Kweli kabisa bado nakua ..............ila mada tunayojadili imeeleweka? ni kuhusu maana sahihi ya upinzani sio kuhusu kukua kwangu hebu naomba hoja zijibiwe kwa hoja sio dhihaka hakuna haja ya dhihaka tunajadili mambo ya msingi hapa.
Naona hoja imehama bwana imekuwa sio maana ya upinzani tena ni kuhusu mimi kutafuta girl................aah...........binafsi sidhani kama hilo lililoibuliwa litatusaidia kuelewa maana ya upinzani hebu tujadili mambo ya msingi..............nimechambua kwa hoja inabidi nijibiwe kwa hoja sio mzahamzaha .........tuchambue mambo yenye tija kwa taifa ......tujadili kwa mantiki mzaha sio mda wake huu.............kama umeshindwa mada haijaeleweka ni heri kaa pembeni kwa maana kujiuzulu sio udhaifu tu wakati mwingine ni ujasiri kuyaacha yapite(resigning does not only mean you are weak , sometimes it means you are strong enough to let it go)
mimi na hoja tu ila zipo kwenye makala yangu ............narudia tena upinzani ni zaidi ya kulalamika.............upinzani wa kweli unajali vipaumbele vya taifa sio kuendesha propaganda kila uchao.............bwana mutu hebu jaribu kuchambua hoja zangu sio kuniuliza iwapo na hoja au la? Mimi hoja ninazo za kutosha tu lakini hebu chambua hoja zilizopo kwenye makala yangu kaka.
Nova hapo kidogo nakuelewa, upinzani ni zaidi ya kupinga, they suppose nao kuingia kusaidia wananchi katika mapambano dhidi ya umaskini, si kupinga kwa kila chama tawala kinachofanya, na kutaja figures mbalimbali za kushindwa. umejitahidi though nimepata mwanga who is Nova, and i think Nova, si kamwanfunzi kama kanavodai ila ni au basi naogopa infedelity....
Bila kuwa na propaganda chama cha siasa hakiwezi kudumu. Moja ya sababu kuu za kuanzishwa chama cha siasa ni kushika dola siku moja. Sasa watafikiaje hapo? Inabidi wawe na hoja mbadala, kuumbua uozo wa serikali iliopo madarakani, kuamsha watu waelewe siasa ni ni nini ( japo hiki ni kisu chenye makali pande zote ambacho wanasiasa wengi wa Kiafrika wanakiogopa kukijenga).Mimi na hoja tu ila zipo kwenye makala yangu ............narudia tena upinzani ni zaidi ya kulalamika.............upinzani wa kweli unajali vipaumbele vya taifa sio kuendesha propaganda kila uchao.............bwana Mutu hebu jaribu kuchambua hoja zangu sio kuniuliza iwapo na hoja au la? Mimi hoja ninazo za kutosha tu lakini hebu chambua hoja zilizopo kwenye makala yangu kaka.
Nini maana ya upinzani kwa lugha nyepesi!?