Wenye vyeti vya mafunzo ya Labour Base wanahitajika 3

hoter.one5

Member
Sep 9, 2013
41
95
Habarini wadau,

Kuna mdau anahitaji mtu mwenye cheti cha labour base kwaajili ya kufungua nae kampuni ya labourbase contractor kama upo tayari njoo ni kulink nae wakiwaa tatatu itakuwa vizuri zaidi maana wadau ni wengi kulingana na soko la specialist contractors kwenye indutry ya ujenzi wa barabara kama ma agent wa kusajili makampuni wahitaji ni wengi sana nichek whtsp /call/sms +255626402722 office location anglican building room no.79 Songea town opposite to TCB Bank/TRA regional office.
 
Hii inakuwaje kuwaje, hebu nifafanulie kidogo
kama unacho hicho cheti ndicho kinachotambulika crb kama mtaalam wa kampuni na kupewa usajili bila mtu mwenye cheti kama hicho kampuni haiwezi kupata usajili hivyo basi wewe unacheti yeye anamtaji hapo mtafanya kazi kwa pamoja na kila mmoja anakuwa huru kutumia kampuni kuombea kazi
 
Hv hz kozi zinatolewa lini... maana naona mara ya mwisho MUST walikuwa Dodoma mwaka jana
 
Kumbe mnaweza kuomba kazi nyingi kwa wakati mmoja? Kama ndo hvo basi imekaa poa sana hyo....
 
Hv hz kozi zinatolewa lini... maana naona mara ya mwisho MUST walikuwa Dodoma mwaka jana
KOZI HIZI HAWATOI MUST PEKEE KUNA ATTI -MBEYA KULE RUNGWE,MUST,ICoT-MBEYA,NA UJENZI-MORO na kwasasa kuna kozi zinatarajia kuanza mwezi nov 2023 ukitaka nikupe fomu njoo whtsp +255626402722 bure
 
Kusoma hiyo kozi lazima mtu awe na vigezo gani?
 
KOZI HIZI HAWATOI MUST PEKEE KUNA ATTI -MBEYA KULE RUNGWE,MUST,ICoT-MBEYA,NA UJENZI-MORO na kwasasa kuna kozi zinatarajia kuanza mwezi nov 2023 ukitaka nikupe fomu njoo whtsp +255626402722 bure
Mkuu nimekudm naomba hyo form mkuu...
 
Back
Top Bottom