Wewe unayechart JF 24 hrs!!

nikwel ndugu lkn nipo safe kwn najipangia mda wa ku log in na ku log out jf!

kwani mkuu, mbona wewe bado ni mgeni sana humu? subiri siku ukinunua kilaptonga chako, halafu ukawa na vile vitu vya kukfanya uipate net home kwako, I assure you next time ukipost itkuwa "AM ADDICTED TO......." malizia mwenyewe
 
Uko sahihi kiongozi!

Halfu huyu jamaa anasahau kuwa humu JF kuna members kutoka mataifa tofauti na time code zinatofautiana sasa inaweza kuwa kwako muda huo ni night kali, kumbe mwenzio ni saa tisa mchana, lol. On the other hand usidhani wote wanatumia computer za ofisini kama wewe. I doubt exposure ya mtuma uzi
 
kwa hiyo unakubaliana na mm kuwa inafikia kipindi mtu anakuwa ADDECTED co?

kwani mkuu, mbona wewe bado ni mgeni sana humu? subiri siku ukinunua kilaptonga chako, halafu ukawa na vile vitu vya kukfanya uipate net home kwako, I assure you next time ukipost itkuwa "AM ADDICTED TO......." malizia mwenyewe
 
Jamani najiuliza sn lkn sipati jibu,kuna members hapa jf wanachat masaa 24! Swali ni kwmba huwa wanajitafutia rizki sangapi na muda wa kulala hamlali hapo inakuwaje?nisaidieni kwa hili plse.
Wewe umejuaje kama nawewe hushindi unachat masaa 24?
 
hahahahahaha! Mkwe tena huyu mtu anasema anaona comments zangu usiku. Hajui kama mimi nipo united states of mpwapwa masaa yetu tofauti na ya huko kwenu tz. Lol
Nilikua staki kuchangia hii thread, lakini hii comment imenivutia sana. Thank you! Halafu mtu kama mimi huwa nafungua jukwaa na threads tofauti kwenye "tabs" tofauti naweza acha mpaka kesho bila ku-log out! Pia sio wote wanaenda internet cafe
 
ahsante kwa kuvutiwa na comment hadi umechangia. Lol!
Triple nafikiri kashaelewa kwa nini watu huonekana online muda wote.
 
Unakuta mtu hajatoka kitandani yan ile anashtuka ucngizini anacheck laptop ikowapi anaendelea kuchart sasa jamani huu kama si ugonjwa nininiiiiii!!!!!
 
We mwenyewe kutwa upo unachek nani kaingia na nani katoka,nani kaweka thread na nani kacomment ,tena wewe ndo unamatatizo makubwa sana inabdi ukapimwe kwa sababu naona unaingilia majukumu ya server.

hahahahahahaahhahaahhahahaaha dongo kimtindo lime2gusa wengi....
 
leo na mm usingizi umeruka kidogo nikasema ngoja nichungulie nani yupo zamu leo,kumbe bana hapa jf hakuna kulala!!! Nilikuwa nafikiri ni rafiki zangu flani wachache kumbe kuna members maarufu nao pia hukesha jamani lol!!!poleni waheshimiwa kwa kazi nzuri ya kuielimisha jamii kwa ujumla.
 
kweli kila mtu ana uchizi wake kwenye hii dunia, mm naanza kunasa taratibu jamani msinicheke waungwana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom