Wezi wa pesa za wakulima wa kahawa watumbuliwa Bodi ya Kahawa

mkuu Junior 2

JF-Expert Member
Nov 4, 2017
282
201
Kikao cha Bodi ya Kahawa kilichokaa jumatatu tarehe 22 Januari kimewasimamisha kazi mkurugenzi wa Fedha na Utawala Ndg Astery Bitegeko na Mhasibu wa mauzo ya Kahawa mnadani Ndg Goodluck Moshi kwa tuhuma za kuiba na kujilipa pesa za wakulima na ushuru wa halmashauri mbalimbali ya zaidi ya shilingi bilioni 1.1 za kitanzania.
Taarifa kutoka ndani ya Bodi hiyo zinaeleza kuwa vyombo vya dola vinachunguza mtandao uliyohusika na wizi na wakibainika kuhusika watafikishwa mbele ya sheria na kuchukuliwa hatua za kisheria.
 
Back
Top Bottom