Sumakusome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2023
- 506
- 1,167
- Thread starter
- #21
Anhaaa! sawa, asante sana.Nungwi Kuna hotel nyingi zaidi ikifuatiwa na kusini paje, bwejuu,michamvi,jambiani
Anhaaa! sawa, asante sana.Nungwi Kuna hotel nyingi zaidi ikifuatiwa na kusini paje, bwejuu,michamvi,jambiani
Sawa mkuu, shukrani sana.
Pia naomba kuuliza maswali haya mawili;
1. Shamba gani ina hotel nyingi zaidi?
2. Shamba gani ina site nyingi za ujenzi?
Kupata kazi au mbona kazi ni nyingi sanaaaNungwi kuna hoteli nyingi zaidi, ila nahisi kutoboa ni shida mana competition ni kubwa sana.
Na site za ujenzi je?Nungwi kuna hoteli nyingi zaidi, ila nahisi kutoboa ni shida mana competition ni kubwa sana.
Na site za ujenzi je?
Nenda matemwe,na kiwengwa...pia numgwi...zipo nyingi sanaSawa mkuu, shukrani sana.
Pia naomba kuuliza maswali haya mawili;
1. Shamba gani ina hotel nyingi zaidi?
2. Shamba gani ina site nyingi za ujenzi?
Nimejipata kaka, shukrani sana sana sana kwa muongozo na kuulizia nilipofikia mpaka sasa. Ubarikiwe sana.Mkuu unaendeleaje?