What American and Indian movies wants us to believe

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,316
7,734
AMERICAN MOVIES TEACH US:
1. Chinese have nothing better to do than teaching or practice Kung Fu.
2. More than 50% of U.S. population are FBI/CIA agents, working undercover.
3. The purpose of school system of U.S. is to promote basketball.
4. Aliens have special interest in attacking U.S.
5. US is a place where you can meet all mythical creatures like werewolves and vampires.​

INDIAN MOVIES TEACH US:
1. At least one of the identical twins is born evil.
2. While defusing a bomb, do not worry, whichever wire you cut you "always choose the right one".
3. A hero will show no pain while getting beaten up; but will show pain when a girl cleans up his wound.
4. A detective can solve a case only when he is suspended from duty.
5. If you decide to start dancing on the street, everyone you meet will know the steps.

Correct me if I'm wrong..!​
 
Movies zetu wachekeshaji wetu hawachekeshi mpaka wakunje sura au wavae nguo zilizotoboka wakikasirika basi ni kelele mtindo m1,risasi zinapigwa na anayepigwa kajificha upande wa gari lakini hata kioo hakivunjiki kanumba na majumba tuuuu wazee wale wale majina yao sasa birthday cake i hate my bday jeraha la moyo siri ya moyo part 1 and 2 oooh gosh
 
Actors wetu wa kike, (au mwono wa ma Directors?) kuvaa nusu uchi ndio filamu inavutia? shame on you!!.Hebu tuachane na mambo ya Magharibi.Napenda kusema kwa uwazi kwamba soko la filamu zetu limekua kutokana na kuwepo kwake kwa wingi sokoni kiasi ambacho filamu za Nigeria zilizokuwa zimejaa sokoni zimefifia. Tatizo la filamu zetu ni hili swala la maadili. Filamu zina mafundisho mazuri,lakini kwa mzazi mwenye heshima yake hawezi kukaa na familia yake kwa pamoja kuangalia filam ambayo wachezaji wake wako nusu uchi. Watazamaji wanachotakiwa ni kupata ujumbe uliomo ndani ya filamu husika. Watoto wetu wanajifunza nini juu ya utamaduni wa mavazi? Enzi hizo ndugu zangu wamasai walikuwa wanavaa nusu uchi (wanaume) sasa hivi wameacha, sisi wengine badala ya kwenda mbele, tunarudi nyuma kwa kuvaa nusu uchi (Ustaarabu wa kishenzi-mwenye kuchukia na achukie).Natoa ushauri kuwepo na chombo kitakachodhibiti maadili katika filamu zetu, ziwe katika madaja kama zamani kwa kuweka umri km. filamu hii iangaliwe na watu wazima tu (18 above), miaka 16, miaka 15, au familia yote au filamu ni ya kutisha itolewe tahadhari, wenzetu wa Afrika kusini na nchi nyingine wanavyo vyombo hivi. Hapa kwetu kilikuwepo (TFC kama sikosei) kulikofia mimi sijui. Na nyie dada zetu wakati umefika acheni kujidhalilisha kwa kuiga mambo ya kijinga, utandawazi ndio lakini sio kwa kila kitu, uhuru ndio lakini sio kwa kila kitu.Mwisho naupongeza uongozi wa Chuo cha Biashara kwa kuamua kupiga marufuku mavazi yasiyo na heshima. Mwanafunzi asiyetaka akakae nyumbani kwao na nashauri vyuo vingine vifuate mfano huu. Nasikia kule RUCO na Tumaini Iringa walishachukua hatua sina uhakika....kama ni sahihi big up..
 
AMERICAN MOVIES TEACH US:
1. Chinese have nothing better to do than teaching or practice Kung Fu.
2. More than 50% of U.S. population are FBI/CIA agents, working undercover.
3. The purpose of school system of U.S. is to promote basketball.
4. Aliens have special interest in attacking U.S.
5. US is a place where you can meet all mythical creatures like werewolves and vampires.​

INDIAN MOVIES TEACH US:
1. At least one of the identical twins is born evil.
2. While defusing a bomb, do not worry, whichever wire you cut you "always choose the right one".
3. A hero will show no pain while getting beaten up; but will show pain when a girl cleans up his wound.
4. A detective can solve a case only when he is suspended from duty.
5. If you decide to start dancing on the street, everyone you meet will know the steps.

Correct me if I'm wrong..!​
mkuu hizo yellow nimecheka hadi basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom