What attracts women to older men?

Huna jinsi hapo TF wacha wakubwa tulonge....LOL

hahaha mwenyewe keshaelewa mi nilishangaa mtotom mdogo kazaliwa juzi hapa tunamimbia happy bday leo anataka kuota mapembe...lol

Asha D uwe unaangalia jamani hahahahahaaa....ile yuko very obedient, AD anafanya kazi nzuri:israel:
 
LOL... LOL... I Know...
 
Huna jinsi hapo TF wacha wakubwa tulonge....LOL
Tulikuwa vizuri mara wakanikana kama Yuda alivyomkana Yesu
The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:

Kaizer (Today)

umeona eeh?
Nimeona tatizo wewe uko IBO mikanda yote ya ubingwa umeshikilia wewe
hahaha mwenyewe keshaelewa mi nilishangaa mtotom mdogo kazaliwa juzi hapa tunamimbia happy bday leo anataka kuota mapembe...lol

Asha D uwe unaangalia jamani hahahahahaaa....ile yuko very obedient, AD anafanya kazi nzuri:israel:
Hahahahaha!!! Nikapigwa na madongo juu lol
 
Sasa Kaizer that drink TF aliahidi kumtoa huby, nawe utakuwepo au ndo inabidi nayo TF apotezee.... Uje wewe...

hahaha, Asha D, as a matter of fact, TF na Hubby wanabaki na ya kwao, mi na wewe tutakuwa pamoja JIONI hii for a drink as well..talk of women EMANCIPATION
 
Tulikuwa vizuri mara wakanikana kama Yuda alivyomkana Yesu

Nimeona tatizo wewe uko IBO mikanda yote ya ubingwa umeshikilia wewe

Hahahahaha!!! Nikapigwa na madongo juu lol

hahahah....wewe tulia kidogo kidogo utafika tu kijana wangu...
 
Kumbe hamna kilichoharibika huby utatoka nae... u are going to give him a guys day out....
 
hahaha, Asha D, as a matter of fact, TF na Hubby wanabaki na ya kwao, mi na wewe tutakuwa pamoja JIONI hii for a drink as well..talk of women EMANCIPATION

LOL.... eeh kweli the above in red applies...
 
Sasa Kaizer that drink TF aliahidi kumtoa huby, nawe utakuwepo au ndo inabidi nayo TF apotezee.... Uje wewe...
Ngoja nisikie Kaizer atasemaje kuhusiana na hili
hahaha, Asha D, as a matter of fact, TF na Hubby wanabaki na ya kwao, mi na wewe tutakuwa pamoja JIONI hii for a drink as well..talk of women EMANCIPATION
Amini amini nawaambia jioni nitakuwa pamoja nanyi kwenye nyumba ile, Kaizer zile cooking skills sijui bado zipo
hahahah....wewe tulia kidogo kidogo utafika tu kijana wangu...
Wala sibishi
Kumbe hamna kilichoharibika huby utatoka nae... u are going to give him a guys day out....
:israel::israel::israel:
 
Mwe yani ngoja nitokee mbio nikafanyie kazi vijisentensi nilivoelewa vingine vimenipita Dena embu PM basi utoe tafsiri!

Yaani mie nimetoka kapa kabisa afadhali wewe una vijisentensi mie sina kabisa hebu ukivifanyia kazi uni pm tafadhali maana nahamu kweli ya kuelewa lakini ndo hivyo tena lugha gongana
 
Back
Top Bottom