Wewe ishawahi kukukuta?

Habarini wanajamvi...

Iko hivi, wiki kadhaa nyuma katika ya usiku wa manane nikiwa nipo macho huku nimelaza mwili kitandani nikiwa na akili zangu timamu kabisa... Nimeona kama mtu ama niseme ni mtu mwenye jinsia ya kike kavaa nguo aina ya nikab... Ila uso alikuwa hajafunika... Akipita huku akitembea taratibu kama akielekea chooni (ni master bedroom) ikabidi niangalie vizuri... Lakini bado nikawa naona hivyo hivyo... Nikajisemea moyoni naota au? Nikajijibu mwenyewe mbona nipo macho kabisa... Nikacheki kwa makini hadi kile kiumbe kupotelea chooni... Huku nikiwa nina hofu nikachungulia kidogo chooni.. nikaguna tu... Ila kwa usiku ule nikawaza hata nikipayuka nitaonekana mwehu hawato nielewa.. nikasali kwa imani yangu nikalala lakini hivyo hivyo kwa kustuka stuka.....

Naamini kuna wataalamu wa mambo ya kiroho na yanayo endana na hayo... Hebu nipeni elimu au nifahamishe kuhusu hilo.....
Hii mimi ilikua yanitokea na baada ya kujiuliza nikagundua sababu ni tv
Kuna siku nilijikuta niko china napaa kwenye majengo yao yale. Kumbe nilikua naangalia move sasa nadhani ubongo na macho vimekosa maelewano usingizini
 
Kama chumbani mwako Kuna kioo au dressing table yenye kioo na kinaangaza wakati wote,viumbe kama hivyo huwepo!!

Kuna siku mama watoto aliwahi niona Mimi live napotelea kwenye kioo nikitokea dirishani nikiwa uchi !wakati huo huo nimelala kitandani aliniuliza nikamwambia hayo ni madudu yamechukua sura yangu!

Hadi leo nafunika kioo wakati was kulala!!
 
Habarini wanajamvi...

Iko hivi, wiki kadhaa nyuma katika ya usiku wa manane nikiwa nipo macho huku nimelaza mwili kitandani nikiwa na akili zangu timamu kabisa.

Nimeona kama mtu ama niseme ni mtu mwenye jinsia ya kike kavaa nguo aina ya nikab... Ila uso alikuwa hajafunika.

Akipita huku akitembea taratibu kama akielekea chooni (ni master bedroom) ikabidi niangalie vizuri... Lakini bado nikawa naona hivyo hivyo. Nikajisemea moyoni naota au? Nikajijibu mwenyewe mbona nipo macho kabisa... Nikacheki kwa makini hadi kile kiumbe kupotelea chooni.

Huku nikiwa nina hofu nikachungulia kidogo chooni.. nikaguna tu... Ila kwa usiku ule nikawaza hata nikipayuka nitaonekana mwehu hawato nielewa.. nikasali kwa imani yangu nikalala lakini hivyo hivyo kwa kustuka stuka.....

Naamini kuna wataalamu wa mambo ya kiroho na yanayo endana na hayo... Hebu nipeni elimu au nifahamishe kuhusu hilo.
Wewe utakuwa ni mtu wa dini hile! Nyie kuishi na majini ni kawaida! Sasa unashangaa nini?
 
Mwaka 94 tumetoka disco ,tukakutana na Wana , kuna camera man,tukaomba tupige picha ,tulikuwa wanne,picha inatoka baada ya wiki mbili,kwenye picha Kuna mdada kavaa ijabu ,baibui na miwani ya jua alafu ni usiku kaongezeka na hakuwepo wakati tunapiga,ila Yuko pembeni yetu kidogo as if anaibia, Miujiza ipo ,Tena ni mingi kuliko mental cases
 
Habarini wanajamvi...

Iko hivi, wiki kadhaa nyuma katika ya usiku wa manane nikiwa nipo macho huku nimelaza mwili kitandani nikiwa na akili zangu timamu kabisa.

Nimeona kama mtu ama niseme ni mtu mwenye jinsia ya kike kavaa nguo aina ya nikab... Ila uso alikuwa hajafunika.

Akipita huku akitembea taratibu kama akielekea chooni (ni master bedroom) ikabidi niangalie vizuri... Lakini bado nikawa naona hivyo hivyo. Nikajisemea moyoni naota au? Nikajijibu mwenyewe mbona nipo macho kabisa... Nikacheki kwa makini hadi kile kiumbe kupotelea chooni.

Huku nikiwa nina hofu nikachungulia kidogo chooni.. nikaguna tu... Ila kwa usiku ule nikawaza hata nikipayuka nitaonekana mwehu hawato nielewa.. nikasali kwa imani yangu nikalala lakini hivyo hivyo kwa kustuka stuka.....

Naamini kuna wataalamu wa mambo ya kiroho na yanayo endana na hayo... Hebu nipeni elimu au nifahamishe kuhusu hilo.

Hapana ila ishawahi Kuni Fensi.
 
Mwaka 94 tumetoka disco ,tukakutana na Wana , kuna camera man,tukaomba tupige picha ,tulikuwa wanne,picha inatoka baada ya wiki mbili,kwenye picha Kuna mdada kavaa ijabu ,baibui na miwani ya jua alafu ni usiku kaongezeka na hakuwepo wakati tunapiga,ila Yuko pembeni yetu kidogo as if anaibia, Miujiza ipo ,Tena ni mingi kuliko mental cases
Upo sahihi mm shangaz yangu alijiuwa kwa kujinyonga miaka hiyoo npo o level...so nkaenda kuona maiti..kipindi hichoo namiliki YASHCA CAMERA ZILE ZA MIKANDA....badaa ya mwezi kwenda kusafisha picha nakuta
picha ya shangaz yule alijiuwaa na sjawahi meet nae had sku amefariki...dunia ina mambo!!!
 
Mwaka 94 tumetoka disco ,tukakutana na Wana , kuna camera man,tukaomba tupige picha ,tulikuwa wanne,picha inatoka baada ya wiki mbili,kwenye picha Kuna mdada kavaa ijabu ,baibui na miwani ya jua alafu ni usiku kaongezeka na hakuwepo wakati tunapiga,ila Yuko pembeni yetu kidogo as if anaibia, Miujiza ipo ,Tena ni mingi kuliko mental cases
Sasa siungetuwekea hiyo picha hapa tukaiona? Unaandikia mate wakati wino hupo? Weee muongo!
 
Kama chumbani mwako Kuna kioo au dressing table yenye kioo na kinaangaza wakati wote,viumbe kama hivyo huwepo!!

Kuna siku mama watoto aliwahi niona Mimi live napotelea kwenye kioo nikitokea dirishani nikiwa uchi !wakati huo huo nimelala kitandani aliniuliza nikamwambia hayo ni madudu yamechukua sura yangu!

Hadi leo nafunika kioo wakati was kulala!!

Hizo pombe mnazokunywa muwe na kiasi.
 
Mwaka 94 tumetoka disco ,tukakutana na Wana , kuna camera man,tukaomba tupige picha ,tulikuwa wanne,picha inatoka baada ya wiki mbili,kwenye picha Kuna mdada kavaa ijabu ,baibui na miwani ya jua alafu ni usiku kaongezeka na hakuwepo wakati tunapiga,ila Yuko pembeni yetu kidogo as if anaibia, Miujiza ipo ,Tena ni mingi kuliko mental cases

Alikuwepo sema mlikuwa mmelewa na wenge la Disco.
 
Back
Top Bottom