Catherine
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,261
- 758
mmmmmh hii mpya, acha nipite,sirudi tena maana mie mambo ya kufa kufa siyapeeeendi....
kama unapenda pepo kwanini unaogopa kufa?
mmmmmh hii mpya, acha nipite,sirudi tena maana mie mambo ya kufa kufa siyapeeeendi....
Nyuma kwetu ni kuzito sana ndio maana wowowo na mgongo vinaangalia juu na huku kwenye wepesi(yaani mbeleni kwetu ndio kunaelea). Any more question mr
Judgment?
Judgy, eji furu jagonga emeli?
Uwelewa au uwele?
Always hua napenda mafukunyuzi !
We hupendi fukunyuo ?