Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,779
Inapotokea ajali ya binadamu kufa kifo cha kuzama majini , iwe Baharini, Ziwani , Bwawani whatever , na maiti kuelea majini.
Basi kanuni ya ulalo (ueleaji) wa maiti hua ni tofauti baina ya maiti ya Mwanamke na ya Mwanaume.
Maiti ya Kiume huelea ikiwa imelala chali yaani uso huelekea mbinguni, na Maiti ya Kike hua kinyume chake yaani huelea kifudifudi mgongo, kisogo huelekea mbinguni na uso huelekea chini ya maji .
Kanuni hii haitofautishi age iwe ni maiti ya mtoto au mtu mzima akifia majini ataelea kufata kanuni hii.
Nimeileta hapa ili kwa wanaojua wanijuze ama Kisayansi au Kibaologia tofauti ya ueleaji huu wa gender hizi mbili nini sababu yake!
Naomba kuelimishwa.