balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,473
- 12,604
Tuwaombeetu lakini mwenyeji sijui anapigaje
========
WENYEJI WA AFCON, IVORY COAST WAMEKUBALI KUPIGWA NA WAMEPIGIKA
Wenyeji wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Africa 2023 (AFCON), Timu ya #IvoryCoast imeishia Hatua ya Makundi baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa Equatorial Guinea ambayo imeingia Hatua ya 16 Bora toka Kundi A, leo Januari 22, 2024.
Timu nyingine iliyosonga mbele katika Kundi hilo ni Nigeria ambayo imeifunga Guinea-Bissau goli 1-0
Hivyo, Msimamo wa Kundi A ni Equatorial Guinea pointi 7, Nigeria (7), Ivory Coast (3) na Guinea-Bissau (0)