wenye uzoefu naomba ushauri

kbz

Member
Jul 18, 2012
21
1
Habari wana JF,
nina rafiki yangu anafanya kazi kwenye compuni ana mtoto mmoja na hawana mawasiliano na baba wa mtoto tangu mtoto azaliwe ana umri wa miaka miwali,
Kuna mwanaume ofisini kwao anataka awe nae kama mpenzi wake,
Swali lake, je mahusiano kazini yana hatari? Naomba ushauri
 
Mahusiano duaniani yana hatari, tafakari kwanza.

Sera za kampuni za mahusiano zinasemaje?
 
kwaupande wangu mie sioni kama ni sawa,sana sana nikujitia BP kwani utakapomuona mwengine anamsalimia au umesikia
mwanamke flani wamezoweana au alikua X wake tayari ushajikera bora utafute njee mkimalizana mnamalizana huko huko..
 
ingekuwa ni wewe ningekushauri ufanyeje maana nina experience.....lakini kama ni rafiki yako.....kwaheri.....
 
Loh! ndugu yangu mwambie aepuke mapenzi ya kazini hata kama policy za company zinaruhusu! kuna mdada alianzisha uhusiano officin kwetu ilikuwa tabu mpaka binti kidogo afukuzwe kazi yaani kiujumla haipendezi labda kama mnafanya company moja ila office tofauti hapo sawa, office moja ni noma.
 
ingekuwa ni wewe ningekushauri ufanyeje maana nina experience.....lakini kama ni rafiki yako.....kwaheri.....

Msahuri tu, hapa JF si unajua tena mambo ya kusema nina rafiki yangu ooh jirani yangu sijui mama mkubwa and the like, lakini muhusika anaoneka tu..
 
Mahusiano ktk maeneo ya kazi ni hatari sana, alishajiuliza wanaomtaka wako wangapi hapo? Maana yake inaweza kuwa chanzo cha kupoteza hiyo chance.....an y outcome yake huwa mbaya
 
Mwambie wapeane raha tu, wanapohitajiana lakini siyo ule wa kugangamala..........!:A S embarassed:
 
Tunashauliwa kutotumia vitu used. tafuta fresh one, wenzako wameshazalisha wewe ndio unajifanya una huruma?
 
Kama ataweza kutumikia mahusiano ya kikazi na mahusiano ya kimapenzi basi akubali
 
Hahahahahaaaa watu wengine wachokozi...haya bhana kumbe huwa una-mind wino wa zambarau khe khe khe.........!:biggrin:

Hahahaahhah........... huwa napata hamasa kusoma wino wa zambarau!! sa cjui leo imekuaje ka2pia kw wino mweusi!!!
 
Back
Top Bottom