What a waste. . .

bobby made it worse... Bottom line is... "sometimes its worth not pursuing true love if after all u are not meant to be"..

kiasi nakubaliana na wewe kabisa, ila as long as you were not meant to be then the whole true love thing becomes defeated
 
mnhhh, to me i think everything in life has a time factor, he/she may be an a$$ yesterday but an angle today, it all depends on how well and analyse things
I see what you mean... a recycled person...
Maybe and maybe not. Kama hakukua na sababu za msingi za kumiss opportunity basi hakuna second chance. Kama sababu zilikua za msingi (kwa vigezo vyangu) na anaonekana kawa fully recicled than maybe the possibility of giving him a second chance can be assessed. but hakuna guarantee kama ilivyo for a brand new candidate. lol
 
Nadhani ni kutokana na mfumo tuliojijengea,Waweza kukutana na msichana kwa masaa kadhaa,lakini la kushangaza robo tatu ya muda unatawala mazungumzo.Kila ukimuuliza mdada jambo fulani jibu ni NAKUSIKILIZA WEWE!,this kills like poison pills!
 
What a big waste! Ni bora ukataliwe angalau unajifariji umejaribu... Tena sana sana kwa sisi wanawake sometimes we feel the same way ila tuna subiri u men to make a first move... Sasa kama na wewe ndio ngoja ngoja utageuka zoba hivi hivi unajiona...


Totally agree with you, especially for ladies you can keep your life on standstill to wait for him to make a first move.
 
and it cost her career and life ....what a waste....

Boss, this is the saddest part.... looking at the couple that they were, its a clear example of what "relationships" can lead to. You meet a bad guy/woman, you try hard to "cope" with him or her, then u risk loosing it! Imagine if late Whitney had decided to leave the dude early enough, perhaps she would have still been alive today!
Wanasema kaa na waridi nawe utanukia, ila ukijichanganya na shit..guess what happens!
 
Sasa kama he did not use the opportunity when he had it, mi naona kama he is not worth it tayari, and there is no second chance for people who don't dare fighting for what they want. lol


Kuna suala la mazingira, opportunity yaweza kujitokeza lakini pia kwa upande mmoja mazingira yakakubana mfano amemtamani dada kwenye daladala...na wamebahahatika kuchat mawili ma3..................
 
Cartura nilimaanisha mahusiano kati yao (URAFIKI WAO) na sio na watu wengine.

hapo nimekupata... ; by the way, scenario niliyoiulizia ilitokana na kukumbuka mchango wa mchangiaji mmoja somewhere else kwamba amewahi kuwasiliana na mtu na akagundua wana'click' (kuna chemistry kati yao pamoja na kwamba yuko kwenye uhusiano mwingine);

but kwa mujibu wa AD hapa chini, inaonekana kama hiyo siyo sawa


I have a saying... it is ok to fall in love over and over when you are young and single...
It is selfishness to fall in love over and over whtn you are an adult especially if committed in a relationship... BUT how I wish it was that simple... roho aizeki Ndahani....
 
Boss, this is the saddest part.... looking at the couple that they were, its a clear example of what "relationships" can lead to. You meet a bad guy/woman, you try hard to "cope" with him or her, then u risk loosing it! Imagine if late Whitney had decided to leave the dude early enough, perhaps she would have still been alive today!
Wanasema kaa na waridi nawe utanukia, ila ukijichanganya na shit..guess what happens!

kinachoumiza zaidi ni kuwa wale wanaokupenda
like familly and friends ndo wanaumia zaidi hata ukiwa umeshakufa....
mapenzi gani haya ya kuumiza watu weengi wengine.....
 
Wifi kipenzi, don't u forget its ok to fall in love over and over again with the same person if you ar married. It actually makes u feel younger and new all the time despite all odd! Lol, kasheshe kama umejinyakulia 'waste' ambayo haitaki kujiachia na kufurahia maisha. Mi ndo naanza valentine wifi upyaa, too bad haikaribishiki,lol
I have a saying... it is ok to fall in love over and over when you are young and single... It is selfishness to fall in love over and over whtn you are an adult especially if committed in a relationship... BUT how I wish it was that simple... roho aizeki Ndahani....
 
Kupenda blindly inatokea wakati gani haswa?

Kupenda kichwa kichwa bila hata kuamua kuona yanayoonekana. Maana kuna vitu ambavyo mtu hawezi kuvificha na ndio vinakuwa vikwazo kwenye mapenzi ya kudumu. kama vingeangaliwa mapema tahadhari ingelichukuliwa....ila ndio hivyo tena. Mtu anaamua kujitoa jumla jumla...anaanza kulia mbele ya safari
 
Sikilizeni wadau, mapenzi hakuna anayejua vizuri kwa kiasi naweza kusema najua kidogo kuhusu mke wangu. Unaweza ukapendana na mtu anayekupenda lakini how will you know that she really loves you? utabaki na mtihani. hivyo hili jahazi liacheni liende hivyo hivyo sometimes unaweza ukaona mtu anapretend wewe ukakurupuka kuwa anakupenda.
mfano niliwahi ku cheat enzi zile lakini nilikuwa nacheat siku ambazo niko kwenye very good terms na mke wangu, kama hatuko vizuri piga ua si cheat. Sasa hapa huwa nashangaa kwa wengine wana cheat wakati wamegombana majumbani kwao.
huu ndio utofauri wa binadamu huwezi mwelewa anafikiria nini.
 
Ohh yeahh. .
All "what IF" does is hold people back, remind them of what they could have and damage what they already have.

mimi ni mwathirika namba moja wa hii kitu!!only if nisingesita...............!!
 
Back
Top Bottom