What a waste. . .

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,821
59,422
Happy Valentine y'all. . .
Mine was quite memorable. . .I hope yours went well!!

Nwy wakati mwingine waweza kuta watu wawili wanapendana haswa, achana na kutamaniana. Mapenzi ambayo kama yangepewa nafasi yangechanua na kutengeneza mahusiano mazuri na imara sana, ila hamna anaekua na ujasiri wa kumwambia mwenzake. Yaweza kuwa ni matokeo ya kutojiamini; "yule mi sio size yake bwana", Hofu ya kukataliwa ;"naaah. . sidhani kama atanikubalia. Kama na yeye angekua na hisia za mapenzi juu yangu angeshanijulisha!", Hofu ya kuvunja uhusiano ambao tayari wanao ;"Ataniona wa ajabu sana kumtamkia maswala ya mapenzi yeye ni rafiki yangu, na mimi wake!!" n.k

Matokeo yake wanaishia kuwa na watu ambao hawawezi kuwapenda na kuridhika nao jumla with a lot of WHAT IF(S) kila kukicha. . . Isn't that a waste?
 
In french they say : "si" abime l'idee.
Which means you can have a very good idea, but just because you start with "if" you have poisoned it already:
- If I could do this and that, I would tell her I love her
- I will tell her I love her as soon as I have done this and that.
Can you see how damaging 'if' can be?
 
Kama kuna kitu ningeweza kushauri ni watu kutulia wanapotaka kutafuta life partners na kusukumwa zaidi na nia za moyo bila pressure za nje(materials). Kutulia kunatoa nafasi ya kujuana zaidi na kufanya maamuzi ambayo hayana majuto. hakuna kitu kibaya amabcho nimekishuhudia kama watu kuachana njia panda. Kuna mmoja atakuwa majeruhi tu tena atatia huruma....what a waste, Lizzy!
Well, haina maana tusiache kufuata nini mioyo yetu inataka...mwisho wa siku tunatukuwa na utayari wa kubeba gharama zake.
 
In love... risk is everything to land it. It may not always turn out rite,
but the fact that there might be that slight chance for it to turn out rite....
you go for it! Period! So that even if it does not work out, in the years to
come; you do not hold that nudging thot that I had lost that chance
to love and be loved not to have tried....
 
Ohh yeahh. .
All "what IF" does is hold people back, remind them of what they could have and damage what they already have.
 
Lizzy, Mine is to wish you and your followers a happy life. Valentine day came and left. The best thing is to find happiness within yourself. Treat each other with compassion. Do unto others as you would want others do unto you. Think kindly of others as you do. May Valentine spirit reign as of now and forever.
 
In love... risk is everything to land it. It may not always turn out rite,
but the fact that there might be that slight chance for it to turn out rite....
you go for it! Period! So that even if it does not work out, in the years to
come; you do not hold that nudging thot that I had lost that chance
to love and be loved not to have tried....
That is a good strategy...ndo maana naamini kufuata moyo wako ni muhimu ili ukianza kulia unajililia mwenyewe kama siku ya kulia itafika. Wengine wanaenda mpaka mwisho with no big hussles
 
Kama kuna kitu ningeweza kushauri ni watu kutulia wanapotaka kutafuta life partners na kusukumwa zaidi na nia za moyo bila pressure za nje(materials). Kutulia kunatoa nafasi ya kujuana zaidi na kufanya maamuzi ambayo hayana majuto. hakuna kitu kibaya amabcho nimekishuhudia kama watu kuachana njia panda. Kuna mmoja atakuwa majeruhi tu tena atatia huruma....what a waste, Lizzy!
Well, haina maana tusiache kufuata nini mioyo yetu inataka...mwisho wa siku tunatukuwa na utayari wa kubeba gharama zake.
Ndahani nimependa kweli hiyo ya "kuachana njia panda" maana hilo ndilo haswa hua linatokea. Kila mmoja anabaki kuhisi hili na lile juu ya hisia za mwenzake. . .matokeo hata wakiwa na watu wengine hawajitoi 105%.
 
mmmh lizzy, hapo juu pamekaaje... inaruhusiwa 'ku-explore' kidogo ukiwa tayari uko ndani ya uhusiano eeh? lengo laweza kuwa nini hasa, kutafuta uhusiano bora zaidi kuliko wa sasa au?
Cartura nilimaanisha mahusiano kati yao (URAFIKI WAO) na sio na watu wengine.
 
Lizzy, Mine is to wish you and your followers a happy life. Valentine day came and left. The best thing is to find happiness within yourself. Treat each other with compassion. Do unto others as you would want others do unto you. Think kindly of others as you do. May Valentine spirit reign as of now and forever.

Ahsante Mkasika. . .for the wishes anyway!!Zikurudie na wewe.
 
Ndahani nimependa kweli hiyo ya "kuachana njia panda" maana hilo ndilo haswa hua linatokea. Kila mmoja anabaki kuhisi hili na lile juu ya hisia za mwenzake. . .matokeo hata wakiwa na watu wengine hawajitoi 105%.

Ni kweli ila kwenye huu ubinadamu, si busara kuhisi kila mtu anafanana na yule uliyekutana naye jana. Wengine wamezaliwa leo. wanaangalia TV kila uchochoro wakati sisi tulikuwa tunaenda kwenye viambaza vya nyumba za watu kama wapiga chambo...what I want to say is that we have got different approach when it comes to how we handle our issues
 
Sasa hivyo ndivyo ilivyo. . .Watu wengie WANEPENDA KUHISI na WANAOGOPA KUJUA!!

I guess labda kwasababu kwenye kuhisi unaweza ukachagua kile kinachokupendeza tu wakati kwenye kujua unajua kitu kilivyo hata kama sivyo upendavyo.
Mf. "Atakua anaogopa kuniambia kwasababu ananiheshimu sana" wakati ukweli unaweza kua ni kwamba huyo mtu mwingine hana hisia za mapenzi kumuelekea huyo anaehisi.
 
That is a good strategy...ndo maana naamini kufuata moyo wako ni muhimu ili ukianza kulia unajililia mwenyewe kama siku ya kulia itafika. Wengine wanaenda mpaka mwisho with no big hussles

Kuna a time ya luxury ya applying what i have said (following your heart and taking risks) na a time when you just have to go blind. Ndio maana inatakiwa kua makini saana kabla ya kuoa na kuolewa, for marriage as we know is for keeps... Kitendo cha ku apply what I have said ukiwa married.... that is selfishness (hio iko more applicable kwa walo single); for kama umeoa/olewa, then sasa inakua selfishess... Mwenza wako akitoka kwa ajili ya kutereza ama tamaa..... you are safe, atarudi salama ndani ya nyumba. Mwenza wako akitokea kumpenda mtu mwingine nje ya ndoa (na sometimes huwezi mlaumu ukute hajawahi kua na hizo feelings) then you are in trouble.... either wampoteza... ama akirudi atarudi kama fuvu! maana itakua kisha gundua there is beyond what s/he likes.... na that is "Love" hivo lazima aishi kwa kujisukuma humo ndani hata akiamua kustick hapo...

I have a saying... it is ok to fall in love over and over when you are young and single... It is selfishness to fall in love over and over whtn you are an adult especially if committed in a relationship... BUT how I wish it was that simple... roho aizeki Ndahani....
 
Ni kweli ila kwenye huu ubinadamu, si busara kuhisi kila mtu anafanana na yule uliyekutana naye jana. Wengine wamezaliwa leo. wanaangalia TV kila uchochoro wakati sisi tulikuwa tunaenda kwenye viambaza vya nyumba za watu kama wapiga chambo...what I want to say is that we have got different approach when it comes to how we handle our issues

ni muhimu kuwa makini
kuna watu you can't survive them......
wanaacha some pain for the rest of your life
tazama Whitney Huoston
if only she didnt marry Bobby........
 
Back
Top Bottom