KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,584
- 8,609
Juzi bwana nipo mitaa ya mwenge kuna baa moja inajulikana kwa jina la carabash!
Akaja jamaa na Demu wake na gari loa dogo aina ya Vitz wakapaki pembeni mwa barabara karibu na mlango wakuingilia kwa wale mnaopafahamu nadha mtajua nisehemu gani naongelea nje kulikuwa na watu kibao wanapata lager kama kawa Sasa jamaa alichotibua ni kuweka katika aram ikawa inawasumbua watu pale watu sasa wakawa hawajui ninani mwenye gari!Mara akatokea watu wakaanza kumshambulia akawa ananata kamavile kasimamisha vogue!Basi Jamaa akamwambia usiactivate sound weka maana na wewe huko hapa hakauna wakukuibia jamaa akasema kwanyodo unadhani hii ni baisikeli??
Dah!JAMAA AKAMWAMBIA HIYO NI"BABY WALKER"AKUNA WAKUKUIBIA WATU ACHA WACHEKE ETI BABY WALKER!!