Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,283
- 2,043
Hakika nimeshtushwa na Taarifa ya WENZA wa Viongozi Wakuu wa NCHI nao KULIPWA MAMILIONI ya Fedha.
Viongozi wetu hebu jaribuni KUMWOGOPA MUNGU wananchi mnaowaongoza ni Masikini sana wanaishi kwa MLO mmoja hizo Fedha mnazotaka WENZA wenu WALIPWE ni KODI za hao MASIKINI ambao hata Mlo wao wa Kesho hawaujui.
Kwanini hayo MAMILIONI yasipelekwe KUWAAJIRI WATOTO wa hao MASIKINI ili wawatunze Wazazi wao?Kuna MWENZA mmoja mumewe ni Rais Mstaafu ambaye pamoja na kustaafu analipwa MAFAO yake kila Mwezi na huyo Mwenza ni MBUNGE analipwa POSHO na MISHAHARA kila Mwezi nayo ni Mamilioni je hiyo ni Haki kweli?
Hebu VIONGOZI wetu kuweni na HURUMA kwa Masikini Wananchi wenu.
Kumbukeni na Maandiko Matakatifu ya Dini.
"Tulikuja watupu Tutarudi kwake Watupu" HAYO MAMILIONI mnayojilimbikizia mtaenda nayo wapi?