Wenye wanaume walokole tukutane hapa

Walokole sio jina sahihi
Jina sahihi ni. WAAMINI AU WAOKOVU yani amebatizwa kwa Roho Mtakatifu
Kama ni mwanamke nawe umeokoka basi ni msaada sana katika maombi ya kila usiku na kufunga maana WAOKOVU mission yao ni kutenda kazi ya Bwana watu waokoke na kupata uponyaji
 
Mpenzi endelea hivyo hivyo kukataa kuwa na ndoa ya "kigroup". Ooh usimwamini mwanaume, sijui wanaume wote blah blah. Kila mtu apambane tu na mumewe na sio kujumlisha na waume wa wenzie. Maana tunapenda tu kujipa matumaini kuwa wanaume wote wapo sawa ili hata akiwa abuser, basi unavumilia tu kisa wote wapo hivyo hivyo eti teh. Mbarikiwe sanaaaaa

"A woman's heart should be so hidden in Christ, that a man should have to seek HIM first to find her".
 
Mtumishi njoo chemba basi tutete
Haya, nakusubiri. Ila usinichomeshe mahindi...
images
 
Back
Top Bottom