbukaa nawe ulitaka kuchukua jimbo endapo lowassa angeenda CDM na ukasema yeyote atakayesimamishwa na COM utamwangusha kama unasukuma Mlevi?
Wewe mtu ni mtata sana.Nikweli nilipanga na mimi niingie siasa kwa kujiunga Chedema na kugombea jimbo fulani la CCM, mbunge wa jimbo hili, ningemshinda kirahisi kama kumsukuma mlevi, lakini nilighairi kwa kuhofia kujenga uadui na watu fulani.
P
No sio mtata bali makini sana, natamani sana kuingia mjengoni nikamwage nondo, tatizo sina chama na sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, hivyo kwa uchaguzi wa 2015, niliiwazia Chedema, nikaghairi, lakini kwa 2020, hakuna kuwaza tena, chama ni kimoja tuu.Wewe mtu ni mtata sana.
Unaongea kama unamsifu anaechimba shimo ukiamini ni chdm tu ndio watatumbukia! Ndiyo dhana ya wachinjaji wa democracy. Lakini siku ikifika shimo litameza wote.Tatizo kubwa la wapinzani wa Tanzania hawajui hata ni njia gani sahihi ya kuwafanya watimize lengo lao la kushika dola,
Wakati wakiwa wameelekea kufanikiwa inatokea kitu kidogo tu kuwatoa kwenye mstari na msimamo wao kuelekea kutimiza azma yao,
Leo hii kauli na maneno ni juu ya tweet ya ubalozi wa USA kwamba "sasa Trump ataingilia anaona yanayotendeka Tanzania"
Kwanza nawaambia acheni kujidanganya USA hana maslahi yeyote na Tanzania, na ijulikane marekani uingilia Tawala za sehem kama ana interest sana na eneo lile
Mfano Libya, Afghanistan, Kuwait, Syria, Na sasa nasikia anainyemelea Qatar
Hivi ni nini cha muhim mpaka marekani awaonee huruma watanzania kiasi hicho hahaha aisee,
Ni lipi kubwa Tanzania imekiuka sana ukilinganisha na matukio haya ya majirani zetu na Marekani hajaingilia
1.Kongo katika uchaguzi uliopita watu waliompinga bwana Kabila walifungwa magerezani kabisa bila dhamana mpaka uchaguzi ukapita ndo wakaachiwa wakati wasimamizi na wanaohesabu kura wengine wakiwa wanajeshi na wengine wa sare za chama cha kabila??
2. Kwa Morgan Tvangirah Mwaka 2008 uchaguzi ambao ulimpa Mugabe ushindi wa dhurma na ngome zote za Tvangirah hakukupelekwa masanduku ya kupiga kura, watu waliamka asubuhi pengine wanakuta hakuna majina yao ya kupiga kura wakati waliyaona na kuyahakiki usiku, mbali zaid kura zilizokuwa zinampigia mpinzani zinahesabiwa batili
3. Kenya mwaka 2007 wameishia kwenda kupoteza hela ya wakenya Mahakama ya kimataifa uholanzi,
4. Rwanda, kagame kafunga mpinzani wake, kamfungulia kesi za uhaini na usaliti,
Mbaya zaid siku ya kupiga kura askari anachungulia kuona amepigiwa nani, takriban watu 30 waliuwawa kimya kimya
5. Burundi.Mpaka sasa kuna sintofahamu, wapinzani zaid ya 26 wako ndani na watu wasiopungua 100 wameshafariki kisa mzozo huo,
6. Uganda mpaka napoongea katika uchaguzi mdogo, dereva wa mbunge Bobi wine (chagulanyi sentamu) amepigwa risasi Jana na askari na kuuwawa na mbunge yuko mahabusu kisa kumpigia kampeni anagombea against chama cha Mseven,
Tusidanganyane kabisaa Tweet za balozi sijui wa Norway, Mara USA hazitasaidia kitu ,tumia njia nyingine kupata haki zenu, msiwe kama Maalim Seif ambaye anaamini urais atapewa next week na Umoja wa Mataifa
Ndo Yale Yale ya Dada mmoja wa instagram aliwashika masikio mpaka kina Lema na msigwa wakasahau operation zao,
CHADEMA imejikita kwenye siasa za Facebook, whatsapp ,JF insta, wakati wanasahau kuna kundi kubwa wanalitenga, alafu mbaya zaid wanafanya siasa hizo bila kutumia majina yao kamili, hii inapotosha na itawakatisha tamaa wataka mabadiriko ya kweli,
Achana na tweet za USA angalia uhalisia wa siasa zenyewe, USA wataishia kulaani tu wakati watanzania wakiendelea kuumia,
Wapo wana CHADEMA wazuri wanaojenga hoja na wanaoongea ukashawishika kwa hoja zao mfano tindo huyu niwe mkweli kuna kipawa fulani cha siasa anacho ,CHADEMA peleleza mkamjue ni nani mpeni sekta ya ushauri,
Bavicha kwenye huu uzi hawakukuelewa lakini leo hata Lisu mwenyewe kagundua kwamba wazungu ni wababaishaji tu akaamua kurudi zake wodini.rejea