Wenye vigari vidogo someni hapa!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,577
8,596
Juzi bwana nipo mitaa ya mwenge kuna baa moja inajulikana kwa jina la carabash!
Akaja jamaa na Demu wake na gari loa dogo aina ya Vitz wakapaki pembeni mwa barabara karibu na mlango wakuingilia kwa wale mnaopafahamu nadha mtajua nisehemu gani naongelea nje kulikuwa na watu kibao wanapata lager kama kawa Sasa jamaa alichotibua ni kuweka katika aram ikawa inawasumbua watu pale watu sasa wakawa hawajui ninani mwenye gari!Mara akatokea watu wakaanza kumshambulia akawa ananata kamavile kasimamisha vogue!Basi Jamaa akamwambia usiactivate sound weka maana na wewe huko hapa hakauna wakukuibia jamaa akasema kwanyodo unadhani hii ni baisikeli??
Dah!JAMAA AKAMWAMBIA HIYO NI"BABY WALKER"AKUNA WAKUKUIBIA WATU ACHA WACHEKE ETI BABY WALKER!!
 
Acha hizo, mimi nina hilo gari .
Zamani nilikuwa na bodaboda si nimeukata?
 
Wabongo kwa dharau nimewavulia kofia, huyo anayesema baby walker utakuta hata hela ya kula anapata kwa shida na anaitamani hiyo baby walker
 
Mimi naviita Guta a.k.a mkopo ,hivi viguta ndio vinaleta msongamano wa magari hapa mjini ,vinatakiwa viwe vigari vya kujifunzia watoto shule za chekechea bana''wewe unalo?''ndio mimi nina TZ 11 wenye wivu wajinyonge kwa kuwa namiliki TZ 11 teh teh uwiiiiii
 
Mi natamani ipitishwe sera ya serikali kuwanunulia watendaji wote bebi woka hizo tutasave sana mihela mtu anafuatwa ouysterbay na VX V8 anapelekwa ofisini samora unajiuliza anayetokea arusha atumie usafiri gani??inasikitisha watu wanaishi kitajiri kwa gharama za kodi zetu!!!
 
Mimi nakubaliana kabisa na mleta mada. Kwanini uweke gari alarm wakati ulipo kaa unaliona? Usumbufu bana, hata kama m2 una TZ 11, Uki activate alarm Bar tena mchana unakera.
 
Jamani mtu si mtu ametoa chake kibomu akijua kuwa ni kichekesho sasa nyinyi mnakerwa na nini? acheni hizo bwana
 
Back
Top Bottom